Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Natamani kukuiga niwe mchamungu ila sasa tatizo ujana ndio umepamba moto yaani kila nikitongoza napewa tu tunda kirahisi.

Namuomba Allah aniepushe na tamaa ili nimrudie na nimche kwa dhati ya moyo wangu.
 
Huku pakwa baby care kweli? [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mkuu shukrani sana kwa hii story yako,mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia na wale washupaza shingo kazi kwao..ila kuna mengi ya kujifunza..hasa kwa vijana tulio wengi!
Asante pia kwa kushiriki mkuu.Mungu akuongoze nji iliyonyooka
 
Natamani kukuiga niwe mchamungu ila sasa tatizo ujana ndio umepamba moto yaani kila nikitongoza napewa tu tunda kirahisi.

Namuomba Allah aniepushe na tamaa ili nimrudie na nimche kwa dhati ya moyo wangu.
Inshaallah, Allah atakuongoza mkuu,tia nia nae atakuongoza,kwangu pia haikua rahisi ila nashukuru kwa muongozo wa wife pia ulinisaidia sana.Allah akupe tawfiq inshaallah
 
Yaani hali uliyoipitia miaka kadhaa nyuma ndio naipitia mimi wakati huu, sina kipato lakini naandamwa na wake za watu hadi naogopa.
Nakusihi,nakuomba,nakulingania ndugu yangu jiepushe nao,hujui lipi litakupata,pengine unaweza kupitia magumu zaidi yangu,pengine unaweza usipitie baya lolote lkn kesho kwa Allah utakua na kazi nzito sana.
 
Huku pakwa baby care kweli? [emoji849][emoji849][emoji849]
Hakuna nilichoficha,mambo yote nimeyaeleza kwa ufasaha mkuu,ningepata shida kubwa pia ningeisema hapa ili watu wajifunze,kwani kuna anaenijua hapa?....,ID nimefungua mpya kabisa na ckutaka kutumia ID ya zamani,
 
Ila mke wa mtu mtamu aisee! Japo majanga ni mengi..
Ila brother ujue hapo hata mke wako kuna fala anamtafuna[emoji1787][emoji1787]
 
Aiseee wake za watu imekua mada sana jf. Hivi hamna wake za watu humu nao watoe shuhuda za kusaliti ndoa zao tuwe na uhakika.
Maana wanaotoa shuhuda ni wanaume tu kua wamewala, mko wapi waliwa mtubitishe iwe 50/50 jama [emoji16][emoji16]
Wanawake ni wasiri sana mkuu.
 
Nakusihi,nakuomba,nakulingania ndugu yangu jiepushe nao,hujui lipi litakupata,pengine unaweza kupitia magumu zaidi yangu,pengine unaweza usipitie baya lolote lkn kesho kwa Allah utakua na kazi nzito sana.
Nakuelewa ndugu yangu, najitahidi sana niepukane nao naamini nitashinda maana mbali na story yako, kaka yangu pia aliwahi kuyumba kwa sababu ya kuendekeza umalaya na hata mama hunisihi sana nisipende wanawake hasa wake za watu. Kwa hiyo labda ukaidi tu ila umalaya hauna faida zaidi ya kuleta mikosi na umasikini.
 
Unaandika maneno mengi.. lakin utopolo mtupu!!
 
Somo zuri sana. Nimesoma yote sijaacha hata nukta moja
 
Humu jamvini kuna watu wamekuwa na kasumba ya kutishana,eti huwezi kupata bikra kwa miaka ya sasa tena ukigusia hawa wa mjini ndo utachekwa kabisa,nacheka kimoyomoyo tu.

Mimi mwanamke wangu nilianza nae mahusiano nikiwa kidato cha kwanza class moja kabisa(niseme ukweli alinipenda balaa) kwao kulikuwa na uwezo (baba yake alikuwa ni karibu mkuu wizara fulani)hivyo nilipiga sana hela zao, baadae kila mmoja akafaulu na kuendelea advance na chuo tuliosoma vyuo tofauti kabisa.Kuanzia form one mpaka anamaliza chuo sikuwahi kumgegeda (nilikuwa nagegeda wengine tu,tena huko chuo ndo nilikuwa kitombi balaa😬)

Kamaliza chuo kaingia kitaa demu bado ananipenda tu, nimemaliza chuo sina mchongo wowote kitaa si akanibless mbususu aiseeeh huwezi amini nilikuta kitu new kabisa na miaka yake 26 sikuamini kabisa😳, baada ya hapo niliacha vimada wangu wote nikaoa ingawa nilipata changamoto kubwa sana kukubalika kwenye familia yao kwasababu ya ukapuku wangu, nikamjaza mimba wazazi wake wakalainika na wakanipa mchongo Sasa hivi nakula life tu,ingawa nina uraibu wa betting ambao umekuwa ni ngumu sana kuacha.


Kwahiyo mkuu nakubaliana na wewe,mtu akipata bikra asichezee bahati kama ana nafasi air kabisa hawanaga shida hao wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…