Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Mwanamke km hajaamua kukuacha yeye,mara nyingi hata ukiamua umpige chini inakuwa ngumu sn kuachana nae..tena km mkiwa mnafanya kazi pamoja au watu mnaoonana mara Kwa mara,ni ngumu sn kuchomoa

Kwa nijuavyo Mimi mwanamke ndy anaacha

Nimejaribu kumuacha binti Fulani mara kadhaa tena na mikwara mizito lkn akilia lia kidogo tu namrudia
 
Inaendelea 3..,.................
..................
Mtanisamehe maana nikileta muendelezo nalazimika kuleta ndefu ili nisiwachoshe kusubiria na pia ili niwahi kumaliza stori yangu mapema,...nahisi nitaimaliza kabla hata cjafika sehemu ya 10,..
Tuendelee......
Nilitoka home nikiwa nimechanganyikiwa nisijue hata cha kufanya,naanzaje kumuita mama yangu mzazi aje ashuhudie na kusikiliza uchafu wangu?,mama amekua akiniamini sana na mimi ni miongoni mwa wanae watiifu na wasio na malumbano kwenye familia, Leo hii mama aje kusikiliza uchafu na ushenzi wangu,naanzaje kumuita??...
Pili huyu mdada ambae ni mchepuko wangu,naenda kumpangaje ili akubali kuja kikaoni?,,...
Ila nikashukuru Mungu nimepata japo nafac ya kumshawishi na kumweleza hatari itakayotokea endapo kikao hakitafanyika,ingekua ngumu sana km wife angenambia pale pale nimuite tuje kufanya kikao, nikaona kidogo Nina nafac ya kumshawishi akubali,.
Nilifika ofcn SAA mbili na nusu na moja kwa moja nikawahi ofcn kwa bosi nikamweleze kuwa nishafika,na ofcn kwa bosi ndío nakutana na secretary mchepuko wangu kabla hata cjaingia kwa bosi.
Ile naingia tu kwa secretary akachanua meno yake na kunambia waooo,,,baby Leo umechelewa sana jmn kunani?..
Nikamuuliza chief yupo?,,akanambia yupo nenda tu,nikamwambia nisubir nikitoka kwa boss Nina mazungumzo na ww ila uje ofcn kwangu maana ni full majanga.,,akashtuka na kutaka kujua kunani?,,,,nikamwambia subiri maana ni maongezi marefu.
Nikaingia ndani kwa boss nikamsalimu mzee yule kisha nikamwambia nimeshafika boss,samahani kwa kuchelewa kidogo,mzee akanambia hakuna neno maana nimewahi kikao na ckutakiwa kukikosa maana kina maelekezo ya kazi,kwa utu uzima wake mzee akagundua kuwa CPO sawa,akaniuliza nini tatizo?....,nikajibu nyumbani tu mzee,nyumbani hakuko sawa kabisa Leo,tuna ugomvi mkubwa na mwenzangu,...boss akanipa pole kisha akauliza,....nani kati yangu na mke wangu ndio chanzo cha ugomvi?.....,Ckutaka kuongopa,nikàmjibu chanzo na tatizo limeanza kwangu mimi boss,na mimi ndío nimemkosea mwenzangu,....boss akaniangalia kwa huruma jinsi nilivyokuwa sina amani kisha akanambia,niingie kwenye kikao kisha kikao kikiisha nirudi nyumbani nikawekana sawa na mwenzangu,akanambia siwezi kufanya kazi ktk hali ile Leo,kikao kikiisha nenda kamalizane na mwenzako na uhakikishe yameisha,kama ni kuomba radhi muombe radhi mwenzako na uhakikishe kesho asbh umekuja ukiwa safi kiakili kwa ajili ya kazi,nikamwelewa mzee yule kisha nikamshukuru na kutoka,...kufika kwa secretary nikamwambia kuwa naingia kwenye kikao SAA tatu kamili,muda huo zimebaki km DKK 20 kikao kianze,nikamuomba amuombe bosi wake DKK 15 za dharura akaonane na mgeni wake kule chini getini ana ujumbe ameletewa,kisha bosi akikubali aje oficn kwangu.
Dada wa watu kweli akaomba dharura ya DKK 15 akakubaliwa na mbio akaja kwangu,akakuta nimekaa peke yangu na haraka haraka akataka kujua kulikoni?
Nikamweleza mkanda wote A to Z,akachoka,kisha akaanza kunilaumu kuwa sipo makini,kwa nini naacha kufuta msg na picha?,nikajitetea kuwa mwanzo nilikua nafuta na wife wala hakuwa na mpango na cm yangu,ila baadae wife alipoona kuna mabadiliko kwangu akaanza kuwa na Tabia ya kushika shika cm yangu Mara kwa Mara, nikaipiga mapini kila kona,nikajihakikishia kuwa sasa cm IPO salama nikaacha kufuta chochote,na kumbe baada ya kuipiga cm pini kila kona ndio nikazidisha kiu ya wife kutaka kujua kulikoni kwenye cm yangu,akajidai hana mpango nayo na wala haigusi kumbe ananivizia niitumie akiwa