Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #21
[emoji28][emoji28]Ukizoea Sana kupigwa hata ukikutana na wachamungu huwaamini
Kweli kabisa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28]Ukizoea Sana kupigwa hata ukikutana na wachamungu huwaamini
Inawezekana Ana umri Zaid ya huo hakutaka kuweka waziMe nmeishia hapo kwenye ana mtoto wa form one wakat yeye ana miaka 28
Mkuu, maswali unayojiuliza hata mimi nimeshajiuliza sana.Mmh miaka 28 ana mtoto yupo form one,.
Chazo Cha huo uchumi wake ni nin urithi au mgawo kutoka Kwa mmewake coz Kwa umri huo kuwa na gari, supermarket, office ya huduma za kifedha mmh kibongobongo kweli mPambanaji.
[emoji23][emoji23]Jiamini,ila kikubwa unapolala kwake mkono wako mmoja uwe makalioni pako Kwa ulinzi zaidi
Hata mimi sielewi mkuu. Kuna possibility pia kanidanganya umri. Au jamaa alimpa ujauzito akiwa mdogo sana ndio akaja kumuoa baadaye. Lolote linawezekana.We kwakuwa unapata papuchi, gonga tuliza mshono, unataka nini sasa zaidi? Uombwe pesa ulalame anakudanga, haridhiki wakati pesa ipo.
Kwenye mapenzi cha kwanza mbususu mengine ni nyongeza tu.
Miaka 28 mtoto form one.. watoto wengi form one ni miaka 14,15 hiv ina maana huyo binti aliolewa na miaka 13,14 hivi?[emoji1787]
Kikubwa anpolala Kwa manzi mkono wake mmoja uwe makalioni Kwa ulinzi zaidi
Mkuu, walau wewe umenitia moyo kidogo.Caution [emoji3544] usilale kwake, yaani DO NOT SPEND A NIGHT IN HER APARTMENT/HOUSE.
Kingine, kaa nae chini huenda ni mtu mwema tu hana tatizo, anaonekana innocent kwa maelezo yako. Haya mambo mbona yanazungumzika ty
Mafuta tena [emoji23]Jitahidi unapoenda kulala kwake basi uwe na mafuta pembeni for emergency [emoji2]
good observation, huyu ameandika kujifurahisha, huu mtandao umevamiwa na watoto tena mapumbavuWe kwakuwa unapata papuchi, gonga tuliza mshono, unataka nini sasa zaidi? Uombwe pesa ulalame anakudanga, haridhiki wakati pesa ipo.
Kwenye mapenzi cha kwanza mbususu mengine ni nyongeza tu.
Miaka 28 mtoto form one.. watoto wengi form one ni miaka 14,15 hiv ina maana huyo binti aliolewa na miaka 13,14 hivi?🤣
Hapo kwenye kutonipiga mizinga nakubaliana na wewe.Miaka 28 na ana mtoto yupo form 1, kwaiyo alipata mtoto akiwa na miaka kati ya 12-14 si ndio?
Mda mwingine hakupigi mizinga kwa sababu anaona anaweza kujihudumia mwenyewe. Punguza wasiwasi
You have a point mkuu.Wanawake wengi walio financially stable alafu wameachika huwaga hawapendi Tena ndoa zaidi ya kupata mtu wa kumtuliza nyege zake ,japo hii unaweza isiwe kwake na yeye akawa ana nia njema TU kwako ukiachana na kutiana
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Inawezeka mkuu.Inawezekana Ana umri Zaid ya huo hakutaka kuweka wazi
Mkuu hiyo ni zari naomba faster ukamilishe taratibu za kumuoa ana nyota ta utajiri na ni mama mwenye mtazamo wa kimaendeleo ukizubaa wenzako watakamata fursa.Hiyo ya kutokutafuta ni kwa vile yuko busy na shughuli ya miradi yake maana hana msaidizi.Ndio maana nikaja kuuliza humu mkuu. Pengine kuna mtu kapitia experience kama yangu so yuko kwenye nafasi nzuri ya kunifafanulia mimi binafsi na kwa faida ya wengine pia.
Uchunguzi bado unaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni wewe binafsi kulifanyia kazi...You have a point mkuu.
