Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

1990 mnatumiana SMS kwenye mobile phone?!!
 
Simu ya kwanza iliingia 1994 (Tritel). Mwaka 1990 kulikuwa hakuna mobile phones Tanzania.

Duuh kama hamtaelewa basi,

Kuhusu meseji za simu na mwaka 1990 nimeviweka makusudi kupunguza dots za uhalisia maana hii ni habari ya kunihusu kabisa.
 
1990 mnatumiana SMS kwenye mobile phone?!!

Fcuk Bataringaya hata wewe hujaelewa....

Niko Lushoto baridi inanikong’ota hatari.....

Nna kama wiki tatu huku ndo nishuke Daslam.....
 
Bibi poleee aseee, story yako imetoa funzo kubwa sana, now Enjoy mapenziiii. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Bibi poleee aseee, story yako imetoa funzo kubwa sana, now Enjoy mapenziiii. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Vyema kama umepata funzo.

Asante nshapoa.
 
Yaliyopita si ndwele, ganga yajayo and keep on enjoying the love you have now...!
 
Kama haupendi ukatili na uyu dogo hpa ww kassie ulikua unamkanda kama ngano kwa nini? Alafu mwaka1990 hakukua na cm za kujaza vocha au umeongea kwa code mimi ndyo mgumu kuelewa?
20220528_185232.jpg
 
Back
Top Bottom