Mahusiano na mapenzi yakifikia ukomo; Kumbe kuna wanaume wanaangua kilio hadharani namna hii

Mahusiano na mapenzi yakifikia ukomo; Kumbe kuna wanaume wanaangua kilio hadharani namna hii

Inauma kufikiri aliyokufanyia wewe anafanyiwa mwingine tena kwa hamu, kupenda na bashasha!!.
Ila aache kulia lia hadharani!.
 
Kha!! anajiliza bure tyu sijaona mchuchu wa kulia lia na kumkumbusha yaliyopita ili akuonee huruma

Nilitegemea ni kinanda kikali kumbe cha kumulika na torch
 
ingawa ni kiki... ila mc bado anaumia sana hii ishu ya Naomi'' hivi vijana wa bongo kupelekana mapema kwa wazazi wanaonoga ujanja sana?nahisi kabisa mama mc na mama dangote wanaongoza kupelekewa wakwe mara kwa mara hapa bongo.
 
Huyu dogo pilipili manga kwa kweli hajitambui kiakili. Kuishi Dar Es Salaam si kwa kila mtu, naona ile bahari ilishamuharibu akili na kuanza kuwa na jinsia mbili. Kwanza hachekeshi kivile bora angeacha tu kulazimisha kuchekesha watu.
 
Back
Top Bottom