whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
- Thread starter
-
- #41
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Ntalia nikipoteza hela sio mwanamke
Ni kweli huku kwetu hakuna hizo..bila shaka ni wa darisalama
bora we umesema ukweliChakula tena mkuu!?
Hakunaga mjanja kwenye chakula, Hapo ni mwendo wa mateka tu.
huyohuyo kwa mwenzio ni diamond kwako si kituDaah kweli mapenzi upofu,sa mwanamke mwenyewe ndo huyu wakumlilia hadharani ana pua kama koki ya bomba la sinki la chooni
Mkuu vipi una ugomvi na huyo MC? Mbona unatoa kashfa kwa huyo dada bila sababu za msingi? Anaweza asiwe mzuri kwako ila ana thamani kwa mwenzio.
[emoji23] [emoji23] ata ww?? kiddingWe unadhani huwa tuna moyo wa chuma.....
Mapenzi huwa yanaumiza sana hasa kama ulikuwa na malengo nae halafu ndio aondoke....
Kuna muda unaona mapicha picha anavyogeuzwa na kubinuliwa na mwanaume na makelele anayotoa huko ngoja niishie hapa .....
[emoji1][emoji1][emoji1] ndio hiyo situation huwa inatokea aise.....[emoji23] [emoji23] ata ww?? kidding
Nawewe unaliaga?Maumivu hayana jinsia. Ila jinsi ya kuyapokea maumivu ndio kuna tofauti kati ya mtu na mtu.
We unadhani huwa tuna moyo wa chuma.....
Mapenzi huwa yanaumiza sana hasa kama ulikuwa na malengo nae halafu ndio aondoke....
Kuna muda unaona mapicha picha anavyogeuzwa na kubinuliwa na mwanaume mwingine na makelele anayotoa huko ngoja niishie hapa .....
Kinachouma ni kuliwa na mwanamme mwingine hakuna zaidi mkuu.....Hahahahahaha