mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
sasa wanamkomoa nani.................yaaani akibaaana hapohapo natinga tro af naenda kudaka kiburudisho changu,ni jino kwa jinoSilaha ninazozungumzia hapa ni kumnyima mwenzio tunda kama kumkomoa hivi!
Hahahahah huyo hawezi nielewa labda nami nisalimiane naye kwa kugusana mikono! Hahahahahahahahhh
Kazi kweli kweli! Kuna mmoja wanasema hata huwa hapati siku zake! Mimi nitampoteza tu
Masa... Hepi nyu yia
Suala la sex ni beyond normal discussions... wanasema kuna sababu zaidi ya 12 zinazoathiri sex kwenye ndoa na mojawapo ni hiyo ya sex kutumika kama silaha... bado mambo kama sex kutumika kama dawa, utumwa, sehemu ya kumwaga frustration, tool/weapon, comparison, etc. etc.
Dah... Masa umenigusa hapo kwenye pombe
kwa hisani ya watu wa Marekani"....Nina mwezi wa 3 sasa sijamruhusu kunigusa"...!
Ni jana tulikuwa na mkasa wa aina hii ukiwa umeletwa na mdada ambaye ni family friend wetu, kisa amepata habari kuwa bwanake ambaye anafanya kazi na kontrakta wa barabara ya Arusha-Namanga, ana mahusiano na mwanadada mwingine...
Kwa ufupi ni wazi silaha hiyo ya kunyimana tendo takatifu la ndoa ni ya hatari sana...maana party inayolalamika lazima itatafuta namna fulani ya kumkomoa mwenzie kwa kuwa na mahusiano ya tofauti nje ya ndoa, halafu meli yote inakuwa inazama taratibu...
Maongezi ni ufunguo...familia zipate wakati muafaka wa KUSEMEZANA...kwa mazuri na mabaya, hapo mndipo miarobaini ya shida zote itatolewa.
Wala siungi mkono mada!Mchungaji na wafuasi wako wote mnatakiwa mkumbuke kwamba sex kwa mwanamke sio tendo tu..akili yake inatakiwa iwe kwe mode ya kupendana kama unataka na yeye afurahie kitu ambacho ni kigumu sana kama moyoni ana dukuduku!Kwahiyo mnatakiwa muanze kwakurekebisha tofauti iliyopo kati yenu..huwezi kumkasirisha/muumiza mtu alafu umtegemee kutamani kua karibu na wewe kitu ambacho kinapatikana kwenye muungano wa wawili wapendanao!Mtu hawezi kutumia silaha asiyo nayo so jaribu usimpe
No sio kwa kitu kidogo kama hicho!Hapo hata ukimtekenya hawezi kujizuia kucheka!Ila kama umemboa mtu kweli kweli rekebisha kwanza!Sex inaweza kuwa kama kiungo kizuri kama kuna tofauti ndogo ndogo! Lakini nimesahau kuja na mafuta ya onyeshea nywele basi nisikuguse mwezi mzima kweli? Well sex is overrated lakini isiwe njia ya kukomoana kwa pande zote, isije kutumika kama awards nikifanya kitu kizuri kwenye mahusiano
Hehehe ulikua hujajua ehh??Kumbe wapenda kutekenywa eeeenhhh....ngoja nikutumie tekenyo kwa PM
mkuu pombe siachi, ila dakitatri kaniandikia two weeks za abstaining from it... namaliza veri suunI am so sad have to quit alcohol. MAZEE Mwaka mpya ulikuta vibaya sana ila nashukuru
Happy New Year
mkuu pembe siachi, ila dakitatri kaniandikia two weeks za abstinence from it... namaliza veri suun
sasa sweetheart si ndio maana nikasema kwamba sex can be used in 12 different ways mamaaaaaaaa??? one of them ni healing hand, the other ni meditation tool, another one ni bonding agent, let alone a morale/confidence booster... all those ni emotional na sio physical aloneWala siungi mkono mada!Mchungaji na wafuasi wako wote mnatakiwa mkumbuke kwamba sex kwa mwanamke sio tendo tu..akili yake inatakiwa iwe kwe mode ya kupendana kama unataka na yeye afurahie kitu ambacho ni kigumu sana kama moyoni ana dukuduku!Kwahiyo mnatakiwa muanze kwakurekebisha tofauti iliyopo kati yenu..huwezi kumkasirisha/muumiza mtu alafu umtegemee kutamani kua karibu na wewe kitu ambacho kinapatikana kwenye muungano wa wawili wapendanao!Mtu hawezi kutumia silaha asiyo nayo so jaribu usimpe
Unatekenyeka zaidi pande zipi? If you can volunteer to share this info
Hapo naomba nikupe hug kwa mbali!!Ukifanya kwakuzingatia hisia za mwenzio inakua na maana!!Happi nyiu yia kwako pia mpendwa...mwaka ukuwie ndivyo na sio sivyo!sasa sweetheart si ndio maana nikasema kwamba sex can be used in 12 different ways mamaaaaaaaa??? one of them ni healing hand, the other ni meditation tool, another one ni bonding agent, let alone a morale/confidence booster... all those ni emotional na sio physical alone
Hepi nyu yia sweetie
Wala siungi mkono mada!Mchungaji na wafuasi wako wote mnatakiwa mkumbuke kwamba sex kwa mwanamke sio tendo tu..akili yake inatakiwa iwe kwe mode ya kupendana kama unataka na yeye afurahie kitu ambacho ni kigumu sana kama moyoni ana dukuduku!Kwahiyo mnatakiwa muanze kwakurekebisha tofauti iliyopo kati yenu..huwezi kumkasirisha/muumiza mtu alafu umtegemee kutamani kua karibu na wewe kitu ambacho kinapatikana kwenye muungano wa wawili wapendanao!Mtu hawezi kutumia silaha asiyo nayo so jaribu usimpe