Naona watu mnasimulia mlivyotongoza na kukataliwa (au kupotezea baada ya kupigwa vizinga). Hayo sio mahusiano. Mahusiano ni mpaka ule mzigo.
Mie mahusiano mafupi huwa ni yale ya nikiwa safarini. Unakuta umeenda mkoa fulani (au hata nchi fulani) unatongoza demu anakubali basi ukiondoka na mahusiano ndo yameisha. Maana hapo kinachofuata ni demu kupiga vizinga wakati anajijua kabisa hamuwezi kuonana.
Kuna mwingine nilikutana naye kwenye basi, halafu basi likaharibika usiku wa saa nne. Tukafika mwisho wa safari mida ya saa sita usiku, magari ya kuunganisha kwenda nyumbani kwao kabisa hayapo tena. Basi hapo nikamvuta kilaini kwamba tukalale wote guest hatufanyi kitu.
Kufika chumbani kitanda kimoja tumeoga tukala basi ile kwenye kula uchokoziuchokozi wa kulishana mtoto kaelewa somo tukapiga shoo ya kulalia. Asubuhi ilibidi kugongewa saa nne na wahudumu kuwa muda umeisha nikawaomba wanipe masaa mawili ya nyongeza maana mtoto alikuwa mtamu kinoma.
Tulivyoachana hapo guest mchana yeye akaenda kwao ndo mpaka leo hatujaonana tena na mawasiliano yashapotea.
Yalikuwa ni mahusiano yaliyodumu kwa masaa nane tu.