Tuliza makalio. Kasie ni mke wangu halali na niko naye hapa TorontoKwani wewe amekwambia yuko nchi gani? Mi kanambia yuko Tanzania na ni mstaafu. Kuna siku kapiga picha anatembea mjini Dar.
Kwani wewe unawashwa nini? Kidampa nini? Jikune.
Mbona wewe ulinivumilia miaka 7?Pole kassie
Miaka 10 umevumilia sana
Wengine hata mwaka tusingefika.
Yaani kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya namuweka wazi kabisaa siku mkono wako utakapotua juu yangu kwa kipigo, ndio tunayoachana tena tutaachania kituo cha polisi
Pole sana
Bado unakula kijiti?Nilikaa mseja kipindi kirefu sana nikijitibu/ nikitibiwa afya ya akili...
Ilibaki almanusura nilazwe Muhimbili sacatric baada ya kuachana nae.....
Babu nilikuja kukutana nae miaka 15 baadae.....
Hapo kati kote nilikuwa naishi kwa msuba /ganja.....
Wasn’t easy at all....!
HollyGod am outer there.
Unataka aning'oe bandama kabisaDawa ni kutafuta mchepuko
Funguka tupone, ulijitoaje?Vipigo kwa wenza ni unyanyasaji wa hali ya juu kabisa inaharibu hisia, mwili, saikolojia na akili ya mpigwaji,, sitaki hata kukumbuka
Are you continuing to contact with your ex mchuchu?I have no jokes to violence...!
Naelezeaga nusunusu, huwa sipendi kuzungumzia uhalisia wangu wote humu, hamna msaada wowote humu zaidi ya bullying tu,Funguka tupone, ulijitoaje?
Aisee shkamoo Mama.
Babu huyu bibi yangu ameshakua addicted na vipigo heavy for 10 years, siku moja moja na wewe uwe unashtua makofi ya hapa na pale unamkumbushia enzi za ujana wake, halafu akilia unambembeleza kwa huba kama lote, akinyamaza unampiga ukuni wa maana anashinda anachekacheka tu kutwa nzima.Sasa wewe umejuaje kama yuko Tanzania?
Kupigwa ndio kupendwaaaaah' wapi...!!
Kwanini nipigwe sasa..??
Kwa ndugu zetu wa ule mkoa kanda maalumu kupiga ndio mahaba au hujawah sikia hyo kasie ?Geees...!! Can you tell same words to your daughter or sister...!!???
To have a brake is okay but not to kill herself..
Na wanaume wa hivyo wala sio waleaji, atawatesa watoto tuu...
Shugaaaaaa nimechekaaaaa
Well msuba nilianza kuupiga katikati karibuu nani mwisho wa kuachana na mchumba.
Hiyo ya simu ilikuwa zishaingia TZ, kuna namna nimesimulia kuondoa dots au koneksheni na uhalisia kabisa....
Nashukuru nimefanikiwa. 🤓
Don't be a weak my dearest sister siku akitaka kukupiga mwambie ukijaribu nitakuvizia usiku umelala nikumwagie maji ya moto usoni na mwiliniKuna misimamo nimemuonyesha, amebadilika Ila Mimi sina Imani nae tena, nahisi kuna siku anaweza kunipiga tena....
Ila nimejiapiza siku akinigusa hii ndoa imeisha.
Ooh, poor you!Naongea with experience, najiona kabisa naelekea kufia mikononi mwa mtoto wa mtu, Ila ndo hivo nimevurugwa na show, nakitoka kupewa kichapo nabembelezwa hadi natamani niseme nipige tena....
Niombeeni.