Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Aka siko hivyo bwana...ntagegedana je na kila mtu? We komaa.
Yani ile serious sana kwakweli sitaki. Watu ni waongo sana.
Nkisema nakupenda lazima nibakishe kilinda moyo
Kwani kila mwanaume muwongo bwana....tupo sie wakina mzabzab wakweli kabisa.
Yaani tunaenjoy tuu na ukichoka mgegedo wangu u ataka kuonja mwengine unaniambia tuu tunakuwa huru hamna mambo ya kuumizana moyo
 
Hahaha ushabadili upepo wa thread...yani wewe mzabzab wewe
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Back
Top Bottom