Mahusiano, mapenzi, urafiki

Mahusiano, mapenzi, urafiki

Hahahahah huyo hawezi nielewa labda nami nisalimiane naye kwa kugusana mikono! Hahahahahahahahhh

Wewe tu mchungaji wangu? Ila uwe tayari kumsahau baada ya kumgusa...PC yake nasikia haina uwezo wa kutunza memory hata kidogo!
 
Kazi kweli kweli! Kuna mmoja wanasema hata huwa hapati siku zake! Mimi nitampoteza tu
 
Huyo ni safi sana kama yule teacher wako aliyekuwa anameza piriton kabla ya kuacha kuchapa kitabu hadi akaikwaa PhD!
 
Masa... Hepi nyu yia

Suala la sex ni beyond normal discussions... wanasema kuna sababu zaidi ya 12 zinazoathiri sex kwenye ndoa na mojawapo ni hiyo ya sex kutumika kama silaha... bado mambo kama sex kutumika kama dawa, utumwa, sehemu ya kumwaga frustration, tool/weapon, comparison, etc. etc.

Dah... Masa umenigusa hapo kwenye pombe
 
I am so sad have to quit alcohol. MAZEE Mwaka mpya ulikuta vibaya sana ila nashukuru

Happy New Year
 
"....Nina mwezi wa 3 sasa sijamruhusu kunigusa"...!

Ni jana tulikuwa na mkasa wa aina hii ukiwa umeletwa na mdada ambaye ni family friend wetu, kisa amepata habari kuwa bwanake ambaye anafanya kazi na kontrakta wa barabara ya Arusha-Namanga, ana mahusiano na mwanadada mwingine...

Kwa ufupi ni wazi silaha hiyo ya kunyimana tendo takatifu la ndoa ni ya hatari sana...maana party inayolalamika lazima itatafuta namna fulani ya kumkomoa mwenzie kwa kuwa na mahusiano ya tofauti nje ya ndoa, halafu meli yote inakuwa inazama taratibu...
Maongezi ni ufunguo...familia zipate wakati muafaka wa KUSEMEZANA...kwa mazuri na mabaya, hapo mndipo miarobaini ya shida zote itatolewa.
kwa hisani ya watu wa Marekani
 
Wala siungi mkono mada!Mchungaji na wafuasi wako wote mnatakiwa mkumbuke kwamba sex kwa mwanamke sio tendo tu..akili yake inatakiwa iwe kwe mode ya kupendana kama unataka na yeye afurahie kitu ambacho ni kigumu sana kama moyoni ana dukuduku!Kwahiyo mnatakiwa muanze kwakurekebisha tofauti iliyopo kati yenu..huwezi kumkasirisha/muumiza mtu alafu umtegemee kutamani kua karibu na wewe kitu ambacho kinapatikana kwenye muungano wa wawili wapendanao!Mtu hawezi kutumia silaha asiyo nayo so jaribu usimpe
 
Sex inaweza kuwa kama kiungo kizuri kama kuna tofauti ndogo ndogo! Ninaelewa na ninathamini mental preparedness kabla ya tendo. Lakini nimesahau kuja na mafuta ya onyeshea nywele basi nisikuguse mwezi mzima kweli? Well sex is overrated lakini isiwe njia ya kukomoana kwa pande zote, isije kutumika kama awards nikifanya kitu kizuri kwenye mahusiano
 
Sex is nothing if a woman does not feel loved,cared and happy to have it.So utanyimwa hadi nijisikie,kama kwenda nje ni option,go ahead!mwanaume mwenye busara hutafuta tatizo linalofanya mwanamke abadilike na kutatua kasoro na mambo yasonge but wenye viburi mtapokea viburi.Si ishu kwenda nje coz utakachopata huko kitatupa shida wote si mimi tu.
 
Sex inaweza kuwa kama kiungo kizuri kama kuna tofauti ndogo ndogo! Lakini nimesahau kuja na mafuta ya onyeshea nywele basi nisikuguse mwezi mzima kweli? Well sex is overrated lakini isiwe njia ya kukomoana kwa pande zote, isije kutumika kama awards nikifanya kitu kizuri kwenye mahusiano
No sio kwa kitu kidogo kama hicho!Hapo hata ukimtekenya hawezi kujizuia kucheka!Ila kama umemboa mtu kweli kweli rekebisha kwanza!
 
