Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Sehemu ya mwisho...........
........................

Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola
Nimependa sana jinsi ulivyomalizia, kiukweli kabisaa hakuna dhambi mbaya kama uzinzi
 
Hadithi ingenoga zaidi kama umgetuambia, kipindi umepigwa pingu na kupelekwa jela, kuna aliyekuja kukuona kati ya hao malaya wako?
 
Waliooa jasho linawatoka.

Though stori inafundisha sana...

Umalaya sio dili wala nini.
 
Nenda kaendelee na majukumu yako hamna mwendelezo hapa.

Huyu mchizi alimdanganya mama yake mzazi ili kulinda uzinzi wake, sasa wewe unayesubiri ahadi ya kuwekewa mwendelezo ni nani hata usidanganywe.

Imetoka hiyo [emoji4][emoji4][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Exactly, hapa nimeamua tu kuwashirikisha watu wajifunze wao,mm kwangu yalishapita na nikishajifunza na sasa namshukuru Mungu nimeacha,naomba Mungu anijaalie niache moja kwa moja
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Utaachaje sasa umeona PM yangu haaahaaa
 
Inaendelea 5.,........,...
..............
Nikawa kama ndio nimeuwasha moto kwa wake za watu,Nakumbuka mahali nilipojenga na kuhamia kuna jirani yangu ambae mkewe alikua rafiki wa mke wangu,huyu nampa nick name Mwajuma,
Story tamu[emoji12]
 
No mkuu ain't serious at all..mi nakutania bana[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Uzi wako umenichekesha sana sana unajua kupangilia visa asee

Bottom line mkuu sali sana usirudi kule shetani ana mapigo sana[emoji848]
Thank u mkuu
 
Inaendelea 8.............

Nikajilaumu sana kwa kutokuwa makini maana nilishachoka kuwa na mahusiano na wake za watu,nikajiona ni mjinga nisiokuwa makini,lkn nikajiuliza tena,hata kama Hawa alinidanganya mbona kwa muda wote huu nimekuwa nae na tumekuwa tunajivinjari tu bila woga?
Duh!!
 
Sehemu ya mwisho...........
........................

Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola nikaamua kuchanja kwa miguu hadi bamaga,bamaga nikakata kulia ile njia inayopita mabatini moja kwa moja,nikatembea kwa miguu hadi Biafra, muda huo nafika Biafra ni mchana SAA tisa,nikaingia kwa wakala nikatoa laki 3 crdb,nikapanda boda kurudi sinza tena maana nishachoka kutembea
Mashaa'Allah
 
Sehemu ya mwisho...........
........................

Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola nikaamua kuchanja kwa miguu hadi bamaga,bamaga nikakata kulia ile njia inayopita mabatini moja kwa moja,nikatembea kwa miguu hadi Biafra,
Oooohh kukesha kusoma story,oooh nimemaliza[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom