Mahujaji 107 wafariki na 238 wamejeruhiwa baada ya winchi kuanguka katika msikiti wa Makkah

Mungu alikuwa kasinzia au vipi mpaka akaachia msikiti wake ukung'utwe na crane? On 9/11 no less?

Au alikuwa anawahukumu Waislamu kwa kutokemea vilivyo terrorism?

Mv bukoba nayo mungu alikuwa kasinzia?
Kuwa na adabu na imani za watu.
kumbuka hata huyo mungu wako kuna wakati wahuni walimkamata wakamtandika sawa swa mpaka aliomba msaada.
Vipi mungu apingwe na wahuni?
 
Adam na hawa walikuwa Wamepewa mifumo miwili ya maisha na wakasisitiziwa wachague ule wa kwanza usiokuwa na kifo, magonjwa na matatizo lakini walikaidi wakachagua mfumo mbaya wa Mema na Mabaya.Kwa hiyo ndo wakulaumu na sio MUNGU.

Kwa vile mungu anafahamu yaliopita na yajayo then alifahamu fika kuwa Adam na Eva anaowaumba watakuja kumuasi, wakati huo huo mungu huyu huyu huyaacha mambo yatokee kwa mipango yake, so alipanga kabisa kuwa Adam na Eva wamuasi but baada ya kumuasi aliamua kuwa adhibu. Sasa swali linakuja mungu huyu mbona anajikanganya mwenyewe ?
 
Nishauliza swali hilo miaka sasa hapa, sijapewa jibu la kueleweka.

Utaambiwa mambo ya mungu usiuize, wewe amini tu.

Kwangu mimi ukiniambia hivyo unaniambia humjui huyo mungu, unabahatishabahatisha tu.
 
😹😹😹😹😹😹

kila unachouliza unakosa jibu

ila una majibu ya kila swali 😆😆😆

Wewe wasema.

Jibu la kila swali limo katika uchunguzi.
 
Watanzania tusifikie hapa. Mungu ametoa Mungu ametwaa jina lake libarikiwe. Adui yetu Mkubwa kwa salsa siyo shetani tena ni ccm tukiondoeni yakhe!.
 
Why did God create Lucifer knowing all too well that he'd one day revolt and disrupt his plans both in heaven and earth? Why dint he atleast shield Adam and Eve from him? Why! Adam and Eve were like innocent children, susceptible to such temptation.
How couldnt He not know what Lucifer was upto in the garden of Eden? For Adam and Eve's blunder, wasnt their punishment a little too excessive, considering He was partly to blame? AWhy, for example did he have to cast Lucipher, the devil to this planet instead of say pluto?

If God is so perfect, why are all his creations so flawed? Look at all these deformed men and women, both in limbs and character!
Why are such phenomena as earthquakes,floods,droughts etc common place in this perfect God's earth? Why does he watch in silence as humans suffer like this?
That not even these pipo that had dedicated their time to magnify this all so almighty God could be shielded from such a horrid death is all the more puzzling.
God's an enigma. Us mortals, with our ordinary 'common sense' as somebody here has put it, will never comprehend how he operates. Perhaps it's owing to human's lack of understanding God's mode of operation that has driven some to doubt his existence.
These are my pressing questions that I'd wish to present to God to anser.

RIP to the dead...
 
I have refrained from adding anything here, hoping someone would attempt an answer at your questions.

The fact is, I have been asking these very questions for years here. No logical answer.
 
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun
 
Hii Inadhihirisha Hakuna Mungu hapo... Binadamu wamejiamulia tu au pengine walikuwa na Mizaha mioyoni mwao... mawazo yao yakiwa kwenye Biashara zao walizoacha makwao wakiwa na khofu kuu maana wengi wa Mahujaji ni wafanyabiashara na wafanyabiashara wengi ni wadhurumati mno na wanaibia wateja wao na serikali zao pia....

Balaa upepo mkali ukavuma crane likapushiwa hadi ndani likaangukia...

Jambo lingine napata khofu nalo sana why kila mahujaji wanapoenda hija wengi wanapoteza maisha tena kwa majanga ya aina yake... moto likiongoza na kufuatiwa na kukanyagana... this time ni aina mpya Crane!

Isije kuwa ni Matambiko....ya sadaka ya Damu kama hadithi za kale...

Huyu Mungu wao tunahitaji kumuelewa nini anachotaka... nadhani watu wanamuendea ndivyo sivyo Nauliza tu....
 
In the Beginning a Man create God then Problem Start....na zina continue
 
Kiranga bana.... Anyway ngoja nikuache. Hizi hoja unarudiarudia kila siku na ni nyepesi sana!
 
Kama narudiarudia kila siku mbona hujazijibu?

Unaaminishwa kwamba kuna mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Ambaye hakuna unywele unaosogea dunia hii bila yeye kujua na kuruhusu.

Halafu unaambiwa crane linaangukia msikiti wake mtakatifu kabisa na kuua watu kibao.

Huyu mungu kwa nini kaachia hili?

Alishindwa kuzuia crane lisianguke?

Kama alishindwa, je ni kweli ana uwezo wote?

La, kama hakushindwa kuzuia, ila hakutaka tu, je ni kweli kwamba ana upendo wote?
 
In the Beginning a Man create God then Problem Start....na zina continue

I agree with that.

Mungu kaumbwa na binadamu tu awepo pale kama jibu la maswali ambayo binadamu hana majibu yake na kutisha watu warudi kwenye mstari.

Lakini ukichunguza sana unaona mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo angalau angeunusuru msikiti wake.
 
inaitaj uwe na ubongo wa samaki kuamin mambo ya uwepo wa mungu! kila cku wanakua exposed.... now mecca it was suppose to be the holiest place protected by almight God of all people and nations...... crane came down and kill people in the mosr brutal fashion? where was God? if he cant protect people at mecca where else can you expect him to do that? tsunami kule bali na indonesia walisema mungu alileta adhabu kwa sbabu kuna macasino so na mecca?
 
Ni habari za uongo ambao ulitosha kuwachota watu wa zamani ambao hawakuwa na elimu.

Ninaelewa kwa nini walichotwa, ila hawa wa leo enzi za mitandao nao bado wapo kwenye mkumbo ule ule, nashindwa kuelewa.
 
Kama narudiarudia kila siku mbona hujazijibu?

Unaaminishwa kwamba kuna mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Ambaye hakuna unywele unaosogea dunia hii bila yeye kujua na kuruhusu.

Halafu unaambiwa crane linaangukia msikiti wake mtakatifu kabisa na kuua watu kibao.

Huyu mungu kwa nini kaachia hili?

Alishindwa kuzuia crane lisianguke?

Kama alishindwa, je ni kweli ana uwezo wote?

La, kama hakushindwa kuzuia, ila hakutaka tu, je ni kweli kwamba ana upendo wote?

Ili ukubali au upinge uwepo wa Mungu wa haki lazima ujue maana ya Mungu wa haki, vyenginevyo utakuwa unapinga kitu usichokijua. Mfano nikikuonesha gari nikakwambia ni baiskeli utapinga kwa sababu tu unajua baiskeli na sifa zake, lkn kama huielwi baskeli wala gari utapinga kwa ukukadi tu. Hivyo unatakiwa usome zaidi ujiridhshe jee unajua maana ya Mungu wa haki? NI USHAURI TU. Ukijua hili utapata majibu ya maswali yako kwa nini Mungu anawachia au anazuwia maafa kutokea
 
Back
Top Bottom