Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hivi hata one night stand nayo ni mahusiano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hao wapaka podaMie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
U hit that punani within three hours! Damn u proMasaa matatu, she was too demanding. Halafu ndiyo tumekutana.
But I smashed.
Hahahahaha nimeona mbinu zenu wapiganajiSema tu nimejiunga no fap challenge kwahyo siwez kula tena Kuna goma nimelitongoza leo asubuhi mchana limenipigia video call lipo uchi kabisa
Nime screen shot mapema leo leo nimemuacha hayo ndio mahusiano yangu nadhani yameisha mapema sana nimewahadhia wana najua wana wakija magheton watataka story na ushahidi
Ukiwa kama mwanaume we mwenyewe unachagua time scale ya mahusiano either siku au wiki
NB : usithubutu kumwambia mwanamke sikutaki au tuachane mwache akwambie mwenyewe au ajiondoe mwenyewe
Sometimes simba unakosa nyama inabidi ule nyasi tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mimi yangu yalidumu masaa matano tu .Kuna single maza mmoja tuko nae mtaani yuko vizuri anafaa kwa matumizi, juzi tu nilimuomba namba yake ilikuwa mchana akanipatia nikamuimbisha single maza kakubali, eti jioni ananipigia simu ananiambia "watoto wako wanataka chipsi mayai na mishkaki miwili" kabla hajakata simu akaniita "mumewangu" kisha akaniambia "uwachukulie wanao na soda" akamalizia kusema "nakupenda sana mumewangu"
Ana wazimu nikamtia bloku kwenye simu mpaka duniani, hata mapenzi hayajachanganya naitwa mume na watoto nimepewa. Mgonjwa kweli huyu single maza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi yangu yalidumu masaa matano tu .Kuna single maza mmoja tuko nae mtaani yuko vizuri anafaa kwa matumizi, juzi tu nilimuomba namba yake ilikuwa mchana akanipatia nikamuimbisha single maza kakubali, eti jioni ananipigia simu ananiambia "watoto wako wanataka chipsi mayai na mishkaki miwili" kabla hajakata simu akaniita "mumewangu" kisha akaniambia "uwachukulie wanao na soda" akamalizia kusema "nakupenda sana mumewangu"
Ana wazimu nikamtia bloku kwenye simu mpaka duniani, hata mapenzi hayajachanganya naitwa mume na watoto nimepewa. Mgonjwa kweli huyu single maza.
Ngoma droo[emoji23]Miezi 2, alidai yupo busy na mimi nikaona niwe busy.
Naangalia mnavyomwaga Taarifa za kiofisiYamekufanyaje?? Usiwe serious sana mkuu
😃😃Ngoma droo[emoji23]
🤣🤣🤣 baba wa kambo ungenunua tuuMimi yangu yalidumu masaa matano tu .Kuna single maza mmoja tuko nae mtaani yuko vizuri anafaa kwa matumizi, juzi tu nilimuomba namba yake ilikuwa mchana akanipatia nikamuimbisha single maza kakubali, eti jioni ananipigia simu ananiambia "watoto wako wanataka chipsi mayai na mishkaki miwili" kabla hajakata simu akaniita "mumewangu" kisha akaniambia "uwachukulie wanao na soda" akamalizia kusema "nakupenda sana mumewangu"
Ana wazimu nikamtia bloku kwenye simu mpaka duniani, hata mapenzi hayajachanganya naitwa mume na watoto nimepewa. Mgonjwa kweli huyu single maza.