salahsahim4
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 219
- 50
Mungu alikuwa kasinzia au vipi mpaka akaachia msikiti wake ukung'utwe na crane? On 9/11 no less?
Au alikuwa anawahukumu Waislamu kwa kutokemea vilivyo terrorism?
Adam na hawa walikuwa Wamepewa mifumo miwili ya maisha na wakasisitiziwa wachague ule wa kwanza usiokuwa na kifo, magonjwa na matatizo lakini walikaidi wakachagua mfumo mbaya wa Mema na Mabaya.Kwa hiyo ndo wakulaumu na sio MUNGU.
Kwa vile mungu anafahamu yaliopita na yajayo then alifahamu fika kuwa Adam na Eva anaowaumba watakuja kumuasi, wakati huo huo mungu huyu huyu huyaacha mambo yatokee kwa mipango yake, so alipanga kabisa kuwa Adam na Eva wamuasi but baada ya kumuasi aliamua kuwa adhibu. Sasa swali linakuja mungu huyu mbona anajikanganya mwenyewe ?
😹😹😹😹😹😹
kila unachouliza unakosa jibu
ila una majibu ya kila swali 😆😆😆
Why did God create Lucifer knowing all too well that he'd one day revolt and disrupt his plans both in heaven and earth? Why dint he atleast shield Adam and Eve from him? Why! Adam and Eve were like innocent children, susceptible to such temptation.
How couldnt He not know what Lucifer was upto in the garden of Eden? For Adam and Eve's blunder, wasnt their punishment a little too excessive, considering He was partly to blame? AWhy, for example did he have to cast Lucipher, the devil to this planet instead of say pluto?
If God is so perfect, why are all his creations so flawed? Look at all these deformed men and women, both in limbs and character!
Why are such phenomena as earthquakes,floods,droughts etc common place in this perfect God's earth? Why does he watch in silence as humans suffer like this?
That not even these pipo that had dedicated their time to magnify this all so almighty God could be shielded from such a horrid death is all the more puzzling.
God's an enigma. Us mortals, with our ordinary 'common sense' as somebody here has put it, will never comprehend how he operates. Perhaps it's owing to human's lack of understanding God's mode of operation that has driven some to doubt his existence.
These are my pressing questions that I'd wish to present to God to anser.
RIP to the dead...
Kiranga bana.... Anyway ngoja nikuache. Hizi hoja unarudiarudia kila siku na ni nyepesi sana!
In the Beginning a Man create God then Problem Start....na zina continue
inaitaj uwe na ubongo wa samaki kuamin mambo ya uwepo wa mungu! kila cku wanakua exposed.... now mecca it was suppose to be the holiest place protected by almight God of all people and nations...... crane came down and kill people in the mosr brutal fashion? where was God? if he cant protect people at mecca where else can you expect him to do that? tsunami kule bali na indonesia walisema mungu alileta adhabu kwa sbabu kuna macasino so na mecca?
Kama narudiarudia kila siku mbona hujazijibu?
Unaaminishwa kwamba kuna mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Ambaye hakuna unywele unaosogea dunia hii bila yeye kujua na kuruhusu.
Halafu unaambiwa crane linaangukia msikiti wake mtakatifu kabisa na kuua watu kibao.
Huyu mungu kwa nini kaachia hili?
Alishindwa kuzuia crane lisianguke?
Kama alishindwa, je ni kweli ana uwezo wote?
La, kama hakushindwa kuzuia, ila hakutaka tu, je ni kweli kwamba ana upendo wote?