Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Swali langu kwako, tangu umeachana na mchuchu aliyekuwa anakusugua barabara vp uliwai kuolewa kwa ndoa au ndio kwishney mpk upo na babu now days?

Nilikaa mseja kipindi kirefu sana nikijitibu/ nikitibiwa afya ya akili...
Ilibaki almanusura nilazwe Muhimbili sacatric baada ya kuachana nae.....

Babu nilikuja kukutana nae miaka 15 baadae.....

Hapo kati kote nilikuwa naishi kwa msuba /ganja.....

Wasn’t easy at all....!

HollyGod am outer there.
 
Unachosema ni kweli kabisa, kuna kipindi ndugu zangu waliingilia kati hadi baba na mama... nikaondoka kwa huyo mchumba....
Akaja akaomba msamaha anataka aendelee kuishi na Kasinde...

Nikaulizwa unasemaje, nami nishamisi mikito ya kitandani nikarudi...
Kudaaadekiii....

Miezi 2 tuu karudia ufirauni wake, nilivyoondoka, nilinyanyuka mwenyewe bila support ya kaka, mjomba wala wazazi...

Hadi leo sijawahi kurudi kwake....

Namshukuru Mungu.
Pole sana..watu wanapitia mengi.
 
Mwaka 1990 hiyo? Basi yeye tu na wewe ndio mlikuwa na simu yenye uwezo wa meseji Tanzania. Simu wakati huo zilikuwa za mezani na wakati wa kupiga, unakoroga (dial kwa kizungu).
Jamaa akawa anajua ameshaniteka sifurukuti kila kitu natii halafu yeye anatongoza saa ingine mbele yangu, nakutana na meseji za wanawake zake kwenye simu,
 
10 fckn years unavumilia kipigo[emoji15][emoji15],, hzo roho mnazitoaga wapi nyie [emoji848][emoji848],

Na wako wengine hadi umauti unawakuta humo tunaishia kusoma na kusikiliza kwenye vyombo vya habari.

Uthubutu wa kutoka humo sio kitu rahisi, ni mpaka victim aamke anyanyuke mwenyewe.....

Wengi wanafia humo na mifano hai imo.

Bila kujali sababu, violence sio nzuri kiafya, inaharibu akili sanaa.
 
Simu ya kwanza iliingia 1994 (Tritel). Mwaka 1990 kulikuwa hakuna mobile phones Tanzania.
Hiyo ya simu ilikuwa zishaingia TZ, kuna namna nimesimulia kuondoa dots au koneksheni na uhalisia kabisa....
 
Mwaka 1990 hiyo? Basi yeye tu na wewe ndio mlikuwa na simu yenye uwezo wa meseji Tanzania. Simu wakati huo zilikuwa za mezani na wakati wa kupiga, unakoroga (dial kwa kizungu).

Soma post namba 8 nimejibu hili.
 
Back
Top Bottom