Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nikipata mda mzuri ntausomaThubutuu! We burudika tu mkuu mambo yako hayo.
😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipata mda mzuri ntausomaThubutuu! We burudika tu mkuu mambo yako hayo.
😆😆😆
Naahukuru mkuu,yalishapita hayo,Nashukuru Mungu nilitoka salama japo kwa mbindeMkuu lete mzigo wote hapa, bado tunanguvu za kusoma. Lakini pia itatoa fursa ya kuweza
kukushauri vizuri!
Ingawa kutokana na hiki ulichoandika naweza kukushauri ni kuwa, achana mahusiano kabisa na hao mademu, ni wazi wanaume hatutosheki na mwanamke mmj hata awe na sifa zote za kuitwa mke lakin ni vyema kama unachepuka chepuka kwa umakini mkubwa sana.
Una mke mzuri na mcha Mungu, una bahati sana, wengi wanaochepuka chanzo huwa ni migogoro ndani ya nyumba kutokana na mke/mume kuwa pasua kichwa, sasa wewe nyumba yako iko stable lakini bado unatafuta cha mtemakuni kwa kufanya mahusiano ya kizembe. Achana na habari za kutumiana mameseji ya mara kwa mara.
Mwisho huyo mwanamke atakapochoka atakuchia uchizi sababu atakuacha au kufanya tukio likalo acha kovu milele.
Acha maneno weka mzikiEndelea mkuu,tunaimaliza leo
Exactly, hapa nimeamua tu kuwashirikisha watu wajifunze wao,mm kwangu yalishapita na nikishajifunza na sasa namshukuru Mungu nimeacha,naomba Mungu anijaalie niache moja kwa mojaMwanzoni kabisa amesema hataki ushauri maana ni mambo yaliyokwishapita.
Kuwa na imani mkuu,Nenda kaendelee na majukumu yako hamna mwendelezo hapa.
Huyu mchizi alimdanganya mama yake mzazi ili kulinda uzinzi wake, sasa wewe unayesubiri ahadi ya kuwekewa mwendelezo ni nani hata usidanganywe.
Imetoka hiyo [emoji4][emoji4][emoji23]
Mungu atusaidie na hizi ndoa/mahusiano maana shetani yuko kazini lolVipi tena Vale..?