Shida ni kujihakikishia kwamba ni kweli ana nia njema na mimi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiende kulala kwake tena, better yeye awe anakuja kulala kwako, lkn pia katika maongezi yenu mgusie issue ya kuachana na mumewe je waliachana official? iseje ikawa waliachana kwa maneno kumbe mwanaume anajua siku moja watarudiana, wewe ni mwanaume huwezi kushindwa kumdadisi chanzo cha kipato chake, maybe walivyoachana na mumewe alipewa mgao wa mali, au familia yao ina uwezo waliamua kumuwezesha, mwisho usiingie kwa miguu yote miwili kwenye hayo mahusiano ingia na mguu mmoja kwanza, kupitia bodaboda aliyekuunganisha endelea kupata infomation zake, mwisho utajua mbivu na mbichiIko hivi,
Huu mkoa niliopo kuna dogo mmoja wa bodaboda huwa namuagiza vitu nikipata dharura, tumezoeana sana. Hata akipata shida ndogondogo sitosita kumsaidia.
Sasa siku moja nilimualika kwangu aje tupate chakula cha mchana. Kwenye maongezi akaniuliza, "Bro hivi huna mtoto?". Nikamjibu sina. Akauliza tena, "Mke je?". Nikamwambia sijao. Akaniuliza, "kwanini?". Na mimi nikamuuliza, "Sasa nitamuoa nani?". Akasema bro hukosi wa kuoa labda kama hujaamua tu. Akaniambia kuna dada anamfahamu anafaa kuwa mke. Kweli akanilengesha kwake.
Siku moja nikaenda kwa huyo dada. She is 28 years, ana mini-supermarket kubwa tu, lakini pia ni wakala ya M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, HaloPesa na CRDB. Nikashtuka kidogo kwa namna alivyo stable kiuchumi katika umri wake. Mwanzoni nikajua ni mwajiriwa, baadaye ndio nikagundua vyote ni mali yake.
Basi tukazoeana. Nikawa mteja wake mzuri tu. After a while tukawa wapenzi. Nikaanza kumdadisi, ndio nikajua umri wake. Pia akanieleza kwamba alishafunga ndoa, akazaa na mumewe wakaachana, so ana mtoto mmoja wa form one. Hakutaka tena kumzungumzia huyo mtalaka wake.
Kinachonishangaza ni hiki. Nisipomtafuta halalamiki wala hanitafuti. Nikizidiwa nikamcheki anakuja kwangu nalala nae. Akizidiwa ananicheki, naenda kwake kumuhudumia. Hajawahi kuniomba hela hata siku moja! Nikiwa na shida na hela ndogondogo kwa dharura ananitumia kwenye simu na hanidai, unakuta najishtukia mwenyewe ndio namlipa.
Kuna siku lock ya lango kuu la chuma la kuingia dukani kwake lilikataa kufunguka akaniomba nimtafutie fundi welding, nikamtuma fundi aende ila asichukue hela nitamlipa mimi. Nikaenda dukani wakati fundi anaendelea na kazi. Alipomaliza ile jioni nampigia fundi aniambie gharama, fundi ananiambia dada kashamlipa, nikamwambia kamrudishie pesa yake, dada kagoma kuipokea!
Juzi Ijumaa akaniomba nikae dukani kwake aende msikitini, nikakubali ila nikamwambia sitauza kitu, so wateja wakawa wakija nawaambia ametoka. Pembeni ya kiti chake akaacha 'safe' wazi, nikaifungua nikakuta miburungutu ya hela, nikaifunga nikanyamaza.
Leo ni siku ya 4 tangu niuze gari yangu ndogo, lengo ni kuongeza hela ninunue ingine, asubuhi kanipigia anasema kwasababu yeye anashinda dukani basi naweza kutumia gari yake kwa muda ili nisipate shida, nimeogopa nikaona huu ni mtego, nikamwambia asante nikamchomolea.
Sasa wakuu nashindwa kabisa kumuelewa huyu mwanamke! Ni kwamba ameyachoka mapenzi au nini nini hiki! Amejenga nyumba yake ya vyumba 2 na sebule, majuzi kanunua kiwanja kingine kikubwa mji mpya na ameshapeleka mchanga, kokoto, mawe na kapiga uzio.
Hebu tusaidiane wajameni, usije ukawa ni mtego huu, pengine ana sponsor naweza kujikuta naishia pabaya. Kiukweli sijawahi kuwa suspicious hata siku moja kwamba ana mahusiano mengine. Simu yake yuko free nayo sana, ndio anazidi kunichanganya!
Nje ya mada:
Pamoja na miaka yangu 11 humu JF, nashindwa kuona notifications mpya, ni wiki sasa inakatika, sijui nimebonyeza wapi, wajuvi mnisaidie.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app