Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

(1)Mimi masaa 4 alinipa namba nikampigia akasema hana hela ya umeme na vocha. Nilikata simu mpaka leo sijampigia

(2) Huyu nilimpa namba ndani ya wiki moja akasema birthday yake anataka nimtumie 200,000 afanye birthday party sijamjibu mpaka leo.


Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
Hao walikuwa hawakupendi
 
Mimi dakika 5 tu nimkutana nae stendi nimetongoza kakubali. Gari ya Gongo la mboto imefika, kaniandikia namba. Kaondoka kupiga simu haipatikani. Mpaka Leo namba haipatikani huu mwaka Sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe alikuona kuwa sio type yake.
 
Nilimtongoza akanikubalia. Ktk chatting akaniuliza jina nalotumia insta nikamtajia, na yeye akanitajia la kwake. Akani-follow. Nikaangalia watu anaowafollow, lahaula nikamkuta Joyce Kiria pale!

Nikaanza fatilia post za Kiria nikakuta mamaa ana-comment kwa kuonyesha anasupport harakati za yule mwanadada. Sikua na jinsi zaidi ya kumtema. Ilichukua dakika 20.
🤣🤣🤣🤣🤣 Ukaona hapa majanga yanakuja
 
Mimi yangu yalidumu masaa matano tu .Kuna single maza mmoja tuko nae mtaani yuko vizuri anafaa kwa matumizi, juzi tu nilimuomba namba yake ilikuwa mchana akanipatia nikamuimbisha single maza kakubali, eti jioni ananipigia simu ananiambia "watoto wako wanataka chipsi mayai na mishkaki miwili" kabla hajakata simu akaniita "mumewangu" kisha akaniambia "uwachukulie wanao na soda" akamalizia kusema "nakupenda sana mumewangu"

Ana wazimu nikamtia bloku kwenye simu mpaka duniani, hata mapenzi hayajachanganya naitwa mume na watoto nimepewa. Mgonjwa kweli huyu single maza.
Daaah sio fair we ungeendelea na huu mziki wake.

Huku ukipima mengine
 
Wakuu habari zenu,

Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....

Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja.

Nlijiona tu siko sehemu salama nikaamua kukatisha kwa kumtafutia sababu isiyo na kichwa wala mguu na kuendelea na yangu.

Hadi leo yule kaka ananilaumu na ile sababu niliyomtafutia hajaikubali milele.
Na wewe tulia tu zamu yako inakuja

Anyway... Mahusiano yangu mafupi yalichukua siku tano.

Tongoza demu leo kesho yake nikapeleka mbususu location nikaichakata sana. Alichojichanganya ni kunitania ana mimba[emoji51][emoji51] Aisee nilimkataa mpaka leo haamin kilichotokea.
 
juzi tu nimeomba namba nkapewa tukachat kidogo akasema my gas imeishaa hapa yani hata sielewi nafanyajee.... na mimi msg zikaishaaa ghafla na simu sikupokea tenaa 😀 😀 😀
Hahahahah daaah.

Yaani watu hawana huruma

Umetongozwa leo hii na leo hii unapiga mzinga daah watu wako fasta
 
Masaa 3 nadhani alinipa mawasiliano badae napita kwake naomba mbususu ananipa nakutana na bwawa nikatokomea mazimaa
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Umeongea point kubwa sana[emoji123]. Wanaume inabidi tufanye kazi.

Wifi/shemeji yenu nilikuwa nampetipeti sana akawa anaringa anapokea msg na simu akijisikia now nimekata kamba kabisa anadai namsaliti na simjali. Hapa sasa hivi nimemwambia kama anahisi hivyo atafute chaka mapema.

Ukipendwa ringa[emoji16]
 
Nilianzisha mahusiano na bint wa chuo akiwa mwaka wa pili Dar, mdada mrembo sana wa Kihaya,jioni ya siku hiyo tukatoka for dinner,mwanachuo akaagiza kitimoto kg mbili na ndizi sita,mi nikaagiza kuku nusu na ndizi moja pale pale after dinner sikuwa na story nae na no nikafuta
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Well noted[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tu
Na wewe tulia tu zamu yako inakuja

Anyway... Mahusiano yangu mafupi yalichukua siku tano.

Tongoza demu leo kesho yake nikapeleka mbususu location nikaichakata sana. Alichojichanganya ni kunitania ana mimba[emoji51][emoji51] Aisee nilimkataa mpaka leo haamin kilichotokea.
Tunaoteana tu mkuu
 
Mm hata cku moja siwez mdanganya dem eti stofanya ktu hapaaana huwa spendi kupotezeana muda. Kuna cku nimepata looseball nkaingia nalo geto. Mida ya kulala ananiambia yy analala kwny kiti, nkamwambia haiwesekani ulale kwenye kiti akat kitanda kpo. Akakaza kwamba nkitaka alale ktandan bas nimuahid kwamba atutafanya ktu. Nkamwambia live "mm siwez lala na mwanamke afu nisimt.o.m.be. bas bwana kukawa na kaubish ka hapa na pale mwishoe nkamwambia bas fanya hv kwa kua saiz bado mapema (ilikua saa 6 ucku) wacha nkurudishe nlikokutoa mana nsije nkakubaka buree. Akakubali nkamrudisha
Ulifeli sana chief,
Wanawake wanapenda Sana kuambiwa uongo[emoji4]
 
Diva Ameiga uzi wetu sema yeye ameuleta ze opposite...
Naka kama naka ni kama majiiii......
Usiponioga utaninywa usiponinywa utanifulia usiponifulia utanyweshea mimea
 
Diva Ameiga uzi wetu sema yeye ameuleta ze opposite...
Naka kama naka ni kama majiiii......
Usiponioga utaninywa usiponinywa utanifulia usiponifulia utanyweshea mimea
Daah mimi nahitaji nikunywe mrembo..utakuwa mtamu balaa[emoji28]
 
Back
Top Bottom