karibu,na kweli akafànikiwa kupata password na pattern kisha akaona kila kitu,nilimweleza mchepu kuwa wife anataka kuja kushitaki kwa bosi na pia ameapa kumtafuta mume wake hadi ampate ili amwambie amuonye mke wake asitembee na mume wake ambae ni mimi,mchepu alichanganyikiwa,alinipenda kweli na hakutaka kunipoteza ila pia hakutaka mume wake ajue kuna analiwa,.akaniuliza kwaiyo tunafanyaje?nikamwambia wife anataka kuonana nae Leo jioni,yy wife atakua na Dada yake na mimi na wewe,ckutaka kumwambia kuwa na mama yangu atakuwepo ili asikatae kuja,mwanzo aligoma akasema hawezi kuja,lkn baada ya kumwambia hatari itakayotokea endapo hatakuja kuongea na wife ikabidi akubali,nikampanga kuwa mimi nimemwambia wife kuwa wewe uliwahi kuwa mpenzi wangu miaka ya nyuma tukiwa chuoni,nikamwambia kuwa akifika kwenye kikao atanisikiliza mimi kwanza maana mimi ndio nitaanza kuongea na kuwatambulisha kisha nitaanza kueleza ilivyokuwa na kuwa nitaeleza mimi na yy tulikutana chuoni miaka kadhaa iliyopita,mimi nikiwa mwaka wa mwisho nae mwaka wa kwanza,tukawa na mahusiano ya kimapenzi pale chuoni ila baadae tulipotezana na miaka ikapita bila kuonana wala kuwasiliana hadi tulipokuja kukutana tenapale kazini ambapo kila mmoja alishapata mwenza,yy aliolewa na mimi nimeoa,lkn kwa mapenzi tuliyokuwa nayochuoni basi tulivyoonana tukashindwa kujizuia na shetani akatuchota tenabila kujijua kwamba tulikuwa tunawakosea wenza wetu na kumkosea Mungu pia,nikamwambia wakati huo wote mim ndio nitakua naongea nae atakua ananisikiliza tu ili baadae akipigwa swali na wife asijichanganye kwenye maelezo,nikamwambia baada ya yote tutaombana msamaha na kumaliza kikao tukiahidi kuwa tumejifunza na tutaacha kuwasiliana,...
Kidogo somo likamuingia mchepu akakaza moyo na kukubali,....nikamuacha nami nikawahi kukimbia kwenye ukumbi mdogo tunaofanyiaga vikao vya kazi,nikakuta watu wote washaingia na bosi ndio anaanza kuendesha kikao,haraka haraka nikasalimia na kuchukua siti kukaa,..kikao kikaisha SAA sita kasoro na watu tukatawanyika,nikajiandaa kuondoka kisha nikaenda kumuaga bosi na mchepu nikasepa.
Nilimpigia wife cm na kumuuliza anaendeleaje nae akanambia anajisikia vibaya sana,moyo unamwenda mbio na mwili umekosa nguvu,yupo amelala,.
Kwa haraka haraka nikajua BP imeshuka sana,anakuwaga na hilo tatizo japo sio Mara kwa Mara,dawa yake huwa ni kahawa Kali.
Nikapita sokoni nikanunua ile kahawa chungu kabisa ya kupima nikasepa home,mama ckumwambia,nilitaka kumshtukiza tu baadae jioni,maana nikamwambia sasa hivi ataanza kuuliza maswali kibao mwisho atasema njooni nyumbani tuongee,nilitaka kufanya wife anavyotaka ili amani irejee nyumbani kwangu.
Kwa wakati huo nilikua nisha mfunguliaga wife office yake ya kuuza mazaga zaga flani ya kinamama na ilikua inaenda vzr sana tu,dukani kwake alikua anauza mwenyewe na mtt anamuacha na beki 3, nilirudi nyumbani nikamkuta amelala na kweli hali yake haikuwa nzuri sana,..nikasalimia kisha nikampa pole,baada ya pale nikazama jikoni kumuandalia ile kahawa Kali na maziwa fresh, nikampelekea akanywa vikombe viwili na baada ya nusu SAA kidogo hali yake ikaanza kukaa sawa,nikaendekea kuomba radhi na nikamwambia jioni tutafaya hicho kikao na wote tutakuwepo,kidogo akakaa sawa kisha hakuongea na mimi akarudi kitandani kulala,mipango ikafanyika tukapanga mahali pa kukutana,ni hotelini kwa Dada yake,nikampigia mchepu wangu na kumuelekeza tunapokutana,kisha nikampigia mama na kumwomba aje hotelini kwa shemeji yangu Dada wa mke wangu,mama anapàjua hapo hotelini,..kama kawaida mama akaanza kuuliza kuna nini?...nikamwambia kuna tatizo LA ghafla tafadhali naomba uchukue bajaji uje,mama akanielewa na kweli akaja,DKK 20 baadae wote wa5 tukawa tumezunguka meza,..mimi nikaanza kumtambulisha yule mchepu kwa watu wote maana ni yy tu pale ndio alikua hajulikani...........,...
.......,.....
Tutaendelea soon
Hatariiii
 
