Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Miaka 28 na ana mtoto yupo form 1, kwaiyo alipata mtoto akiwa na miaka kati ya 12-14 si ndio?

Mda mwingine hakupigi mizinga kwa sababu anaona anaweza kujihudumia mwenyewe. Punguza wasiwasi
Sio mchezo na alifunga ndoa ya utotoni au sio.nimerudia kusoma mara mbili mbili ila kuna jitu linatafutwa tutegemee uzi mpya sasa hivi.
 
Umenitia moyo sana mkuu.

Ushauri wako nitauzingatia. Inawezekana ni mwanamke wa kuoa Mungu kaniletea ila shetani ananitia hofu ili nimpoteze niangukie kwa wanawake wasiojielewa.

Nashukuru sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kiongozi, fuata ushauri wangu, pia usiwahi kumtambulisha kwa watu kwasababu utaibiwa, umfahamu wewe peke yako.
 
[emoji28][emoji28]

You have a point, mkuu.

Kweli wema bado wapo ingawa ni wachache, pengine na huyu ni mmojawapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam. Ila ndio hivyo kama unataka kuendeleza mahusiano serious basi inabidi kuendelea kumchunguza na kimdadisi kwa nini akaachika, na kwa umri mdogo alionao vipi ameweza kuwa na mtt wa form 1. Vp ameweza kuwa stable kiuchumi katika umri mdogo na masuala yote ambayo una doubt nae.
Angalizo: unawez kukuta yupo OK juu ya yote hayo namna ulivomuelezea lkn akawa hana interest ya ndoa au kuanzisha familia. Wapo watu ndoa sio fani yao. Kuna wanawake utawaona wapo sawa kwa kila kitu, wazuri, wachangamfu, wasafi, wanajua kupika, wana roho nzuri n.k lkn likija suala la ndoa wanakuwa hawana interest na utakuta akiolewa baada ya muda mchache tu anaachika
 
We kwakuwa unapata papuchi, gonga tuliza mshono, unataka nini sasa zaidi? Uombwe pesa ulalame anakudanga, haridhiki wakati pesa ipo.
Kwenye mapenzi cha kwanza mbususu mengine ni nyongeza tu.

Miaka 28 mtoto form one.. watoto wengi form one ni miaka 14,15 hiv ina maana huyo binti aliolewa na miaka 13,14 hivi?[emoji1787]
Punguza maswali magumu Mkuu,wwe soma Kama Hadith burudisha!![emoji1][emoji2]
 
Mama Miaka 28 ana mtoto ambaye yupo form one.

Tafuta umri wa mama alio beba mimba.

Je, tukifanya 28-14 =14

Kwahiyo alibeba mimba na miaka 14 siyo.

Au honi hapa utakua umetudanganya sana mkuu,

Au ndugu zangu ni mimi sijamuelewa mtoa mada?

Jitajidi ukienda kulala kwake uwe na roho ya spare
Mimi kuna dada namjua ana miaka 24 na mtt wa miaka 10. Ila ana umbo kubwa na ni mzuri sana

Wazee wake walimuachisha kusoma wakampa mume akiwa mdogo sana. Wanaume walikuwa wanamzengea sn
 
Naam. Ila ndio hivyo kama unataka kuendeleza mahusiano serious basi inabidi kuendelea kumchunguza na kimdadisi kwa nini akaachika, na kwa umri mdogo alionao vipi ameweza kuwa na mtt wa form 1. Vp ameweza kuwa stable kiuchumi katika umri mdogo na masuala yote ambayo una doubt nae.
Angalizo: unawez kukuta yupo OK juu ya yote hayo namna ulivomuelezea lkn akawa hana interest ya ndoa au kuanzisha familia. Wapo watu ndoa sio fani yao. Kuna wanawake utawaona wapo sawa kwa kila kitu, wazuri, wachangamfu, wasafi, wanajua kupika, wana roho nzuri n.k lkn likija suala la ndoa wanakuwa hawana interest na utakuta akiolewa baada ya muda mchache tu anaachika
You are truly an Angel, as your ID do suggest [emoji4].

Umeandika vizuri sana. Asante kwa kutumia muda wako kunishauri kwa upendo wa kidugu kabisa.

Ubarikiwe mkuu. Ila samahani, wewe ni ME au KE? Samahani lakini mkuu. Nimetamani tu kujua, siyo kwa ubaya lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki wa mahakama kama una malengo naye, njia bora ni kuzungumza naye yeye mwenyewe. Kwa busara kabisa tena ya kuwa 'umeshamchakaza vya kutosha' ndio uanzishe mazungumzo hayo, kisha uyapime majibu yake.
 
Mimi kuna dada namjua ana miaka 24 na mtt wa miaka 10. Ila ana umbo kubwa na ni mzuri sana

Wazee wake walimuachisha kusoma wakampa mume akiwa mdogo sana. Wanaume walikuwa wanamzengea sn
Asante kwa mfano huu mkuu. Kuna watu humu kila kisa wao wanadhani ni hadithi za kutunga tu. Nchi hii ina watu wa ajabu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki wa mahakama kama una malengo naye, njia bora ni kuzungumza naye yeye mwenyewe. Kwa busara kabisa tena ya kuwa 'umeshamchakaza vya kutosha' ndio uanzishe mazungumzo hayo, kisha uyapime majibu yake.
"Rafiki wa mahakama", nimeipenda hiyo phrase, naona umeinyumbua ID yangu kwa Kiswahili [emoji28]. Wewe kama siyo rafiki mwenzangu wa Mahakama basi utakuwa mdadisi mzuri wa mambo. Hongera.

Asante kwa ushauri wako mzuri, nitaufanyia kazi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Rafiki wa mahakama", nimeipenda hiyo phrase, naona umeinyumbua ID yangu kwa Kiswahili [emoji28]. Wewe kama siyo rafiki mwenzangu wa Mahakama basi utakuwa mdadisi mzuri wa mambo. Hongera.

Asante kwa ushauri wako mzuri, nitaufanyia kazi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa wewe unaamini katika mapenzi na mahaba, hapo sio mahala sahihi.
Huyo dada ameyakinai mapenzi, huenda alitendwa sana.

Mkioana kwake haitakuwa vigumu kukwambia muachane mkitofautiana kidogo.
Abaki kama rafiki wa kukatana kiu lakini kwa habari ya mke hapo ni chaka
 
Back
Top Bottom