Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #221
Hahaha na wewe si ulikuwa unajiweka kifogo fogoBack then kabla sijaoa, tulitamaniana na dada mmoja ambaye alikuwa ndio kaanza ajira mpya, akiwa amepanga maeneo ya sinza kwa Remy.
Wakati wote tulikuwa tunakutana kwenye kituo cha daladala sinza kwa remy, labda yeye akiwa anashuka kwenye gari au ndio anapanda kuondoka.
Siku hiyo, nikasema na liwalo liwe. Nilipomwona tu, nikaenda kupaki gari kwa mbele. Nikamfata kwa miguu. Tukatembea hadi kwake. Tulipofika tu, akaniambia kuwa siku hiyo ilikuwa zamu yake kununua umeme-basi nikajikamua nikatoa 20k, nikampa. Baada ya stori za hapa na pale nikala tunda halafu nikaondoka.
Kesho yake asubuhi, nilipowasha simu (kwa sababu enzi hizo tulikuwa tunashauriwa kuzima simu wakati wa kulala) zikaingia msgs zake kama tatu, zote zikiwa na ujumbe mmoja, kuwa mwenye nyumba kamkumbusha kulipa kodi, na anatakuwa alipe asubuhi hiyo, kwa hiyo ananisubiri kwa kituoni kwa remy nimpe laki 8.
Basi huo ukawa mwisho wetu. Nilimwacha in less than 24hrs.
Acha uletewe ma invoice tu hakuna namna