Haya mambo acha tu.
Nlisafiri na brother safari ndefu tukapita mkoa flani flani ambao ana mchepuko wake wa kitambo tu.

Akamla

Kesho yake alfajiri kaniachia asukani
Mwana one nacheza na zile kona kona

Mwendo wa kiafsa tu 60 80 mwisho 120.

[emoji23][emoji23]

Sasa hapo unadhani nimejifunza nn?

Ndoa acha ziitwe ndoa
 
Habari za Leo wana Jf wenzangu,
Mimi sio mgeni humu. ndani,Nina ID ninayoitumia tangu mwaka 2013 ila kutokana na kitu ninachotaka kukiandika humu basi nimelazimika kufungua ID mpya kabisa,
Nimezaliwa miaka 40 iliyopita ktk moja ya wilaya zilizopo kaskazini ya Tanzania, ni mtoto wa 4 kuzaliwa ktk familia yenye watoto 6,wazazi wangu wote walikua watumishi na sasa amebaki mama tu baada ya baba mzazi kufariki miaka takribani 28 iliyopita.
Twende moja kwa moja kwenye mada yangu.Mnamo mwaka 2009 nilipata ajira katika kampuni moja kubwa tu huko kaskazini mwa Tanzania,nilifanya kazi pale kwa uhodari mkubwa kiasi cha kupelekea kufahamiana na karibu kila mtumishi wa tawi lile,(nasema tawi maana kampuni ina matawi mengi sana Tanzania),ktk kipindi cha miezi mi4 tu ya mwanzo niliaminika na mabosi wa vitengo na idara zote na haikuchukua muda nikapewa ukuu wa kitengo,hapo nikaongeza hadi marupurupu kibao kazini,.
Stori yangu ni ya kweli kabisa ambayo ni misukosuko niliyoipata na wala si ya uongo,ukiona INA dalili ya chai basi hulazimishwi kuisoma bali waachie ambao itawafunza na kuwafurahisha,na wala sitarajii kupewa ushauri maana ni mambo yalikwishatokea muda mrefu na yalishapita na sasa naendelea na maisha yangu mapya japokua nimerudi nyuma kidogo kimaisha.
Mimi Nina mke na watoto wawili,wakike na wakiume,.
Wakati huo ninaanza kazi pale nilikua na mtoto mmoja tu wa kike na baadae nilikuja kupata mtoto mwingine wa kiume.
Naweza kusema mke wangu ni mke bora na ni zawadi kutoka kwa Mungu maana ni mama mwenye Tabia njema na mwenye hofu ya Mungu sana,sisi ni waislamu....
Mke huyu hakimpiti kipindi cha swala hata kimoja(zile sala 5 tunazosali waislamu nadhani wengi mnazijua),sala zake anasalia nyumbani kama dini inavyotutaka kwamba mwanamke asalie nyumbani unless km ana dharura au jambo lolote linalomfanya asiwepo nyumbani basi anaweza kusalia msikitini,...
Nikiwa kazini yy ndio anaenipigia cm na Kunikumbusha kuwa huu ni muda wa swala kwa hio nijitahidi sana niswali,nami wakati mwingine huwa nasali na ninapobanwa na mambo mengi najikuta muda wa swala umepita bila kuswali....kifupi mke huyu ni MTU amelelewa ktk familia iliyoshiba dini sana na hadi namuoa hakuwahi kunipa tunda japo niliwahi kumshawishi aje kwangu ninapoishi kuja Kunisalimia kipindi tukiwa wachumba ila yy alikataa kabisa kufika akidai akifika huko tutapata vishawishi vya shetani na kuingia ktk dhambi ya zinaa,kwa kuwa ni binti mrembo basi ckutaka kumkosa nikajikuta tu navumilia hadi cku ya ndoa bila kula tunda,ckuwahi kumwambia MTU yyt kuwa nilivumilia na kuoa bila kuonjeshwa tunda maana nilihofia yule ninaemweleza ataniona fala kwa kununua mbuzi kwenye gunia kutokana na watu wengi kujiwekea utaratibu kuwa hawezi kuoa bila kuonja asali,mimi kwangu kwa kweli ilishindikana kabisa kabisa,hadi namuoa alikua na miaka 21 lakini cha ajabi nilimkuta akiwa hajaguswa na mwanaume,nilijawa na furaha ya ajabu kumuanza mke wangu Mimi mwenyewe,nikamuuliza aliwezaje kujilinda hadi umri huo?,akajibu alishajiwekea nadhiri ya kumlindia heshima mume wake toka akiwa darasa LA 7,.akasema tulipokua wachumba ningemlazimisha