Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

U hit that punani within three hours! Damn u pro
Hahaha... Ukiweza kucheza karata zako vizuri utawin wanawake wengi, unajua wanawake thought pattern yao pamoja na maamuzi yame-base sana kwenye hisia, kwa hiyo ukiweza kucheza na sehemu hiyo, you can hit on the first date, no cap.
 
Very nice...so wee ni kizichakata mbususu tuu
 
Lol ukampasua kwanza ndo ukamuacha sio
Hahaha... asingenipa heshima yangu bila ya kufanya hivyo. Unajua Nakadori sina maana mbaya ya kusema hivyo lakini, mambo ya mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke, ni kama mchuano baina ya jinsia hizo mbili. Na atakayetumia akili vizuri atamuwin mwenzake na kuwa in-control. Ndiyo maana hata mfunguaji thread, kama ni mwanaume anaweza kuja kulia kwamba amepigwa tukio, na member mwanamke pia anaweza kuja kulia kwamba amepigwa tukio, hiyo inamaanisha alizidiwa akili na mwenzake. Kwa hiyo alivyotaka kunipiga tukio, nikasema huyu lazima nimu-outsmart ili asije akanidharau.
 
Spot on mate...sex is about the transfer of power. Energy is neither created nor destroyed just transfered from one body to another.
 
(1)Mimi masaa 4 alinipa namba nikampigia akasema hana hela ya umeme na vocha. Nilikata simu mpaka leo sijampigia

(2) Huyu nilimpa namba ndani ya wiki moja akasema birthday yake anataka nimtumie 200,000 afanye birthday party sijamjibu mpaka leo.

Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
Umemaliza kwa style ya kingese sana mkuu nimecheka eti kwiooo
 
Siku ya kwanza unaanza kutangaza shida. Hatujaoana unaanza majukumu ya mume. Mm ukianza kutangaza shida nakuweka kwenye blacklist kabisa
Wanaume wengi humu wamevunja mahusiano kisa kuombwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnafrahisha sana[emoji23]
 
Hahaha... asingenipa heshima yangu bila ya kufanya hivyo. Unajua Nakadori sina maana mbaya ya kusema hivyo lakini, mambo ya mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke, ni kama mchuano baina ya jinsia hizo mbili. Na atakayetumia akili vizuri atamuwin mwenzake na kuwa in-control. Ndiyo maana hata mfunguaji thread, kama ni mwanaume anaweza kuja kulia kwamba amepigwa tukio, na member mwanamke pia anaweza kuja kulia kwamba amepigwa tukio, hiyo inamaanisha alizidiwa akili na mwenzake. Kwa hiyo alivyotaka kunipiga tukio, nikasema huyu lazima nimu-outsmart ili asije akanidharau.
Hyo mlicheza seek and hide...
 
Wanataka k za bure
Siamini kama kuna mwanaume asiyependa kumgharamia au kumtunza mpenzi wake.
Siku hizi kuna tatizo kwa wanawake wengi.
Hawajui timing za wao
Umetumia neno zito Glenn
Naam one night stand ya kukusudia na hamna urafiki/bond yoyote ni UKAHABA rafiki yangu hakuna kuremba
 
Glenn
Inakuwa haijakusudiwa...
Mnajikuta katika mazingira amvayo msha doo
Rejea swali lake..Je one night stand nayo inahesabika?.

Ni kweli inaweza tokea watu wakawa na uhusiana labda wa mwezi but baada ya ku do ukaishia hapo.
Hii hatusemi ni ya siku moja isipokuwa yalianza mwezi mzima
 
Wakuu habari zenu,

Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....

Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja.

Nlijiona tu siko sehemu salama nikaamua kukatisha kwa kumtafutia sababu isiyo na kichwa wala mguu na kuendelea na yangu.

Hadi leo yule kaka ananilaumu na ile sababu niliyomtafutia hajaikubali milele.
Tulikutana mgawani macho yakakutana,nikamkonyeza akanirudishia mkonyezo..!
Haikuwa rahisi kumfuata alipokaa bali nilipomaliza nilienda kwa cashier nikalipa vyake na vyangu, kisha nikatoka nje nikamsubiri
Miaka hiyo hakukuwa na boda hivyo nilikodi baiskeli ya kumsindikiza aendako(alikuwa teyari keshatangulia)

Safari yetu iliishia shamba la migomba.. Kufumba na kufumbua alishasaula na kulala chini huku kachanua miguu.. Ilinichukua sekunde chache kujua ni chizi fuleshi
Mbio nilizotimua baada ya hapo sitakaa nikimbie vile tena maana kugeuka nyuma kaniungia uchi wa mbuzi huku akipiga kelele kwamba lazima nimuoe..[emoji24][emoji24][emoji1787]
 
Mimi dakika 5 tu nimkutana nae stendi nimetongoza kakubali. Gari ya Gongo la mboto imefika, kaniandikia namba. Kaondoka kupiga simu haipatikani. Mpaka Leo namba haipatikani huu mwaka Sasa
Hahahaha[emoji23]
 
Back
Top Bottom