EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
Ya kiroho Mkuu.Ni ya kiroho au ya ulevi wa visungura!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kiroho Mkuu.Ni ya kiroho au ya ulevi wa visungura!?
You attract who you areMahusiano ni mazuri sana kimbembe ni kumpata mtu sahihi ila ukimpta mtu sahihi mabadiliko utayaona tu.
Nilishakuwa na msichana nafanyia kila kitu upendo wa kweli na sikuwahi hata kuwaza kumcheat japo na yeye sikuwa na mshaka nae pia ila unajua nn kilitokea ?You attract who you are
Ukiwa mtu sahihi utapata pia mtu sahihi
Kila kitu kinaanza na wewe
Wewe mwenyewe hujipendi halafu unataka mtu mwingine akupende? Haiwezekani
Usiwe mwaminifu sana kwenye mahusiano ni hatari kwa afya yako, usipende sana hadi kupitiliza.Nilishakuwa na msichana nafanyia kila kitu upendo wa kweli na sikuwahi hata kuwaza kumcheat japo na yeye sikuwa na mshaka nae pia ila unajua nn kilitokea ?
Ghafla tu naona anampost bwana ake siku namuuliza ananambia mi nilikuwa na ww ila sijawahi kukupenda sikuwa na hisia na ww japo we ulikuwa mtu mwema kwangu.
Bro iliniuma mno ukizingatia nishapoteza mda wangu pia vizawad na matarajio yangu kwake yalikuwa makubwa.
Nimekutumia inbox broUsiwe mwaminifu sana kwenye mahusiano ni hatari kwa afya yako, usipende sana hadi kupitiliza.
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikupe aina ya mtu atakayeweza kuwa sahihi kwako
Usitaje mwaka tarehe na mwezi tu
Nitumie tu hapa hapa hadharani, tarehe na mwezi tu Usitaje mwakaNimekutumia inbox bro
Tarehe 1 mwezi wa 3Nitumie tu hapa hapa hadharani, tarehe na mwezi tu Usitaje mwaka
Tafuta mtu aliyezaliwa kati ya tarehe 22 oktoba hadi 22 NovemberTarehe 1 mwezi wa 3
Ahsante sana kaka ubarikiwe kwa ushauri wako huuTafuta mtu aliyezaliwa kati ya tarehe 22 oktoba hadi 22 November
Huyo unaweza kuendana naye vizuri sana
Wewe umezaliwa na huruma na upendo uliozidi kwa wengine, unapenda hadi unapoteza fahamu
Siyo jambo baya kuwapenda sana wengine lakini ukizidisha na ukakutana na mtu ambaye hamuendani utapata tabu sana na kuishia kujuta
Wapende watu wote lakini usiwaamini, jiamini wewe mwenyewe peke yako na Mungu wako
Practice detachment utaishi kwa amani
Wengine unaoendana nao ni hawa wawili wafuatao ;
2. Aliyezaliwa kati ya tarehe 21 April hadi 20 may na
3. Aliyezaliwa 21 juni hadi 22 July
Hii usijaribu mimi ilinitokea puani, kiufupi mapenzi ya mtandaoni ni utapeliWapenzi wa mitandaoni sitaki hata kusikia. Ijapokuwa watu ni wale wale lkn sio wa humu, nitapambana na wa huku huku kitaa.
Wewe ni mtu wa kupenda kusali na kuwa karibu na MunguAhsante sana kaka ubarikiwe kwa ushauri wako huu
Ameeni Mungu anisimamie kwa kweli maana kupata mwenye mapenz ya kweli imekuwa ni kazi zaidi ya kutfuta kaziWewe ni mtu wa kupenda kusali na kuwa karibu na Mungu
Watu wengine hudhani wewe ni mchawi
Kwa Kawaida unafikiri na kutenda kwa kutumia moyo badala ya ubongo na ndipo chanzo cha shida zako kilipo
Utatakiwa upate mtu mwenye roho ya kujali wengine, mwenye kuheshimu wengine
Tofauti na hapo utalazimika ujifyatue akili uishi kama usiyejali na usiyependa hadi kufa jambo ambalo sikushauri, Naamini utapata unayeendana naye kwa mapenzi ya Mungu kwako
Mapenzi siyo Lazima yawe ndoa au yaishie kuwa ndoa, pia siyo Lazima kila penzi liwe ni penzi la kudumuHii usijaribu mimi ilinitokea puani, kiufupi mapenzi ya mtandaoni ni utapeli
Jifunze kupitia your past.Fafanua kidogo tuweze kujifunza