Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Amiin mkuu, nashukuru sana kwa dua zako,ila wkt mwingine uniombee na mm nisije nikathubutu kutamani kurudia uchafu wa nyuma,
 
Ila mke wa mtu mtamu aisee! Japo majanga ni mengi..
Ila brother ujue hapo hata mke wako kuna fala anamtafuna[emoji1787][emoji1787]
May be,ila kwa amani ya kiislamu dhana ni dhambi,ukimdhania MTU kuwa anafanya jambo Fulani na ilhali hafanyi bac unapata dhambi kwa kumdhania vibaya,huu ni mwaka wa 15 nipo nae na cjawahi kumpata na hata dalili ya uovu,zaidi yy ndio huwa ananibamba,kwa muonekano wake wa nje na msimamo wake wa kidini Wallahi nakuapia hata ungekuwa ww ungemuamini,mengine kama yapo bac anajua Mungu maana mm kwa uwezo wangu siwez kuona mafichoni,niliyoyafanya ni mabaya zaidi na aliyajua na akanisamehe,.angeweza kuondoka maana baba yake anajiweza kiuchumi,lkn hakuwahi kuthubutu kunitamkia kuondoka,alipambana na kuhakikisha nyumba yake inakaa sawa,na kwa uwezo wa Mungu alifanikiwa,hakuwahi hata cku moja kusema uchafu wangu kwao wala kwetu zaidi ya ile Mara moja tu ya kikao cha mimi, mama yangu,Dada yake,yy,na mchepuko wangu wa ofcn.
 
Kelebe:
Ubarikiwe kuna muda Mungu anajibu kupitia mtu kama wewe.
 
Kabisa kaka,Allah akufanyie wepesi ktk hilo
 
Bro nimesoma uzi wako neno kwa neno na nukta kwa nukta. Kwa yoooote uliyopitia na uliyofanya huko nyuma ni shule tosha, nachoweza kusema ni kuwa MUHESHIMU SANA MKEO kwani ndy shujaa wa maisha yako, ni hilo tu.
 
Yaani unavisa vinafanana sana na vyangu japo kwa hapa siwezi kusimlia maana nahisi kabisa kwa 99% mwenza wangu atakuwa Yuko humu..
 
Story tamu sana mkuu, npo magugu hapa napambna na kilimo
Jirani yangu ww,magugu na arusha ni majirani,na magugu nimeshakuja sana kuchukua mchele kipindi cha nyuma,cku hizi wameshanizoea,wananitumia tu kwenye malori
 
Bro nimesoma uzi wako neno kwa neno na nukta kwa nukta. Kwa yoooote uliyopitia na uliyofanya huko nyuma ni shule tosha, nachoweza kusema ni kuwa MUHESHIMU SANA MKEO kwani ndy shujaa wa maisha yako, ni hilo tu.
Nashukuru sana mkuu,mke wangu ana nafasi ya pekee kwenye moyo wangu,uvumilivu na busara zake nazijua Mimi pekee
 
Yaani unavisa vinafanana sana na vyangu japo kwa hapa siwezi kusimlia maana nahisi kabisa kwa 99% mwenza wangu atakuwa Yuko humu..
Na bado unaendelea nae mkuu?
 
Jirani yangu ww,magugu na arusha ni majirani,na magugu nimeshakuja sana kuchukua mchele kipindi cha nyuma,cku hizi wameshanizoea,wananitumia tu kwenye malori
Hongera bro, arusha ni home kabsa, ngj nikomae nami na huu mchele inshallah kitaeleweka tu mbele ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…