Mahusiano na mapenzi yakifikia ukomo; Kumbe kuna wanaume wanaangua kilio hadharani namna hii

Mahusiano na mapenzi yakifikia ukomo; Kumbe kuna wanaume wanaangua kilio hadharani namna hii

kweli kuna wengine watajifanya huyo wa daslam sijui mkoan lakn ukweli wanaujua moyon mwao wanaliaga pengine wametok kulia apa wanajifanya vidume
Nimeishi na watu wabishi kweli ikiwemo na mimi binafsi haya mambo huwa yanaumiza asikwambie....

Though inakuwa ngumu kui express hadharani ila huwa tunapitia kipindi kigumu cha depression ....
 
Kwa nini Salman Khan alijifungia ndani mwezi mzima akilia baada ya mpenziwe Aishwarya Rai kufunga ndoa na Abisheck Batcchan!?
Hata sie madume tunaumia na kulia tu, Hatuna moyo wa chuma, Na wala hakunaga komando kwenye chaakulaaa
Na mpk Leo hajaoa wala hana mpango anaishi na mama yake!na ukaribu haupo kabisaa na ile familia kuna siku ashawahi kutiwa Kofi km sikosei na Jaya Bachan
 
Back
Top Bottom