kweli kuna wengine watajifanya huyo wa daslam sijui mkoan lakn ukweli wanaujua moyon mwao wanaliaga pengine wametok kulia apa wanajifanya vidume[emoji1][emoji1][emoji1] ndio hiyo situation huwa inatokea aise.....
Nimeishi na watu wabishi kweli ikiwemo na mimi binafsi haya mambo huwa yanaumiza asikwambie....kweli kuna wengine watajifanya huyo wa daslam sijui mkoan lakn ukweli wanaujua moyon mwao wanaliaga pengine wametok kulia apa wanajifanya vidume
Then mbona kazuri tuu....mdada wa watu !!!huyo ana chuki zakeMkuu vipi una ugomvi na huyo MC? Mbona unatoa kashfa kwa huyo dada bila sababu za msingi? Anaweza asiwe mzuri kwako ila ana thamani kwa mwenzio.
Mnaafiki tu huyo pilipili si alikua na Rose Ndauka!anajishaua tuHivi ni kweli au,maana alikuwa wapi kumuoa mtu akiolewa ndio unaumiaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza kila kitu mkuuHawa viumbe awatakagi mastori meengiiii! Ishu ni Pochi nene
Na mpk Leo hajaoa wala hana mpango anaishi na mama yake!na ukaribu haupo kabisaa na ile familia kuna siku ashawahi kutiwa Kofi km sikosei na Jaya BachanKwa nini Salman Khan alijifungia ndani mwezi mzima akilia baada ya mpenziwe Aishwarya Rai kufunga ndoa na Abisheck Batcchan!?
Hata sie madume tunaumia na kulia tu, Hatuna moyo wa chuma, Na wala hakunaga komando kwenye chaakulaaa
Haya huja baada ya kuachwa mkuu ila kabla ya Hapo ni bonge la demu [emoji4][emoji4]Daah kweli mapenzi upofu,sa mwanamke mwenyewe ndo huyu wakumlilia hadharani ana pua kama koki ya bomba la sinki la chooni
sanaaaaa!she is cuteeeeHaya huja baada ya kuachwa mkuu ila kabla ya Hapo ni bonge la demu [emoji4][emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We unadhani huwa tuna moyo wa chuma.....
Mapenzi huwa yanaumiza sana hasa kama ulikuwa na malengo nae halafu ndio aondoke....
Kuna muda unaona mapicha picha anavyogeuzwa na kubinuliwa na mwanaume mwingine na makelele anayotoa huko ngoja niishie hapa .....
Yes kiasi chake kajitahidi..... [emoji4][emoji4]sanaaaaa!she is cuteeee
Mc pilipili aache unaa tu!alijua kwa single ana mtoto baaasi hawezi pata wa kumpenda kiruuuu!!Yes kiasi chake kajitahidi..... [emoji4][emoji4]
Kinachouma ni kuliwa na mwanamme mwingine hakuna zaidi mkuu.....
Yaani anavyokunjwa huko....
Dodomaabila shaka ni wa darisalama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hunishindi miyeeeAiseee nmejikuta nacheka km fala
Kwenye chakulaa hakuna ujanja tunalia tu japo ni kimya kimya.kweli kuna wengine watajifanya huyo wa daslam sijui mkoan lakn ukweli wanaujua moyon mwao wanaliaga pengine wametok kulia apa wanajifanya vidume
Siwezi kulia, ila naumia kama binadamu. BTW huyu dada anafanana na binti mmoja pekee ambae alinikamata! Sijui hizi sura zina nguvu fulani?!!!Nawewe unaliaga?
There is nothing you can do about it.When a woman is fed up.