Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Inaendelea 8.............

Nikajilaumu sana kwa kutokuwa makini maana nilishachoka kuwa na mahusiano na wake za watu,nikajiona ni mjinga nisiokuwa makini,lkn nikajiuliza tena,hata kama Hawa alinidanganya mbona kwa muda wote huu nimekuwa nae na tumekuwa tunajivinjari tu bila woga?…...ni miezi kadhaa sasa imepita Niko nae kwenye mahusiano na cjawahi kuona dalili yyt ya yy kuolewa,nyumbani kwake naingia hadi chumbani na kulala nalala,natoka bafuni kifua wazi na taulo nimejifunga,nakaa sebuleni kwake kifua wazi na taulo pekee na muda mwingine tunatinduana mlango ukiwa wazi bila wasiwasi wowote,je angekua ameolewa si angekuwa na hofu ya kukutwa na mume wake?,inakuwaje ajiachie huru kiasi kile?.....
Nilijiuliza maswali mengi sana lkn ckupata majibu na ukizingatia hawa alishaniingia vzr hadi kwenye mishipa ya fahamu,nilikosa raha KBS kuachana nae,nilitamani yule jamaa awe anasema uongo ili niendelee lkn nilishaingiza uoga kwa mke wa mtu.
Unakumbuka niliwaeleza kuwa cku ile namuacha lodge ucku wkt narudi niliblock namba zake zote na kuzifuta nikazifuta?....
Bac kumbe yule jamaa akaamua kunitega km nitapiga cm,kuanzia cku hio ucku akakaa na cm ya hawa,akamnyanganya cm Hawa, akakaa nayo yy,na akamzuia kutoka ndani kwa cku 3,wako wote ndani hakuna kutoka,na cm anayo yy jamaa kuangalia km nitapiga,kzn hawa akaombewa ruhusa kuwa anaumwa,na kweli alikua anaumwa kwa kipondo alichopokea kutoka kwa jamaa.cku ya kwanza ikapita ckupiga cm,cku ya pili ckupiga,ya tatu ckupigà,cku ya NNE jamaa akatuma msg ya kunitega eti bby mambo?....,...msg nikaiona ckuijibu nikaifuta.akajaribu kupiga(kwa maelezo ya hawa ),cm ikawa inakata tu na jamaa akaelewa kwamba nimeiblock,at least akawa na amani,akamrudishia cm mkewe nae akasepa.
Kuondoka tu hawa akaanza kunitafuta kwa cm na haikumchukua muda mrefu kutambua kuwa nimemblock,akaanza kutuma msg ndefu kama magazeti akiomba nimsamehe kwa yote na hapo hapo akinisifu kwa kumpiga block na kutojibu SMS za nyuma,hapo ndio akaniweka wazi kuwa kwa cku 3 mfululizo hio cm ilikua na jamaa yake na Leo cku ya NNE ndio kamrudishia baada ya kuona hakuna ushirikiano toka kwangu,...Nikawa nasoma msj zake kisha nafuta na kujisemea kimoyo moyo kuwa nae vile vile ctamjibu km ambavyo ckumjibu huyo jamaa yake.ckutaka kuendelea kujiweka ktk hatari.
Cku zikaisha Mara wiki,wiki ya pili inaanza Mara hawa akanitafuta kwa namba nyingine,akaamua kusajili kabisa namba mpya maana zile za awali hawezi kunipata sababu ya block alokula.akapiga nikapokea,akasalimia vzr sana nami nikasikia sauti yake na kuitambua vzr.saut yake naijua sana.nilipohakikisha ni yy nikakata cm na kuiblock ile namba aliotumia.
Cku inayofuata SAA tano asbh Mara MTU huyu hapa ofcn kwangu,nilichoka,.,kumfukuza nashindwa,akaingia akanisalimu na kusimama hapo mbele ya meza yangu huku akiniangalia kwa tambasamu pana,hajuagi kununa huyu mtt wa kike,na tabasamu lake huku anajiuma midomo mwanangu huchomoki.basi mwanaume nikajifanya simuoni na kukodolea macho desktop yangu huku nikiwa wala sina cha maana ninachofanya hapo kwenye desktop, nilishaona dalili ya kuukubali msamaha maana aliingia akiwa kapendeza hatari huku chumba kizima kikinukia unyunyu aloingia nao,na midomo anajiuma huku akinitabasamulia na kisauti chake kidogo km cha wema sepetu nikajua Leo nikichomoka salama naenda kutoa sadaka msikitini.
Mtt akaanza kujielezea kwa marefu na mapana[emoji1787],
Hakunificha kitu chochote,akakubali kuwa ni kweli ameolewa na huyo jamaa mwaka mmoja uliopita,ila hampendi huyo jamaa maana anampiga Mara kwa Mara na pia hana msaada nae ndio maana hataki kumzalia mtt,pia akasema jamaa àlikua mkristo akabadili dini kuwa mwislam ili amuoe baada ya ndoa jamaa amerudi kuendelea na ibada zake za kanisani akimaanisha jamaa alitaka ndoa tu,pia akanambia jamaa ana mke mwingine na watt wilaya ya jirani na wao familia yote ni wakristo,pia akanambia ndio maana huwa tunapata muda mwingi wa kujiachia bila kuwaza maana wakati huo jamaa ana kuwa wilayani kwa mke mkubwa,...
Ebwana ndugu zangu nilizidi kuchanganyikiwa kabisa,nikamuuliza ni kwa nn amenidanganya Mara mbili?,kwanza mwanzo alinambia hana mume wala hana MTU,na baadae nilipombana tuoane akanidanganya tena kuwa ana mchumba anajulikana hadi kwa babu yake.Akanijibu kuwa tangu nilipomsaidia kwenye ishu yake alinipenda kwa busara zangu na akatamani ningekuwa mume wake,akaniomba nimpe muda maana yupo kwenye hatua za kuachana na huyo jamaa maana anamnyanyasa sana,hii Mara ya pili naambiwa nimpe muda eti wataachana tu[emoji1787],(mara ya kwanza ilikua ni mchumba ake),akaniomba nisimuache na tuwe japo tunasalimiana ktk kipindi hiki ambacho anafanya utaratibu wa kupewa talaka kisha tuowane,...
Shetani ni shetani tu,nikajikuta naingia kingi kiulaini baada ya kubembelezwa na kijisauti chake,nikakubali kumsamehe na kum unblock namba zake ila nikamwambia awe makini kufuta kila kitu kuhusu Mimi hadi atakapo kuwa huru.nilivyo mwehu eti sasa naanza kusubiria kwa hàmu watu waachane ili mm nimiliki nikiamini kuwa wataachana tu[emoji1787].
Taratibu taratibu tukaanza kurudisha mawasiliano Mara mawasiliano yakakolea kama kawa,Mara tukaendelea kubanjuana kama zamani,tena safari hii tukizidisha zaidi...
Cku zikaenda Mara wife wangu akazipata habari,kuwa Niko na mahusiano na mwanamke wa haja,akamtafuta hadi akamjua,...
Wife akanambia nikaruka futi mia,nikasema cmjui huyo hawa na cjawahi kuwa na mahusiano na MTU huyo.maskini wife akajikausha ila akanambia kuwa naskia huyo Dada ni mke wa MTU,kama ni kweli nakuombea kwa Mungu ucje pata madhara makubwa kwa kutembea na mke wa MTU,moyoni nikawa namjibu kuwa mm cjaanz kutembea na wake za watu Leo,mm ni mzoefu wa wake za watu,najua kucheza na hio sekta na huyu ni wa nne ss utaniambia nini?.....
Maskini ckujua kwamba hiki cha safari hii ni kisanga.....
........inaendelea......
........
nouma sana, nipo hapa nasubiria mwendelezo mkuu.
 
Inaendelea 8.............

Nikajilaumu sana kwa kutokuwa makini maana nilishachoka kuwa na mahusiano na wake za watu,nikajiona ni mjinga nisiokuwa makini,lkn nikajiuliza tena,hata kama Hawa alinidanganya mbona kwa muda wote huu nimekuwa nae na tumekuwa tunajivinjari tu bila woga?…...ni miezi kadhaa sasa imepita Niko nae kwenye mahusiano na cjawahi kuona dalili yyt ya yy kuolewa,nyumbani kwake naingia hadi chumbani na kulala nalala,natoka bafuni kifua wazi na taulo nimejifunga,nakaa sebuleni kwake kifua wazi na taulo pekee na muda mwingine tunatinduana mlango ukiwa wazi bila wasiwasi wowote,je angekua ameolewa si angekuwa na hofu ya kukutwa na mume wake?,inakuwaje ajiachie huru kiasi kile?.....
Nilijiuliza maswali mengi sana lkn ckupata majibu na ukizingatia hawa alishaniingia vzr hadi kwenye mishipa ya fahamu,nilikosa raha KBS kuachana nae,nilitamani yule jamaa awe anasema uongo ili niendelee lkn nilishaingiza uoga kwa mke wa mtu.
Unakumbuka niliwaeleza kuwa cku ile namuacha lodge ucku wkt narudi niliblock namba zake zote na kuzifuta nikazifuta?....
Bac kumbe yule jamaa akaamua kunitega km nitapiga cm,kuanzia cku hio ucku akakaa na cm ya hawa,akamnyanganya cm Hawa, akakaa nayo yy,na akamzuia kutoka ndani kwa cku 3,wako wote ndani hakuna kutoka,na cm anayo yy jamaa kuangalia km nitapiga,kzn hawa akaombewa ruhusa kuwa anaumwa,na kweli alikua anaumwa kwa kipondo alichopokea kutoka kwa jamaa.cku ya kwanza ikapita ckupiga cm,cku ya pili ckupiga,ya tatu ckupigà,cku ya NNE jamaa akatuma msg ya kunitega eti bby mambo?....,...msg nikaiona ckuijibu nikaifuta.akajaribu kupiga(kwa maelezo ya hawa ),cm ikawa inakata tu na jamaa akaelewa kwamba nimeiblock,at least akawa na amani,akamrudishia cm mkewe nae akasepa.
Kuondoka tu hawa akaanza kunitafuta kwa cm na haikumchukua muda mrefu kutambua kuwa nimemblock,akaanza kutuma msg ndefu kama magazeti akiomba nimsamehe kwa yote na hapo hapo akinisifu kwa kumpiga block na kutojibu SMS za nyuma,hapo ndio akaniweka wazi kuwa kwa cku 3 mfululizo hio cm ilikua na jamaa yake na Leo cku ya NNE ndio kamrudishia baada ya kuona hakuna ushirikiano toka kwangu,...Nikawa nasoma msj zake kisha nafuta na kujisemea kimoyo moyo kuwa nae vile vile ctamjibu km ambavyo ckumjibu huyo jamaa yake.ckutaka kuendelea kujiweka ktk hatari.
Cku zikaisha Mara wiki,wiki ya pili inaanza Mara hawa akanitafuta kwa namba nyingine,akaamua kusajili kabisa namba mpya maana zile za awali hawezi kunipata sababu ya block alokula.akapiga nikapokea,akasalimia vzr sana nami nikasikia sauti yake na kuitambua vzr.saut yake naijua sana.nilipohakikisha ni yy nikakata cm na kuiblock ile namba aliotumia.
Cku inayofuata SAA tano asbh Mara MTU huyu hapa ofcn kwangu,nilichoka,.,kumfukuza nashindwa,akaingia akanisalimu na kusimama hapo mbele ya meza yangu huku akiniangalia kwa tambasamu pana,hajuagi kununa huyu mtt wa kike,na tabasamu lake huku anajiuma midomo mwanangu huchomoki.basi mwanaume nikajifanya simuoni na kukodolea macho desktop yangu huku nikiwa wala sina cha maana ninachofanya hapo kwenye desktop, nilishaona dalili ya kuukubali msamaha maana aliingia akiwa kapendeza hatari huku chumba kizima kikinukia unyunyu aloingia nao,na midomo anajiuma huku akinitabasamulia na kisauti chake kidogo km cha wema sepetu nikajua Leo nikichomoka salama naenda kutoa sadaka msikitini.
Mtt akaanza kujielezea kwa marefu na mapana🤣,
Hakunificha kitu chochote,akakubali kuwa ni kweli ameolewa na huyo jamaa mwaka mmoja uliopita,ila hampendi huyo jamaa maana anampiga Mara kwa Mara na pia hana msaada nae ndio maana hataki kumzalia mtt,pia akasema jamaa àlikua mkristo akabadili dini kuwa mwislam ili amuoe baada ya ndoa jamaa amerudi kuendelea na ibada zake za kanisani akimaanisha jamaa alitaka ndoa tu,pia akanambia jamaa ana mke mwingine na watt wilaya ya jirani na wao familia yote ni wakristo,pia akanambia ndio maana huwa tunapata muda mwingi wa kujiachia bila kuwaza maana wakati huo jamaa ana kuwa wilayani kwa mke mkubwa,...
Ebwana ndugu zangu nilizidi kuchanganyikiwa kabisa,nikamuuliza ni kwa nn amenidanganya Mara mbili?,kwanza mwanzo alinambia hana mume wala hana MTU,na baadae nilipombana tuoane akanidanganya tena kuwa ana mchumba anajulikana hadi kwa babu yake.Akanijibu kuwa tangu nilipomsaidia kwenye ishu yake alinipenda kwa busara zangu na akatamani ningekuwa mume wake,akaniomba nimpe muda maana yupo kwenye hatua za kuachana na huyo jamaa maana anamnyanyasa sana,hii Mara ya pili naambiwa nimpe muda eti wataachana tu🤣,(mara ya kwanza ilikua ni mchumba ake),akaniomba nisimuache na tuwe japo tunasalimiana ktk kipindi hiki ambacho anafanya utaratibu wa kupewa talaka kisha tuowane,...
Shetani ni shetani tu,nikajikuta naingia kingi kiulaini baada ya kubembelezwa na kijisauti chake,nikakubali kumsamehe na kum unblock namba zake ila nikamwambia awe makini kufuta kila kitu kuhusu Mimi hadi atakapo kuwa huru.nilivyo mwehu eti sasa naanza kusubiria kwa hàmu watu waachane ili mm nimiliki nikiamini kuwa wataachana tu🤣.
Taratibu taratibu tukaanza kurudisha mawasiliano Mara mawasiliano yakakolea kama kawa,Mara tukaendelea kubanjuana kama zamani,tena safari hii tukizidisha zaidi...
Cku zikaenda Mara wife wangu akazipata habari,kuwa Niko na mahusiano na mwanamke wa haja,akamtafuta hadi akamjua,...
Wife akanambia nikaruka futi mia,nikasema cmjui huyo hawa na cjawahi kuwa na mahusiano na MTU huyo.maskini wife akajikausha ila akanambia kuwa naskia huyo Dada ni mke wa MTU,kama ni kweli nakuombea kwa Mungu ucje pata madhara makubwa kwa kutembea na mke wa MTU,moyoni nikawa namjibu kuwa mm cjaanz kutembea na wake za watu Leo,mm ni mzoefu wa wake za watu,najua kucheza na hio sekta na huyu ni wa nne ss utaniambia nini?.....
Maskini ckujua kwamba hiki cha safari hii ni kisanga.....
........inaendelea......
........
Kelebe:

