Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Mkuu lete mzigo wote hapa, bado tunanguvu za kusoma. Lakini pia itatoa fursa ya kuweza
kukushauri vizuri!
Ingawa kutokana na hiki ulichoandika naweza kukushauri ni kuwa, achana mahusiano kabisa na hao mademu, ni wazi wanaume hatutosheki na mwanamke mmj hata awe na sifa zote za kuitwa mke lakin ni vyema kama unachepuka chepuka kwa umakini mkubwa sana.

Una mke mzuri na mcha Mungu, una bahati sana, wengi wanaochepuka chanzo huwa ni migogoro ndani ya nyumba kutokana na mke/mume kuwa pasua kichwa, sasa wewe nyumba yako iko stable lakini bado unatafuta cha mtemakuni kwa kufanya mahusiano ya kizembe. Achana na habari za kutumiana mameseji ya mara kwa mara.

Mwisho huyo mwanamke atakapochoka atakuchia uchizi sababu atakuacha au kufanya tukio likalo acha kovu milele.
Mwanzoni kabisa amesema hataki ushauri maana ni mambo yaliyokwishapita.
 
Mtu ukianza umalaya na kuchepuka kuacha inakuaga ngumu sana wake zetu watuvumilie tu
Mi hapa nimepata kitoto kidogo ndio kimemaliza form six mwaka huu ni mtoto wa mjeda hili ni janga naona kipigo kinanukia kwangu
 
Yani mbongo bana akipata kitu lazima awatese wenzie, sasa huyu mwamba anasema kabisa stori anayo ni ya kupaste tu lakini mpaka atuzunguushee....dah yani ndio maana hii nchi kuendelea kazi sana
Nenda kaendelee na majukumu yako hamna mwendelezo hapa.

Huyu mchizi alimdanganya mama yake mzazi ili kulinda uzinzi wake, sasa wewe unayesubiri ahadi ya kuwekewa mwendelezo ni nani hata usidanganywe.

Imetoka hiyo [emoji4][emoji4][emoji23]
 
Mkuu lete mzigo wote hapa, bado tunanguvu za kusoma. Lakini pia itatoa fursa ya kuweza
kukushauri vizuri!
Ingawa kutokana na hiki ulichoandika naweza kukushauri ni kuwa, achana mahusiano kabisa na hao mademu, ni wazi wanaume hatutosheki na mwanamke mmj hata awe na sifa zote za kuitwa mke lakin ni vyema kama unachepuka chepuka kwa umakini mkubwa sana.

Una mke mzuri na mcha Mungu, una bahati sana, wengi wanaochepuka chanzo huwa ni migogoro ndani ya nyumba kutokana na mke/mume kuwa pasua kichwa, sasa wewe nyumba yako iko stable lakini bado unatafuta cha mtemakuni kwa kufanya mahusiano ya kizembe. Achana na habari za kutumiana mameseji ya mara kwa mara.

Mwisho huyo mwanamke atakapochoka atakuchia uchizi sababu atakuacha au kufanya tukio likalo acha kovu milele.
Kuchepka ni hulka tu tulionayo wanamume. Haijalishi mkeo ametulia au hajatulia. Na tunavyochepuka sio kwamba hatuwapendi wake zetu.
 
Nenda kaendelee na majukumu yako hamna mwendelezo hapa.

Huyu mchizi alimdanganya mama yake mzazi ili kulinda uzinzi wake, sasa wewe unayesubiri ahadi ya kuwekewa mwendelezo ni nani hata usidanganywe.

Imetoka hiyo [emoji4][emoji4][emoji23]
Daaahh wadau mnajua kufanya ufafanuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom