Cheti cha kuzaliwa lazima yawe matatu maana jina la Baba lazima liwe ELIAS MMASI, halafu la mtoto JOYCE.majina ya cheti cha kuzaliwa ni mawili na vyeti vingine mawili ila NIDA matatu
ndio maana kukuta nida na cheti cha kuzaliwa yanatofautiana ni ngumu sana ila kipengele ni vyeti vya shuleCheti cha kuzaliwa lazima yawe matatu maana jina la Baba lazima liwe ELIAS MMASI, halafu la mtoto JOYCE.
Kwa hiyo hapo mtoto atajulikana kama JOYCE ELIAS MMASI(hili jina ndio linakuwa na NIDA, kwa sababu wakati wa kuandikishwa NIDA huwa wanatumia vyeti vyakuzaliwa).
Kama ni hivyo basi wengi tupo kwenye msala.wamepokelewa kimakosa... amini ninacho kwambia...
Mimi ni mmoja wao. Labda kama yeye kulikuwa na shida sehemu nyingine. Mi vyeti vya taaluma vyoote vi3 ni majina mawili lkn nida ni ma3 na ilikubali bila shida yoyote.mkuu huwenda kuna kitu kingine labda, maana wapo walioripoti na wana majina mawili kwenye vyeti na nida matatu ila wamepokelewa
Mfumo ndo umekosea? Maana ukisema kimakosa siyo tatizo la wapokeaji, basi na walioajiri waliajiri kimakosa. Huwezi kuajiri NIDA huku vyeti vya taaluma ukiona majina hayapo ma3 kama ya NIDA unayohitaji.wamepokelewa kimakosa... amini ninacho kwambia...
Andika taarifa zieleweke watu wamsaidie huyo ukificha haina maanaDogo ni mwalimu idara ya msingi,
majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano)
Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA.
wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea,
selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo eti nida inagoma!
Tunashangaa hata sisi, sababu inaweza kuwa ipi, wazoefu tatizo linaeza kuwa nn details zimepishana wapi
Nect kuna tarehe ya kuzaliwa?vp kama tarehe za kuzaliwa za NIDA ni tofauti na zilizoko NECTA?
Sijui diploma ama certificate vikoje ila kwa TCU ( full transcript ina trh za kuzaliwa)Nect kuna tarehe ya kuzaliwa?
Hamna mkuu hili ni private kidogo ingekua ni kuhusu hii topic ningeweka maelezo hapa hapamkuu fafanua hapa kama hautojar, huenda wakanufaika wengi
Nahisi hapo kuna hila inataka kufanyika!! Anaweza kupokonywa nafasi kwa hila. Cheti cha kuzaliwa kina majina yote ya baba. Kwa mfano: Vyeti- John Makoye, Jina la baba- Alfonce Makoye. Jina la mtoto NIDA- John Alfonce Makoye.mkuu huwenda kuna kitu kingine labda, maana wapo walioripoti na wana majina mawili kwenye vyeti na nida matatu ila wamepokelewa
majina ya cheti cha kuzaliwa ni mawili na vyeti vingine mawili ila NIDA
mtafute mwanasheria aliye karibu nawe atakusaidia... maana hutaki kuelewa kuwa ni makosa...Kama ni hivyo basi wengi tupo kwenye msala.
Nakumbuka chimbuko la majina mawili/matatu kwenye vyeti limeanzia form 2 kwa sababu tulipofika form 4 tulitakiwa kusajili majina yetu kama tulivyosajili wakati tunafanya mtihani wa form 2.
Darasa letu(kwenye shule niliyosoma) asilimia 99% tuliandikisha majina 2 ambayo yameendelea kuonekana kwenye vyeti vyetu hadi tunahitimu chuo(kwa waliofika huku). Wakati huo huo vyeti vyetu vya kuzaliwa vina majina 3 na sijawahi kuona utata unaousema wewe hapa kuwa itakuwa ni watu tofauti.
Kwenye mfumo wa Application wa online huwa unataka mtu aandike namba ya kidato cha 4 halafu mfumo utascan data kutoka NECTA na majina yako yataonekana pamoja na shule uliyosoma(ambayo ni 2 au 3), hapo hapo pia ukiingiza namba ya NIDA huwa ni mwanzoni kabisa itakuleta majina 3 uliyosajiliwa NIDA. Sasa iweje wakatae? lazima kuna tatizo, wachunguze vizuri
taasisi nyingi kama mabenki ukipeleka taarifa zenye mkanganyiko kama hivi wa majina ni ngumu kukufungulia acc... maana ni watu wawili tofauti... nida jina lingine na cheti cha kuzaliwa ni jina lingine...
Abdul Juma sio Abdul Juma SalumCheti cha Kuzaliwa na NIDA hayatofautiani kwa sababu wakati unaadikishwa NIDA walitumia cheti cha kuzaliwa.
Ebu tuambie kuna kosa gani kuwa na majina 2 kwenye vyeti halafu ukawa na majina 3 kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA?
Ninatumia majina 2 kwenye vyeti na siku zote huwa natambulika kwa majina 2, sijawahi kupata kikwazo chochote unachokisema wewe ingawa kwenye NIDA nina majina 3 ambayo chimbuko lake ni cheti cha kuzaliwa.Abdul Juma sio Abdul Juma Salum
AU
Salehe Fikiri sio Salehe Mabrouk Fikiri
nazani utakuwa umeelewa sasa... kwa maana kuwa sajili ni kuajili watu wawili ktk nafasi moja...
mkuu embu nisaidie na mimi kimawazo,mimi majina yangu ya vyeti vya taalumu ni “hance prosper paul” cheti cha nida ni “hance prosper massawe” ila majina yote hayo yapo kwenye cheti cha kuzaliwa ni kwamba nida walitumia jina la ukoo badala ya jina la babu,je kunachangamoto yotote itayonikumba hasa kwenye application za kazi?? nini nifanye?,natanguliza shukrani zangu aksantemtoa mada labda kama kuna yatizo lingne kabisa majina mawili kwenye vyeti haina shida yoyote kama jina la tatu kwenye kitambulisho cha nida na cheti cha kuzaliwa yanafanana
mfano cheti cha kuzaliwa yanatakiwa yasomeke
birth name Mariam
jina la baba elias mmasa
hapa hakuna shida yoyote ile ila
majina ya kwenye vyeti yakitofautiana hata herufi moja kwenye nida umeenda na maji maana nida kubadilisha ni mlolongo ila cheti cha kuzaliwa kubadili ni simple
mfano nida Mariam elius mmasa
vyeti mariam elias
yaani elias na elius zikatofautiana iyo a na u ni kwisha
mwisho vyeti vikiwa na majina mawili halafu nida majina matatu hamna tatizo lolote lile sema jina la tatu la nida liwe sawasawa na jina la tatu kwenye cheti cha kuzaliwa
Inabidi uwaambie NIDA watoe Massawe waweke Paulmkuu embu nisaidie na mimi kimawazo,mimi majina yangu ya vyeti vya taalumu ni “hance prosper paul” cheti cha nida ni “hance prosper massawe” ila majina yote hayo yapo kwenye cheti cha kuzaliwa ni kwamba nida walitumia jina la ukoo badala ya jina la babu,je kunachangamoto yotote itayonikumba hasa kwenye application za kazi?? nini nifanye?,natanguliza shukrani zangu aksante
amna utaratibu wowote zaidi?Inabidi uwaambie NIDA watoe Massawe waweke Paul