Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km umepata somo bac hio ndio furaha yangu,ila sikushurutishi kuamini km ni uongo ama ukweli,ukihisi ni uongo bac iache hapo itawafaa wengine,Nina kazi zangu mkuu,nimetumia karibu wiki nzima kuiandika kabla cjaileta humu,kwa nn nitumie muda wangu na mb zangu kuleta uongo?....kwani nalipwa hapa mkuu,??,,ni moyo wangu tu umetaka kutoa ushuhuda,na Leo najihisi mwepesi sana mwili wangu,huu mzigo nimeutua leoMkuu yaani story iwe ukweli ama kutunga Ila nashukuru Sana imenipa SoMo. Ubarikiwe Sana mkuu Sina Cha kujilipa.kuna watu utakuwa umewaokota ujue
Nashukuru sana Valentina ,Ninaingia mwaka wa pili sasa bila kushiriki zinaa,nimekuja kugundua kuwa mke anatosha kabisa,halafu kumbe mke wa ndoa ni mtamu zaidi nilikuwaga cjajua,Thanks for sharing your story with us bro
Mwenye kujifunza na ajifunze
Mungu amekutunuku mke mwema bro usije ukarudi kuumiza hisia zake kaka
Daaah!! Maisha yana zaidi ya changamoto kwa kweli.. pole sana mdau, hakika nimechukua yaliyobora [emoji1374]Sehemu ya mwisho...........
........................
Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola nikaamua kuchanja kwa miguu hadi bamaga,bamaga nikakata kulia ile njia inayopita mabatini moja kwa moja,nikatembea kwa miguu hadi Biafra, muda huo nafika Biafra ni mchana SAA tisa,nikaingia kwa wakala nikatoa laki 3 crdb,nikapanda boda kurudi sinza tena maana nishachoka kutembea kwa miguu,nikafika mahali nikaona kibao cha massage nikaingia.kufika ndani nakuta mabinti kibao wote nusu uchi,udenda ukanitoka,nikaulizia bei ya
Dah leo nimepata big lesson, kuna vtu unaweza kuvichukulia poa lakn kumbe ndivyo vinavyokupelekea ur downfall Thanks broSehemu ya mwisho...........
........................
Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola nikaamua kuchanja kwa miguu hadi bamaga,bamaga nikakata kulia ile njia inayopita mabatini moja kwa moja,nikatembea kwa miguu hadi Biafra, muda huo nafika Biafra ni mchana SAA tisa,nikaingia kwa wakala nikatoa laki 3 crdb,nikapanda boda kurudi sinza tena maana nishachoka kutembea kwa miguu,nikafika mahali nikaona kibao cha massage nikaingia.kufika ndani nakuta mabinti kibao wote nusu uchi,udenda ukanitoka,nikaulizia bei ya
"kumbe mke wandoa ni mtamu zaidi"Nashukuru sana Valentina ,Ninaingia mwaka wa pili sasa bila kushiriki zinaa,nimekuja kugundua kuwa mke anatosha kabisa,halafu kumbe mke wa ndoa ni mtamu zaidi nilikuwaga cjajua,
NdioNa bado unaendelea nae mkuu?
Kuacha umalaya ni kazi sana sawa na ulevi wapombeNami naahidi kuutua mzigo mzito wa umalaya baada ya kusoma kisa chako na Mungu anituwe Amen.
Mungu akubariki.
Nimejipanga kuacha mkuu hakuna linaloshindikana.Kuacha umalaya ni kazi sana sawa na ulevi wapombe
Mwanamke yoyote unaoa ndoto,ila bado haiondoi thamani ya mwanamke ambaye unamkuta bik
Kweli mkuu nmeshuhudia ilo unaloongea mwaamke ni mwanamke tuuuTena unaweza kuanza nae bikra akaja kupata moto nje wa maana unaozidi wa uliyembikiri, akagundua kumbe mambo iko huko akaanza mauzauza ukashangaa.
Shusha nondo, MkuuKaka hongera sana kwa story nzuri, ila kwa kuongezea, kwenye biashara unatakiwa uchague mambo 2.
Moja, biashara yako imtegemee Mungu
Pili, biashara zako imtegemee shetani.
Ukitaka namba 2, nenda kwa mganga atakupa masharti na jitahidi uyatekeleze.
Shida iko hapo, wenyewe awakubali sisi tuwe wema na family zetuHivi wanawake wenyewe wanasemaje wamerizika kabisa tunavyoamua kuwafungia Vioo [emoji1787][emoji1787]
Mimi huwa siachi nawasahau tu, badae nkiwa n genye namtafunaMwanamke km hajaamua kukuacha yeye,mara nyingi hata ukiamua umpige chini inakuwa ngumu sn kuachana nae..tena km mkiwa mnafanya kazi pamoja au watu mnaoonana mara Kwa mara,ni ngumu sn kuchomoa
Kwa nijuavyo Mimi mwanamke ndy anaacha
Nimejaribu kumuacha binti Fulani mara kadhaa tena na mikwara mizito lkn akilia lia kidogo tu namrudia