sana kutoa penzi basi angeniacha maana angeona Nina tamaa ya penzi na sina nia ya kuoa,ila alinipenda maana ckuwahi kumuomba penzi ktk kipindi chote cha kujuana zaidi ya Kumwomba aje home kunisalimia nae akagoma kwa kuhofia kuwa akifika tu ataliwa hata kwa nguvu....kipindi hicho naoa nilikua nishapitia wasichana si chini ya 50 tangu kubalehe,nakumbuka shule ya msingi nilikula mmoja tukiwa darasa LA 7,sekondary hadi form four pale shuleni nilikula zaidi ya wanafunzi 12 wa vidato tofauti tofauti,...hawa nawakumbuka hadi majina mmoja baada ya mwingine,katika kipindi hicho hicho cha sekondari nilikula wanawake wengine ambao either hawakuwa wanafunzi kabisa na wengine walikuwa wanafunzi wa shule nyingine,hawa kwa kweli ckumbuki walikua wangapi,baadae nikaenda chuo ambapo nlisoma miaka 4 vyuo viwili tofauti,huko chuoni napo nilikua wengi sana tu hata idadi sijui,baadae nikaingia mitaani kwenye volunteering na ajira mdogo mdogo za temporary ambapo nilipata ujuzi zaidi na uzoefu zaidi wa kazi zangu,napo huko niliwapiga piga sana tu,na ndio kipindi nilichooa hapo nikiwa sina kazi ya maana kivile,ndio maana nikasema hadi naoa nilishapiga kama 50+ kwa makadirio ya haraka haraka ila inawezekana wakazidi zaidi.
Nilipomkuta mke wangu ni bikra hajachezewa nilifurahi sana,nikajisemea kimoyo moyo jmn na Mimi nitulie sasa,maana km mke nishampata,nisimkere binti wa watu.(hizi nyege hizi jamani nyie acheni tu,kwani niliweza sasa kuacha?)
Nikajitahidi sana kuvunja mahusiano na wanawake wote baada ya kuoa nikijipa imani kuwa nitakuwa muaminifu kwa mke wangu,.
Miaka miwili tangu nioe nikiwa na mtoto wangu tayari binti mzuri kama mama yake nikafanikiwa kupata ajira kwenye kampuni hiyo niliyokwisha ieleza hapo mwanzo.
Miezi ikaisha nikiendelea na kazi na baada ya kuanza kupata marupurupu maisha yakawa bora zaidi,nikanunua hadi kiwanja na kuanza ujenzi hatua za mwanzo.
Baadae majaribu ya ngono yakaanzia pale pale ofisini,
Nikiwa kijana mtanashati secretary wa bosi wangu akaanza kuonyesha kila dalili ya kunitaka kimapenzi,alikua binti mdogo na mrembo sana jina lake lake naomba nilihifadhi maana anaweza akawepo humu.
Binti huyu mrembo kwa haraka haraka ukimtizama utasema hana mume na Mimi ckutaka sana kumuuliza kama ameolewa wala kuuliza kama ana mtoto zaidi nikijiaminisha kuwa hajaolewa.
Basi mwanzoni nilijifanya mgumu kumwelewa nae akawa hakati tamaa,asbh na mapema nikiingia ofcn yy anakuja Kunisalimia na kuniletea vizawadi vya kimtego mtego,Mara Leo aniletee pipi ya lolipop Mara kesho anileletee kiua Mara SAA ya mkononi,basi tu ili mradi kuonyesha ananijali na Kunithamini japo alikua anajua kuwa Nina mke,cku moja asbh akaniletea zawadi eti ya boksa mpya 3 na kuniambia eti hizo ni size yangu na ameninunulia km zawadi,nikagoma kuzipokea lkn akaniomba sana kuwa nizipokee maana ameshazinunua na nisipopokea atazipeleka wapi?.
Mpaka wakati huo nikajiaminisha kuwa hakuolewa na kwa ujinga wangu ckumuuliza ,...nikazipokea.
Rafiki yangu mmoja pale oficn akaugundua mchezo kwa ukaribu nilokua nao kwa binti yule nae akawa ananikazania kuwa Nile mzigo.
Kuna cku tulikua tunatoka kwenda kwenye kazi za nje ya ofisi kama timu Mimi nikiwa kiongozi maana wakati huo nlishapewa ukuu wa kitengo changu.bac binti alinifata na kuniomba nikirudi ofcn nimletee zawadi,nikamuuliza zawadi gani akanambia pipi ya lollipop, na nikaleta kweli.
Weekend ilofuata nikamuomba tuonane mahali flan ambapo palikua restaurant ambayo pia INA lodge kwa nyuma,Nilishaamua kwamba liwalo na liwe,kwa uroho wangu nikaamua sasa namsaliti mke wangu kwa Mara ya kwanza tangu nifunge nae ndoa.jumapili ikafika SAA Tisa mchana nikitangulia kufika mimi kisha nikamtext kuwa nakusubiri nae akajibu yuko njiani anakuja,binti akafika SAA Tisa na nusu akiwa kapendeza hatari kwa nguo zake za heshima,alipofika tu nilipokaa akanibusu shavuni huku akiniomba radhi kwa kuchelewa.Alinikuta nimeagiza juice ya ukwaju nae akaomba kama hiyo.
Pamoja na umalaya wangu wote wa cku za nyuma lkn nilijikuta nakosa mambo ya kuongea na kubaki kimya Mara nyingi au kuongelea mambo ya kazini,.binti alielewa mchezo nae akawa km ndio muongeaji mkuu huku akinitaka niwe huru maana yy alitamani sana kuwa nami mahali kama pale toka zamani sana.
Baadae nikajiona fala,nikatest mitambo na kumwambia kuwa cjisikii amani kukaa nae pale maana anaweza kutokea MTU na Kuniona nipo nae pale,nikamwomba twende mahali private ambapo tutakuwa peke yetu bila kuonekana ndio tuzungumze,nae bila hiyana akakubali.
Nikaenda reception kuulizia room nikapata chumba safi kwa 25k,nikalipa then nikatangulia ndani kisha nikamtext njoo chumba namba 9 nipo ndani(ckutaka tuongozane nae),akajibu nakuja mume.
Alipofika ndani bila hata ajizi akafunga mlango kwa ufunguo na Kunifata nilipo akanikumbatia kwa nguvu kisha akasema,..." my love nilikusubiri kwa kipindi kirefu sana ili unilete sehemu kama hii,naomba penzi lako maana nakupenda sana,Mara akaudaka mdomo wangu na kuanza kunipa denda,nikaona kanirahisishia maana ckua na jeuri ya kumuanza,mtoto alinipa penzi LA hatari,mtoto mtamu,mtoto wa moto hatari,nilienda raund 2 za ukweli nae akanisifia kuwa nimemkojolesha kwa Mara ya kwanza tokea miaka 2 ipite hajawahi kojoleshwa,hapo ndio akavunja ukimya kwa kunambia kuwa mume wake hajawahi mkojolesha,eti jamaa akipampu Mara NNE au tano kashamwaga,na akimwaga harudii tena,analala usingizi mzito huku anakoroma na kumwacha bibie na hamu zake,akashangaa mm nimepiga mwanzo mwisho hadi anakojoa yy kwanza kisha Mimi,.
Kiukweli nilishtuka kutajiwa neno mume,nikaogopa sana,pa1 na kulala na wanawake kibao huko nyuma ckuwahi kabisa kuwaza kuwa cku moja ntakuja kulala na mke wa MTU,nikamuuliza kuwa mbona hakunambia kama ameolewa?,..akajibu kirahisi tu kuwa alidhani ninajua,eti mbona watu wote wanajua kaolewa na ana mtoto mmoja wa miaka mitatu?,..akanitoa hofu kuwa nisiwe na wasiwasi maana mume wake ana duka lake mjini na hawezi jua maana anarudi home SAA NNE au tano ucku,akaniaminisha kwa maneno kibao kuwa tutakua makini na jamaa hatojua,
Ukweli niliogapa sana na japo nilipanga kurudia round ya mwisho lkn mzigo ukagoma hata kuamka tena kwa woga,nikamwambia tuondoke,tukavaa na kuondoka,baadae nikawaza mbona hata vimatiti vyake ni vidogo na havionyeshi kama kashanyonyesha?,nikakosa jibu.nilifika home SAA moja kasoro na Kumkuta wife anasali swala ya magharibi, nikawahi bafuni chap chap kuoga kisha na Mimi nikasali na kuungana na wife sebuleni,baadae kidogo cm yangu ikaingiza msg WhatsApp, kufungua ni yeye,akanambia VP uko poa?,...ckuijibu maana nikaona nikijibu itaendeleza charting kisha tushikwe,...................
..................,,
...........nitaendelea baada ya muda mchache,naahidi kuileta yote fasta fasta na huenda nikaimaliza Leo Leo maana nishaiandika yote,ni Ku copy na Ku paste tu.
Kwenye kupata BIKIRA hapo nimefata nyayo mkuu.
Any way sijaju huyo mkewe baadae alizingua au lah.

Narudia tena kwa wanaume wenzangu ukibahatika kupata Bikira Oa kabisa narudia tena Oa
Tena anahofu ya Allah
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaaa
[emoji39]

Kuna mtu ataniuliza Kush umepata Bikira[emoji23]

Yec
 
Mkuu lete mzigo wote hapa, bado tunanguvu za kusoma. Lakini pia itatoa fursa ya kuweza
kukushauri vizuri!
Ingawa kutokana na hiki ulichoandika naweza kukushauri ni kuwa, achana mahusiano kabisa na hao mademu, ni wazi wanaume hatutosheki na mwanamke mmj hata awe na sifa zote za kuitwa mke lakin ni vyema kama unachepuka chepuka kwa umakini mkubwa sana.

Una mke mzuri na mcha Mungu, una bahati sana, wengi wanaochepuka chanzo huwa ni migogoro ndani ya nyumba kutokana na mke/mume kuwa pasua kichwa, sasa wewe nyumba yako iko stable lakini bado unatafuta cha mtemakuni kwa kufanya mahusiano ya kizembe. Achana na habari za kutumiana mameseji ya mara kwa mara.

Mwisho huyo mwanamke atakapochoka atakuchia uchizi sababu atakuacha au kufanya tukio likalo acha kovu milele.


Pa1 mkuu,nimetulia kidogo niwape brake watu wapumzike,tutamaliza baadae,IPO tayari yote,nimeiandika kwa wiki nzima, na ilipokamilika ndio nikaanza kuileta kwenu.
 
Kwenye kupata BIKIRA hapo nimefata nyayo mkuu.
Any way sijaju huyo mkewe baadae alizingua au lah.

Narudia tena kwa wanaume wenzangu ukibahatika kupata Bikira Oa kabisa narudia tena Oa
Tena anahofu ya Allah
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaaa
[emoji39]

Kuna mtu ataniuliza Kush umepata Bikira[emoji23]

Yec
Kipindi cha nyuma nilikuwa nina hiyo imani ila nilipata funzo zuri tu. Kunguru ni kunguru tu.
 
Back
Top Bottom