Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Fafanua kidogo tuweze kujifunzaYamenipa mafanikio
toka nianze kuishi na mwanamke..Fafanua kidogo tuweze kujifunza
Wengi tumepata changamoto za kupata wenzi sahihiFaida nyingi kuliko hasara km utampata mwenzi sahihi..
Haya mambo huwa hayatabiriki, wengine uzeeni wanapeana talaka. Vipi kwenye kumilikishana mali, yeye anamiliki asilimia ngapi?toka nianze kuishi na mwanamke..
1.hela inakaa zamani nilikuwa nikipata hela mpaka iishe ndo aman ya moyo ipatikane..sasa hv hela inakaa kaa
2.mwanamke amenifanya nipate hasira ya kumalizia ujenzi
3.navaa nguo safi napendeza kabla sijatoka kazini lazima anikague muonekano
4.nakopesheka..nikitaka kutatua shida na sina hela basi naenda naye sehemu naaminika wananipa msaada.
5.sijawahi kununua malaya toka niwe naye..imetokea tu naona uvivu kwenda kumpa malaya 20000 eti ili nimgonge tu
Wewe utakuwa mhanga kwenye hili 😀
Mkuu mahusiano ni kwaajili ya mapenzi na sio mahusiano ya kibiashara , ndio maana kuna mahusiano ya namna nyingi🤔
Leta ushuhuda tuweze kujifunzaAisee
Mali zenyewe ninazo basi...kabanda cha vyumba vitatu ni mali??Haya mambo huwa hayatabiriki, wengine uzeeni wanapeana talaka. Vipi kwenye kumilikishana mali, yeye anamiliki asilimia ngapi?
🤣🤣Hapana mkuuWewe utakuwa mhanga kwenye hili 😀
Inawezekana wewe ukawa mnufaika, leta ushuhudaNasoma comments 🤒
Mhanga mwingine huyu hapaMbona hujaongelea upande wako? Umepost rubbish FU*K OFF
Nasoma comments mkuuInawezekana wewe ukawa mnufaika, leta ushuhuda
Unajua mkiachana, kuna kugawana mlicho chuma pamoja?Mali zenyewe ninazo basi...kabanda cha vyumba vitatu ni mali??
Me sijui kama nikikwambia kwamba sinaga mpango na mawazo ya kuja kuwa tajiri sana utaniamini????????????????