Kumbe wapenda kutekenywa eeeenhhh....ngoja nikutumie tekenyo kwa PM
 
I am so sad have to quit alcohol. MAZEE Mwaka mpya ulikuta vibaya sana ila nashukuru

Happy New Year
mkuu pombe siachi, ila dakitatri kaniandikia two weeks za abstaining from it... namaliza veri suun
 
mkuu pembe siachi, ila dakitatri kaniandikia two weeks za abstinence from it... namaliza veri suun

Kwa ubora wa afya yako, acha kama sikupunguza pombe! Fanya mazoezi na pata balanced meal. Huhitaji zile blue pills ukiwa juu ya shemeji hushuki
 
Wala siungi mkono mada!Mchungaji na wafuasi wako wote mnatakiwa mkumbuke kwamba sex kwa mwanamke sio tendo tu..akili yake inatakiwa iwe kwe mode ya kupendana kama unataka na yeye afurahie kitu ambacho ni kigumu sana kama moyoni ana dukuduku!Kwahiyo mnatakiwa muanze kwakurekebisha tofauti iliyopo kati yenu..huwezi kumkasirisha/muumiza mtu alafu umtegemee kutamani kua karibu na wewe kitu ambacho kinapatikana kwenye muungano wa wawili wapendanao!Mtu hawezi kutumia silaha asiyo nayo so jaribu usimpe
sasa sweetheart si ndio maana nikasema kwamba sex can be used in 12 different ways mamaaaaaaaa??? one of them ni healing hand, the other ni meditation tool, another one ni bonding agent, let alone a morale/confidence booster... all those ni emotional na sio physical alone

Hepi nyu yia sweetie
 
Hapo naomba nikupe hug kwa mbali!!Ukifanya kwakuzingatia hisia za mwenzio inakua na maana!!Happi nyiu yia kwako pia mpendwa...mwaka ukuwie ndivyo na sio sivyo!
 
Wala siungi mkono mada!Mchungaji na wafuasi wako wote mnatakiwa mkumbuke kwamba sex kwa mwanamke sio tendo tu..akili yake inatakiwa iwe kwe mode ya kupendana kama unataka na yeye afurahie kitu ambacho ni kigumu sana kama moyoni ana dukuduku!Kwahiyo mnatakiwa muanze kwakurekebisha tofauti iliyopo kati yenu..huwezi kumkasirisha/muumiza mtu alafu umtegemee kutamani kua karibu na wewe kitu ambacho kinapatikana kwenye muungano wa wawili wapendanao!Mtu hawezi kutumia silaha asiyo nayo so jaribu usimpe

Nakuunga Mkono 100% ndugu yangu....

Nomba kuongezea kwamba sex inaweza kuwa silaha ya kumnyanyasa mtu - wanaume huweza kuitumia namna hii kuonyesha ubabe.Ndio maana wapo wenye kuwabaka wake zao hasa baada yaugomvi.

Wanawake nao huweza kunyima kama silaha ya kuonyesha kutokuridhika.

Sex inaweza kuwa ishara ya upatanishi vilevile na mila na tamaduni nyingi huwa na imani au kawaida hii.

Katika ulimwengu wa sasa wenye changamoto mpya za magonjwa hatari kama UKIMWI nadhani hatuwezi kulichukulia juu juu jambo la sex na kulazimshana.Ni wakati muafaka tuweze kuongea kwa uwazi bila kuogopa na kuweka bayana kwanini siyo business as usual tena.Wanandoa wengi ndio wenye maambukizi ya VVU kufuatana na takwimu ( Rejea TMHS 2009).Hii inaonyesha jinsi gani hii dhana ya kutokunyimana kwenye ndoa huhatarisha maisha ya wana ndoa... Hili Mchungaji Masanilo nitaomba ulizungumzie zaidi kuliko kushawishi watu waendelee tu hata pale ambapo ni wazi kabisa kuwa kuna hatari.
 
Back
Top Bottom