Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ili ukubali au upinge uwepo wa Mungu wa haki lazima ujue maana ya Mungu wa haki, vyenginevyo utakuwa unapinga kitu usichokijua. Mfano nikikuonesha gari nikakwambia ni baiskeli utapinga kwa sababu tu unajua baiskeli na sifa zake, lkn kama huielwi baskeli wala gari utapinga kwa ukukadi tu. Hivyo unatakiwa usome zaidi ujiridhshe jee unajua maana ya Mungu wa haki? NI USHAURI TU. Ukijua hili utapata majibu ya maswali yako kwa nini Mungu anawachia au anazuwia maafa kutokea
Mungu wa haki gani anaruhusu crane liwaangukie watu walioenda kumcha katika msikiti mtukufu kabisa wakati kuna wengine wameenda kwenye madanguro maisha yao yote na hawaumwi hata na mbu?
Kuna haki gani hapo?