Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

Habarini za humu Wana Jf wote!
Niwape hongera kwa ufafanuzi mzuri wa baadhi ya mambo ambayo yamekuwa na sintofahamu.

Binafsi nina suala kama hilo, japo sijabahatika kupata ajira zilizopita, ila huwa nawaza itakuwaje siku nikipata, Ni hivi...

Vyeti vyangu vyote vina majina matatu pamoja na kitambulisho cha NIDA, na yapo sahihi kabisa(yanaendana) ila shida ni zile namba za mwanzoni kwenye kitambulisho zile 4,ambazo huendana na Mwaka wa kuzaliwa zipo tofauti na zile za kwenye cheti cha kuzaliwa, mfano, 1989XXXX....,katika NIDA, ilihali Mwaka kwenye cheti ni 1987,....
je hii haiwezi kuja kuleta shida pindi niliingia kwenye mfumo wa ajira?
Mabadiliko m cheti cha kuzaliwa kiwe 1989
 
Wazinguaji tu hao mimi vyeti vyangu vyote vya elimu vinasoma majina mawili ila nida majina matatu na sikupata changamoto yoyote huko utumishi labda kama wanataka kupiga pesa.
 
Wacha uongo wako; kabla ya mfumo wa NIDA kuanzishwa asilimia kubwa wameandikishwa shule kwa majina mawili au majina ya mkato.

Huwezi sema aliyetumia majina mawili shule ni watu wawili tofaut kama NIDA yake ina majina matatu.. hii siyo sababu kwa kuwa NIDA usajili wake unalazimisha majina matatu ila shuleni hulazimishwi majina matatu.

Nafikiri labda kuna tatizo lingine
Kati ya cheti chako cha shule na nida ni kipi kinakua cha kwanza na validy kwenye utambulisho wako? Swali hilo ukilipatia jibu utaelewa kwanini nida ni muhimu maana ina cheti chako na cha mzazi/wazazi vya kuzaliwa so its your first identinty. Na nida jamani ilianza rasmi 2010 kaka sikosei waajiriwa wengi wasasa walkkua shule au chuo maanake ilikua bado au ndio upo kwenye mchakati wa kujiandikisha ulikua na nafasi ya kurekebisha majina kwenye vyeti vyako vya shule viendane na nida... wanahaki kuuliza kwanini majina hayaendani...ukibadili majina kwejye cheti cha kuzaliwa nida uliyotumia kama username itatokea ileile ya zamani.. how to fix this ni kwenda kwa mwanasheria ukubali kuwa majina yote ni ya kwako na yatumike kwenye shughuli yoyote rasmi..so utaweka vyeti hapo na barua ya utjibitisho wa mwanasheria, swali kidogo kwani ajira zile waliopata bado wanaenda kukagaliwa tena sio ndio walishakagua mule mule oteas
 
Habari wana JF. J mfano: kwenye NIDA INASOMA MAJINA MATATU. JUMA SAIDI AWADHI. ila kwenye vyeti vya taaluma vyote nilitumia UFUPISHO JINA LA KATI yaani SAIDI A AWADHI je kuna shida yoyote hapo? Au NIDA haijawahi kuwa na ufupisho?
 
kuwa makini jina la mwanzo lazima lifanane kama juma Saidi Awadhi
kwenye cheti inatakiwa Juma .S. Awadhi

sio nida juma saidi awadhi cheti Saidi . A.juma hao ni watu wawili tofauti

angalizo majina lazima yafanane cheti hata kikiwa mawili tu nida matatu ila lazima hayo mawili yawepo kwenye nida trna yafanane
 
je vipi kwa mfano jina kwenye cheti cha kuzaliwa pamoja na nida inasomeka hivi MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakini katika vyeti vya taaluma pale jina la kati kuna ufupisho(initial name) na jina kamili kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA je kutakuwa na shida yoyote katika kuomba kazi serikarini???
 
Back
Top Bottom