Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Diva Ameiga uzi wetu sema yeye ameuleta ze opposite...
Naka kama naka ni kama majiiii......
Usiponioga utaninywa usiponinywa utanifulia usiponifulia utanyweshea mimea
Hivi ameshasema chochote kukanusha hii connection yake
 
Hahaha... Ukiweza kucheza karata zako vizuri utawin wanawake wengi, unajua wanawake thought pattern yao pamoja na maamuzi yame-base sana kwenye hisia, kwa hiyo ukiweza kucheza na sehemu hiyo, you can hit on the first date, no cap.
Umefanya nimkumbuke Catherine wa kile chuo jirani na maflateli.

Tulikutana dukani kwa mama Vee saa mbili kasoro. Mimi ni muumini wa miili portable mpaka average, ile mingine nawaachia nyie. Catherine alikua portable na m'bichi m'bichi. Kutoka pale dukani nilimsindikiza uelekeo wake wa kama mita 130 ivi, lakini nikihakikusha haingii kwake, baada ya 1hr tukiwa getini kwao tukaanza kuelekea kwangu. Bahati mbaya hiyo siku nilikua na wageni wawili ndani so hatukuweza kuingia, tulikaa kibarazani mpaka saa 7 usiku.

Kiukweli ni mimi tuu kwa heshima yangu sikupenda kumuinamisha pale kibarazani ila ilibaki kazi kwangu tu. Maana kila aina ya touching and caressing ilifanyika, fingering too. Alikua na ngozi laini sana.

Baada ya kushindikana pale, tulihamia getini kwao. Mchezo ulikua ni ule ule. Ila pale palikua na mwanga flani. Baadae aliingia ndani. Sikumtafuta siku mbili, ya tatu namcheki, alituma msg ina zile vocabulary za kwenye sheria ngumu ngumu zilee... Alikua mwanafunzi wa sheria pale chuoni.
Alijilaumu sana kufanya aliyofanya usiku ule, hakutaka tena kuniona (she was bluffing). Long story short, nilimmudu na tukawa na appointment kwa weekend iliyofata, too bad nilisafiri. Hajikuwahi kuendelea kitu between us.
 
Mwanamke huwa anataka kupenda. Ukijidai muda wote unampigia simu na kumtumia meseji za kumjulia hali atakudharau.
Kuwa bize na mambo yako kwa siku mpigie simu moja au mbili tu uone atakavyokupenda na kukusumbua kila muda.
Umeongea point kubwa sana[emoji123]. Wanaume inabidi tufanye kazi.

Wifi/shemeji yenu nilikuwa nampetipeti sana akawa anaringa anapokea msg na simu akijisikia now nimekata kamba kabisa anadai namsaliti na simjali. Hapa sasa hivi nimemwambia kama anahisi hivyo atafute chaka mapema.

Ukipendwa ringa[emoji16]
 
Umefanya nimkumbuke Catherine wa kile chuo jirani na maflateli.

Tulikutana dukani kwa mama Vee saa mbili kasoro. Mimi ni muumini wa miili portable mpaka average, ile mingine nawaachia nyie. Catherine alikua portable na m'bichi m'bichi. Kutoka pale dukani nilimsindikiza uelekeo wake wa kama mita 130 ivi, lakini nikihakikusha haingii kwake, baada ya 1hr tukiwa getini kwao tukaanza kuelekea kwangu. Bahati mbaya hiyo siku nilikua na wageni wawili ndani so hatukuweza kuingia, tulikaa kibarazani mpaka saa 7 usiku.

Kiukweli ni mimi tuu kwa heshima yangu sikupenda kumuinamisha pale kibarazani ila ilibaki kazi kwangu tu. Maana kila aina ya touching and caressing ilifanyika, fingering too. Alikua na ngozi laini sana.

Baada ya kushindikana pale, tulihamia getini kwao. Mchezo ulikua ni ule ule. Ila pale palikua na mwanga flani. Baadae aliingia ndani. Sikumtafuta siku mbili, ya tatu namcheki, alituma msg ina zile vocabulary za kwenye sheria ngumu ngumu zilee... Alikua mwanafunzi wa sheria pale chuoni.
Alijilaumu sana kufanya aliyofanya usiku ule, hakutaka tena kuniona (she was bluffing). Long story short, nilimmudu na tukawa na appointment kwa weekend iliyofata, too bad nilisafiri. Hajikuwahi kuendelea kitu between us.
ulizingua aisee ungemshikishaa ukutaaa..
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Hivi nyie viumbe mbona hamueleweki?,Mara mseme mnataka mwanaume wa kuwa care muda wote,mara leo tena hamtaki wa kupiga piga simu kuuliza hali yako.Aisee nyie viumbe wa ajabu sana.
 
Hivi nyie viumbe mbona hamueleweki?,Mara mseme mnataka mwanaume wa kuwa care muda wote,mara leo tena hamtaki wa kupiga piga simu kuuliza hali yako.Aisee nyie viumbe wa ajabu sana.
🤣🤣🤣🤣Eti jobless 🙌
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
 
Na hizo. Nyege zenu siku ya kwanza mnazitangaza ili iweje??

Mbona mnapenda kujiona watakatifu sana,,wakati chanzo ni nyie

Ukitulia na hizo hamu hakuna atakae kuomba pesa zaidi ya dada zenu.
Kwaio hamu zinakua exchanged na hela =which means kuna kuuza na kununua kwaio asilimia 90% wanaoomba hela wanajiuza lakini sio rasmi...
 
Nimetoka kuachana na mwanamke masaa machache yaliyopita ambaye nimedumu naye mwezi 1 na nusu.

Kuna kitu angekiri tu ningemsamehe, lakini kakaza hajafanya na wakati evidence zote zipo wazi. Na aliyefanya naye kathibitisha. Kuona kama haitoshi nikatuma mtu akamhoji kwa ujanja yule mwenzie waliyefanya nae, akasema kweli wamefanya.

Mtoto kakaza tu hajafanya.
 
Mimi yangu yalidumu masaa matano tu .Kuna single maza mmoja tuko nae mtaani yuko vizuri anafaa kwa matumizi, juzi tu nilimuomba namba yake ilikuwa mchana akanipatia nikamuimbisha single maza kakubali, eti jioni ananipigia simu ananiambia "watoto wako wanataka chipsi mayai na mishkaki miwili" kabla hajakata simu akaniita "mumewangu" kisha akaniambia "uwachukulie wanao na soda" akamalizia kusema "nakupenda sana mumewangu"

Ana wazimu nikamtia bloku kwenye simu mpaka duniani, hata mapenzi hayajachanganya naitwa mume na watoto nimepewa. Mgonjwa kweli huyu single maza.
Hapo mhindi kakuoa cap +2
 
Back
Top Bottom