Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Jamaa akawa anajua ameshaniteka sifurukuti kila kitu natii halafu yeye anatongoza saa ingine mbele yangu, nakutana na meseji za wanawake zake kwenye simu, vikaratasi kwenye mifuko ya nguo ya namba za simu za waschana nikajisemea ntakufa
Kumbe wazee pia huwa mnadanganya🤔 ..miaka ya 90 unakutana na meseji za wanawake kwenye simu!!!?

Haya bhana
 
Huyo mchuchu apewe tuzo maana alikutendea haki, sio hicho kibabu chako kimechokaa kama mlenda wa Moshi kwa wachaga 😀
 
Daah... after all we had been through... Damn it... umeona umwage mchele... umejeruhi kwa tindikali kuta tulivu za Moyo wangu... vipi mbona mema yangu huja tamka, Truly nmekuwa Shetani kwa 10 years... haya bhana... lesson learnt...Night night


Aahahahahahahaaa

Acha ibaki stori tuu, usithubutu kukutwa.
 
Ubaya wa wanaume wapigaji ni kuwa wanajua kubembeleza....kujitoa kwao ni hadi upate msaada wa Mungu.

Unachosema ni kweli kabisa, kuna kipindi ndugu zangu waliingilia kati hadi baba na mama... nikaondoka kwa huyo mchumba....
Akaja akaomba msamaha anataka aendelee kuishi na Kasinde...

Nikaulizwa unasemaje, nami nishamisi mikito ya kitandani nikarudi...
Kudaaadekiii....

Miezi 2 tuu karudia ufirauni wake, nilivyoondoka, nilinyanyuka mwenyewe bila support ya kaka, mjomba wala wazazi...

Hadi leo sijawahi kurudi kwake....

Namshukuru Mungu.
 
Njoo taratibu kasie ntakudunda bure..
Huyo aliekuwa anakutomasa asikudanganye alikuwa anakupiga Kuna watu sisi ni mafundi wa visago!,wajifanya kuwa gaidi we mrembo tu!.

Sina matani kwenye abusing relationships/ violence...😏😏
 
Swali langu kwako, tangu umeachana na mchuchu aliyekuwa anakusugua barabara vp uliwai kuolewa kwa ndoa au ndio kwishney mpk upo na babu now days?
 
Back
Top Bottom