Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Hatari sana, eti mume wangu then ulete chips na mishikaki bila kusahau soda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu acha tu nilikuwa najiuliza sana huyu mwanamke mzima kweli kichwani?
 
Sema tu nimejiunga no fap challenge kwahyo siwez kula tena Kuna goma nimelitongoza leo asubuhi mchana limenipigia video call lipo uchi kabisa

Nime screen shot mapema leo leo nimemuacha hayo ndio mahusiano yangu nadhani yameisha mapema sana nimewahadhia wana najua wana wakija magheton watataka story na ushahidi



Ukiwa kama mwanaume we mwenyewe unachagua time scale ya mahusiano either siku au wiki

NB : usithubutu kumwambia mwanamke sikutaki au tuachane mwache akwambie mwenyewe au ajiondoe mwenyewe

Sometimes simba unakosa nyama inabidi ule nyasi tu
Hii n kweli,, mm kuna dem hua ananipa mbusussu ila nshamchana kabisa kwamba sina mpango wa kumuoa yy awe huru kufanya yake. Ana miaka 26 sasa asje huko mbele akalaumu kwamba mm nmemchezea
 
Tumekutana kazini kwake
nikakasemesha kakasemeka, jioni nikaombwa zawadi nikapeleka,kesho nikuombwa bando nikaunga kesho nikaombwa 50,000 isiyo hata na maelezo.
Nikaona hapa kuna hesabu za kuzidisha tu nikatulia.
Hivi wanawake wanaomba omba at the beginning huwa wanafikiria nini ambacho wengine hatukijui labda??
Hata mkiombwa badae mnatoa? Si yale yale tu. Kikubwa hamtaki majukumu
 
Hata mkiombwa badae mnatoa? Si yale yale tu. Kikubwa hamtaki majukumu
Niombe ukiwa umenijua nami nimekujua,
kiufupi nowdayz kupata mpenzi sio shida, shida ni kuyaenjoy mapenzi.
 
Mwaka 2015 nikiwa Likizo home, siku moja nilikuwa napita kutembeatembea mitaani na baiskeli maana nilimiss sana mitaa ya home, nikakutana na mrembo mmoja naye alikuja kwa dada wake kumsalimia.. Frankly Demu nilimuelewa sana naye nahisi baada ya kuniona alinielewa sana Shombeshombe.. So nikamsalimia pale na porojoporojo za hapa na pale nikafanikiwa kujua jina lake naye akajua jaina langu.. about phone namba ye hakuwa na Simu, Binafsi nakumbuka nilikuwa na kiswaswadu changu nilichokuwa natumia mambo ya transactions huko high school kutoka home.

So nkasema huyo dogo simwachi, kesho jioni lazima Nije tena na natongoza kabisa. kesho ikafika na nikatimba maeneo nikamtuma dogo mmoja akaniitie, dakika chache mrembo huyo na mambo yalianzia hapo na nikatoka nikiwa na furaha.. kesho kutwa yake nikaomba mzigo kisomi kidogo, nikampanga tuende home hata akapajue site napoishi,,,duuuh dogo alivuliwa chupi usiku huohuo.. nikamsindikiza kwao.. nadhani Toka siku hyo hatukuonana tena.. So Naweza Kusema ni relationship yangu ya kibabe iliyodumu ndani ya siku 3 tu na ikaishia hapo yaan sijui ilikuwaje After Likizo nikarudi zangu shule.

Ujana maji ya moto😂😂
 
yani gas ikiisha si unanunua mkaaa 😀 😀 😀 😀 fala mmoja tu nkamfutilia mbali kimuonekano nlijua anajielewaaa kumbe utopolo
Lakini na wewe ushazoea kimasihara so vya kuweka kambi huwezii
 
Lakini na wewe ushazoea kimasihara so vya kuweka kambi huwezii
😀 😀 😀changamoto sana ndo maana hata mwanamke wa kubebishana sana sijui kutumiana msg siku nzima yani hatudumu hata siku moja
 
😀 😀 😀changamoto sana ndo maana hata mwanamke wa kubebishana sana sijui kutumiana msg siku nzima yani hatudumu hata siku moja
Huo mda wa kubebishana huwa unatoka wapii...
Watu walivyo bize unaanzaje anzaje mambo ya kusumbuana wakati huko mtaani anaweza kupata K bila habari za umekula nini bebii
 
Kujali ni muhimu ila isipitilize jamenii.Kuna mda mtu unahitaji kujishughulisha eti pata picha upo ofisin unapambana na simu ndo kama za hivyo zinaingia si unaeza kuwehuka[emoji38]
Daah ni kweli simu zikizidi unaharibu kazi.
Housemaid wangu anaunguza kila anachopika sababu ya simu.
Anaongea na simu masaa zaidi 9 kwa siku.
 
Hii n kweli,, mm kuna dem hua ananipa mbusussu ila nshamchana kabisa kwamba sina mpango wa kumuoa yy awe huru kufanya yake. Ana miaka 26 sasa asje huko mbele akalaumu kwamba mm nmemchezea
Hovyoooooo

Subiri akupakazie mimba ndo utajua.
 
Back
Top Bottom