Mbususu alikula? Nauliza sii kwa ubayaMiezi 2, alidai yupo busy na mimi nikaona niwe busy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbususu alikula? Nauliza sii kwa ubayaMiezi 2, alidai yupo busy na mimi nikaona niwe busy.
Hakula, yalikua mahusiano ya mbaliMbususu alikula? Nauliza sii kwa ubaya
Yaani mzeya chips na soda tuu imekunyima mbususu ya single maza...wanajua kugegedana wewe masingle mazaMimi yangu yalidumu masaa matano tu .Kuna single maza mmoja tuko nae mtaani yuko vizuri anafaa kwa matumizi, juzi tu nilimuomba namba yake ilikuwa mchana akanipatia nikamuimbisha single maza kakubali, eti jioni ananipigia simu ananiambia "watoto wako wanataka chipsi mayai na mishkaki miwili" kabla hajakata simu akaniita "mumewangu" kisha akaniambia "uwachukulie wanao na soda" akamalizia kusema "nakupenda sana mumewangu"
Ana wazimu nikamtia bloku kwenye simu mpaka duniani, hata mapenzi hayajachanganya naitwa mume na watoto nimepewa. Mgonjwa kweli huyu single maza.
Wee una vibweka🤣🤣🤣🤣Hakula, yalikua mahusiano ya mbali
Kwa maana ipi?Wee una vibweka🤣🤣🤣🤣
Mara long distance mara sijui kilana kimasikhara mara tall dark and hansome anagegeda vizuri ila hatulii n mbususu mojaKwa maana ipi?
Sasa ajabu nini?Mara long distance mara sijui kilana kimasikhara mara tall dark and hansome anagegeda vizuri ila hatulii n mbususu moja
Hamna cha ajabu ni kwamba una vibweka...exciting life full of memories to tall ur kids and take to the graveSasa ajabu nini?
Ha ha ha ,...,Me: Nakupenda sana
Her: Nakupenda pia, naomba 10k
Me: Sina kitu
Her: Tuachane na sijawahi hata kukupenda.
It's Just 4 chatting within 20 seconds nikaachwa [emoji41]
Hahaha binamu hiyo ilikuwa ajali tu bwana... a.k.a one night standWiki Mbona ndefu Sana,
Niliwai kua na mahusiano na binti mmoja ndani ya usiku mmoja tu wa party ya harusi (saa 3 usiku mpk saa 7 usiku).
Kesho yake asbh saa 4 tunakusanya maturubai, yakafa rasmi
We nae hukumpenda dada wa watuuMimi nilimpata demu, siku namtoa out ili tuongee vzr na kuweka mikakati ya .ahusiano yetu akachagua bia kama kinywaji chake. Japo sipendi walevi nikamkubalia tu. Tukala fresh na kupiga stori sana. Tukapanga siku ya kucheki afya zetu.
Siku yenyewe nimefika kituo cha kupimia mida tuliokubaliana sikumkita. Nimekaa nusu saa haonekani, nampigia simu anasema yuko njiani. Alifika baada ya saa nzima.
Anafika anaanza kiniuliza "Kwa nini ulichagua kupimia hapa?" Nikamjibu "Kwaninkuna tatizo gani? Kunayekufahamu hutaki akuone?" Akakataa. Akauliza tena "Wewe hujampanga mpimaji kweli ili atoe matokeo yako ya uongo?" Nilishangaa sana kwa swali hili. Nikamjibu "Hapana". Tukaingia kupima lakini namuona kama kakubali shingo-upande. Matokeo yakawa mazuri kwetu wote.
Sasa baada ya kuona ni mtu wa mashaka mashaka na hajali muda nikaamua kupiga chini. Ujinga mtupu!
Nimekuelewa sana [emoji23][emoji23]Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
ndo uninunulishe gas ya elfu 56 tumeonana siku mbili hazijaishaaa...Dahh
Wanaume bwana...ila utamu wake uliutaka?