Mahujaji 107 wafariki na 238 wamejeruhiwa baada ya winchi kuanguka katika msikiti wa Makkah

Mungu wa haki gani anaruhusu crane liwaangukie watu walioenda kumcha katika msikiti mtukufu kabisa wakati kuna wengine wameenda kwenye madanguro maisha yao yote na hawaumwi hata na mbu?

Kuna haki gani hapo?
 
Unajua maana ya Mungu wa haki? hili ni la msingi utaweza kujibu maswali yote uliyouliza vyenginevyo hata ukijibiwa maswali yako haitokusaidia, maswali yako ni mepesi sana kwa anaeyejua maana ya Mungu wa haki
 
Mingu wa haki ni nani? Haki ni nini?

Kuna haki gani kwa mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuachia watu walioenda kumcha katika msikiti wake mtukufu kabisa wafe kwa kuangukiwa na crane wakati kina Yakuza huko wanashinda kwenye madanguro na hawaumwi hata na mbu?

Hujajibu swali.
 
Okee okee
 
Nimecheka leo baada ya waarabu Kuanza kuhisi Waisrael wanaweza kuwa na Mkono kwenye ajali hiyo.... Muhahahahaha

Ati walilegeza sukurubu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…