Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

Kiukweli sijafanikiwa kuhusiana, ila ninaimani mkikutana wote na ikawa sahihi mafanikio yapo ya kutosha kwa sababu baraka za mke huenda kwa mme.
Na ndio maana, mkigombana ndani hata kazini huwezi perform vizuri. Neno la mke ni baraka. Ukifungiwa tai na shati likiwa limepigwa pasi vizuri na mke, kazini utakuwa unaona mambo yanajipa yenyewe. 😄
Changamoto ni kumpata mtu wa namna hiyo
 
Nililelewa na niliamini kumoenda mwenza wako kwa moyo wako wote, kujitoa kwake na kumuweka mwenza wako kwanza.

Kuwa muaminifu kwake na kumpa heshima na adabu zote za kiafrika.

Kumbe nilikuwa nampigia mbuzi gitaa, he take advantage of me having so many sources of fund, he collects alot of funds for his benefits then start to be bitter.

I quit and start all over again.

The loss I incurred was the investment for future as a lesson not to repeat the mistake 😉.
 
Back
Top Bottom