Hii ya Hawa hiii...kuna muda ni maroho ya wake za watu na inafika mahali hakuna mke wa mtu utamuomba akunyime maana mnaanza kutambuana kwa vilemba. Shetani haji kama movie anakuja akiwa mzuri.😊
 
Ukweli wa moyo namshukuru Mungu aliniepusha maana ningemuua mke wangu mwema,nadhani kilichosaidia ni kutumia condom sana,ni wanawake wawili tu nilienda nao kavu na namshukuru nilipita salama
Unamshukuru Mungu kwa uzinzii [emoji1]

Apo shukuru shetani wa zamu skuiyo hakua mnoko

Mungu hashkuriwi kwa uzinzii
 
Zidumu Fikra Za Mwenyekiti Wa Chama 😃😂😄😅😁😀😅😆😍😎
 
Aiseee wake za watu imekua mada sana jf. Hivi hamna wake za watu humu nao watoe shuhuda za kusaliti ndoa zao tuwe na uhakika.
Maana wanaotoa shuhuda ni wanaume tu kua wamewala, mko wapi waliwa mtubitishe iwe 50/50 jama 😁😁
 
Hawanaga mambo mengi wanapenda kuliwa kimya kimya
 
Oyaaa malizia umemaliza popCorn zangu zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787] fanya umalizie hiko kipande kilicho baki chap chap na mm nikatafute limama limoja lililoolewa [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom