Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Tulikubaliana sex ni hadi tufunge ndoa
Mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikubaliana sex ni hadi tufunge ndoa
Aliyewatia somo mwenyewe kashatoa boko hapo juu anapanda mabasi mabovu ya kuharibika njian kufika usiku wa manane.Af analala gest badala ya Hotel 😂😂😂Bora umetupatia somo
Hope wamekusikia
Late mama alinipatia story moja kwamba wakati mapenzi yakiwa moto hawajafunga ndoa bado wakifika hotelini baba alikuwa anatoa hela yeye ili alipe lakini mama akawa anakataa anamwambia hata yeye (mama) Ana mshahara hivyo atalipa yeye.
Lakini hapa angalau baba alikuwa anaonesha uanamume wake kwa kutaka kulipa ndipo bi mkubwa akawa anakataa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulikutana mgawani macho yakakutana,nikamkonyeza akanirudishia mkonyezo..!
Haikuwa rahisi kumfuata alipokaa bali nilipomaliza nilienda kwa cashier nikalipa vyake na vyangu, kisha nikatoka nje nikamsubiri
Miaka hiyo hakukuwa na boda hivyo nilikodi baiskeli ya kumsindikiza aendako(alikuwa teyari keshatangulia)
Safari yetu iliishia shamba la migomba.. Kufumba na kufumbua alishasaula na kulala chini huku kachanua miguu.. Ilinichukua sekunde chache kujua ni chizi fuleshi
Mbio nilizotimua baada ya hapo sitakaa nikimbie vile tena maana kugeuka nyuma kaniungia uchi wa mbuzi huku akipiga kelele kwamba lazima nimuoe..[emoji24][emoji24][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha aling'ang'ana kwenda kwaya me nkamwambia asiende namhitaj mda huo. Nlijua kabisa ataenda ...aliporudi akakutana na kibuti saaafii
Alikuwa anatafutiwa sababu kwakuwa nilishaona nimebug simpendi kiviile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mbona ni kama ulikuwa unamtafutia sababu ya kibuti Naka?
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
[emoji28]Alikuwa anatafutiwa sababu kwakuwa nilishaona nimebug simpendi kiviile
HajielewiHuyo naye miaka 10 yote anakubali tu kuliwa kimasihara Sihara?
[emoji23][emoji23][emoji23] poleniSi mseme mnauza ili tujue moja.
Nimekutongoza umekubali, ndani ya saa 1 unaanza kuniambia umeme umeisha, gesi sijui unadaiwa n.k
Huwa inakata stimu sana. Utakuta mwanamke anakuomba 50K unamwambia hauna anakasirika wakati yeye hana hiyo hela.
Shikamoo dyadya! 🤣🤣🤣
Tutulie[emoji1787]Shikamoo dyadya! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
800k? Hatari mno. Wewe ulipotoa ile 20k ya umeme akaona yes nshapata pa kuchota hela.Back then kabla sijaoa, tulitamaniana na dada mmoja ambaye alikuwa ndio kaanza ajira mpya, akiwa amepanga maeneo ya sinza kwa Remy.
Wakati wote tulikuwa tunakutana kwenye kituo cha daladala sinza kwa remy, labda yeye akiwa anashuka kwenye gari au ndio anapanda kuondoka.
Siku hiyo, nikasema na liwalo liwe. Nilipomwona tu, nikaenda kupaki gari kwa mbele. Nikamfata kwa miguu. Tukatembea hadi kwake. Tulipofika tu, akaniambia kuwa siku hiyo ilikuwa zamu yake kununua umeme-basi nikajikamua nikatoa 20k, nikampa. Baada ya stori za hapa na pale nikala tunda halafu nikaondoka.
Kesho yake asubuhi, nilipowasha simu (kwa sababu enzi hizo tulikuwa tunashauriwa kuzima simu wakati wa kulala) zikaingia msgs zake kama tatu, zote zikiwa na ujumbe mmoja, kuwa mwenye nyumba kamkumbusha kulipa kodi, na anatakuwa alipe asubuhi hiyo, kwa hiyo ananisubiri kwa kituoni kwa remy nimpe laki 8.
Basi huo ukawa mwisho wetu. Nilimwacha in less than 24hrs.
Utatuma mara moja tu. Raha ya kumtumia hela mwanamke ni na wewe uwe na uwezo wa kumtumia. Kwamba unaweza ukamwambia njoo muda wowote akaja ukamla. Sasa mie niko Dar mwanamke yuko Singida eti niwe natuma hela si ufala huo. Bora niwe nimezaa naye hapo sawa.kama una hela ukiombwa laki n ammekutana leo unatumaa tuu
Warembo mnapenda kudanganywa bwana sijui ni kwanini. yaani mwanaume ukiwa mkweli basi jiandae kungoja sana hata mwaka unaweza ukawa umewekwa kwenye foleni tu unaabiwa unafikiriwa ombi lako.🤣 ila wanaume na hiyo kauli yenu ya sitofanya kitu kabisa huwa inaniacha hoi
Mm nilidhani wanawake Wote mnapenda wanaume ambao kwenye mahusiano hawataki sex hadi ndoa, kumbe NakadoriWalaaa nilimkataza kwakua nilitaka kumuacha... yalikuwa mahusiano ya kikanisa tunda mpaka ndoa...
Ni kama wewe mwanamke akwambie usiende kazini bika sababu ya msingi.