Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Mzee we nenda na flow hayo mengine muachie yeye, kula papuchi mkuu.
 
Ndio maana nikaja kuuliza humu mkuu. Pengine kuna mtu kapitia experience kama yangu so yuko kwenye nafasi nzuri ya kunifafanulia mimi binafsi na kwa faida ya wengine pia.

Uchunguzi bado unaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kumdadisi zaidi, hata kumuuliza sio dhambi? Njia ingine ni kuwajua ndugu zake ndio watakupa picha ya huyo.
 
Kwa wale wanao shangaa miaka 28 alafu ana mtoto wa kidato cha kwanza inawezekana kabisa, kama alimzaa huyo mtoto akiwa na miaka 15 ina maana huyo mtoto kwa sasa ana miaka 13, na alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 6 yuko sahihi, vijijini huko kuna watoto wana miaka 13 Wana mimba tayali
 
Endelea kumchunguza mdogo mdogo, pia huyo dereva boda anaweza akawa msaada wa kung'amua moja mbili tatu kuhusu dada kabla hujaamua kuingia mazima.

Issue yako ya notification update browser unayotumia tu
 
Kwanini mkuu? Sio kwamba umefanya fallacy of generalization? Manake wapo wanawake wenye watoto na wameachika ila ni wife material bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
try it....lakini ujue kuwa ndoa si hisia za kimapenzi tu. it is something else, very complicated with life in it that you must cultivate it kila siku....... Jua kabila lake na hasa kwa nini aliachika. most important ujue kuwa alipokimbia mwenzako si pa kuingia kichwakichwa (iwe ni mwanaume au mwanamke).
 
Unaweza kumdadisi zaidi, hata kumuuliza sio dhambi? Njia ingine ni kuwajua ndugu zake ndio watakupa picha ya huyo.
Kumdadisi kwa maswala mengine inawezekana ila ukigusia tu swala la mzazi mwenzake anabadilika na kuwa mwekundu. Shida ndio inaanzia hapo.

Labda nitumie njia za pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanao shangaa miaka 28 alafu ana mtoto wa kidato cha kwanza inawezekana kabisa, kama alimzaa huyo akiwa na miaka 15 ina maana huyo mtoto sasa ana miaka 13, na alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 6 yako sahihi, vijijini huko kuna watoto wana miaka 13 Wana mimba tayali
Asante kwa kunipa back up mkuu.

Kuna watu humu sijui wanatumia akili zao kufanyia nini, wanasahau kwamba tumelelewa kwenye mazingira tofauti.

Mwanamke wa miaka 28 kuwa na mtoto wa form one inawezekana kwasababu mbalimbali, kuna mimba za utotoni pia.

Au pengine hakutaka ku-disclose umri wake halisi. Lolote linawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kumchunguza mdogo mdogo, pia huyo dereva boda anaweza akawa msaada wa kung'amua moja mbili tatu kuhusu dada kabla hujaamua kuingia mazima.

Issue yako ya notification update browser unayotumia tu
Naendelea mkuu, tena kwa ukaribu sana.

Huyu bodaboda pia nataka kumtumia vizuri, manake anamuita huyo bidada "mama", na bidada anamuita "mwanangu".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
try it....lakini ujue kuwa ndoa si hisia za kimapenzi tu. it is something else, very complicated with life in it that you must cultivate it kila siku....... Jua kabila lake na hasa kwa nini aliachika. most important ujue kuwa alipokimbia mwenzako si pa kuingia kichwakichwa (iwe ni mwanaume au mwanamke).
[emoji848][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom