Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni vizuri kwa kuwa umepunguza ila hujaachaNlikuwa serious sana...ila baada ya kujua walimwengu sio serious kiviile imebidi nipunguze tu
Mm hata cku moja siwez mdanganya dem eti stofanya ktu hapaaana huwa spendi kupotezeana muda. Kuna cku nimepata looseball nkaingia nalo geto. Mida ya kulala ananiambia yy analala kwny kiti, nkamwambia haiwesekani ulale kwenye kiti akat kitanda kpo. Akakaza kwamba nkitaka alale ktandan bas nimuahid kwamba atutafanya ktu. Nkamwambia live "mm siwez lala na mwanamke afu nisimt.o.m.be. bas bwana kukawa na kaubish ka hapa na pale mwishoe nkamwambia bas fanya hv kwa kua saiz bado mapema (ilikua saa 6 ucku) wacha nkurudishe nlikokutoa mana nsije nkakubaka buree. Akakubali nkamrudisha[emoji1787] ila wanaume na hiyo kauli yenu ya sitofanya kitu kabisa huwa inaniacha hoi
Kwani mnaziuza? Mbna hamtangaz bei?Wanataka k za bure
Mh, ni story ndefu.Huyo naye miaka 10 yote anakubali tu kuliwa kimasihara Sihara?
Inategemeana na mtu tu braza.Kuna limoja nilikutana nalo tena huko huko tanga yan zitoo kama gogo la MbuyuMimi yalikua ya week 2 na msambaa mmoja wa Tegeta iyo siku nimetoka kumnyandua narud zangu mabibo niko kwny traffic ya mwenge akaanza kupga simu kipuuz me nikamwambia hiz calls hata ziwe nyingi vip haziwez kuungana kuwa wimbo tulia,ndo km tukakaushiana mazma, alikua mtamu sana anarotate kila upande,iyo cku nimempga akaona simwagi ikabid aanze blow job nikammwagia mdomoni nyieeee Tanga mapenz yapo sio hadithi za kusadikika
Ahahahah....hii ilikua geometric progression mkuu 😂😂😂Tumekutana kazini kwake
nikakasemesha kakasemeka, jioni nikaombwa zawadi nikapeleka,kesho nikuombwa bando nikaunga kesho nikaombwa 50,000 isiyo hata na maelezo.
Nikaona hapa kuna hesabu za kuzidisha tu nikatulia.
Hivi wanawake wanaomba omba at the beginning huwa wanafikiria nini ambacho wengine hatukijui labda??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mshana jr nilete vitumbua?Tulikutana mgawani macho yakakutana,nikamkonyeza akanirudishia mkonyezo..!
Haikuwa rahisi kumfuata alipokaa bali nilipomaliza nilienda kwa cashier nikalipa vyake na vyangu, kisha nikatoka nje nikamsubiri
Miaka hiyo hakukuwa na boda hivyo nilikodi baiskeli ya kumsindikiza aendako(alikuwa teyari keshatangulia)
Safari yetu iliishia shamba la migomba.. Kufumba na kufumbua alishasaula na kulala chini huku kachanua miguu.. Ilinichukua sekunde chache kujua ni chizi fuleshi
Mbio nilizotimua baada ya hapo sitakaa nikimbie vile tena maana kugeuka nyuma kaniungia uchi wa mbuzi huku akipiga kelele kwamba lazima nimuoe..[emoji24][emoji24][emoji1787]
Na hizo. Nyege zenu siku ya kwanza mnazitangaza ili iweje??
Mbona mnapenda kujiona watakatifu sana,,wakati chanzo ni nyie
Ukitulia na hizo hamu hakuna atakae kuomba pesa zaidi ya dada zenu.
Ahahahaha....braza hata mimi nilikua kama wewe ila bwana nina almost mwez sasa nachatishwa na katoto hapa mpaka najishangaa ndio mimi au 😂😂😂😂..naweza chat almost siku nzima weekend..Af nashaangaa sijaombwa bado hela ndio nashangaa hapa kuna kitu lazima hakiko sawa nsije shtukiwa napigwa na kitu kizito chenye ncha kali bila kutegemea maana siku hiz aahh hapana😀 😀 😀changamoto sana ndo maana hata mwanamke wa kubebishana sana sijui kutumiana msg siku nzima yani hatudumu hata siku moja
Wewe wiki?Wakuu habari zenu,
Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....
Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja.
Nlijiona tu siko sehemu salama nikaamua kukatisha kwa kumtafutia sababu isiyo na kichwa wala mguu na kuendelea na yangu.
Hadi leo yule kaka ananilaumu na ile sababu niliyomtafutia hajaikubali milele.
HahahaWewe wiki?
Mimi Jana niliingia kwenye mahusiano na mdada mmoja maeneo ya Kimara golani. Tulikaa meza moja nikaagiza kitimoto tukashirikiana kula, baada ya beer tulihamia Gest ya jirani kufika saa tano usiku akavunja mahusiano kisa anawahi watoto wake. Yeye ni single maza
Alikupiga pumb.u mara ngapi huyo jobless,Wakuu habari zenu,
Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....
Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja.
Nlijiona tu siko sehemu salama nikaamua kukatisha kwa kumtafutia sababu isiyo na kichwa wala mguu na kuendelea na yangu.
Hadi leo yule kaka ananilaumu na ile sababu niliyomtafutia hajaikubali milele.
Hakuwa jobless
Ni muajiriwa wa serikali mkuu.
Soma uzi utapata majibu. Hakiwahi kugusa ishu.