realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Kila mmoja utamani kuingia kwenye mahusiano; haijalishi anapata faida au hasara, ingawa wapo wachache wanaopata faida, na pia wapo wengine wanapata hasara na kujikuta wanarudi nyuma miaka 20 iliyopita kimaendeleo.
Sasa ndugu zangu nawauliza; Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?
Nipo hapa kijijini na kata langu la togwa, nikisikiliza vilio vyenu.
View attachment 3137576Nimefanikiwa sana 😅😅😜