Naam. Ila ndio hivyo kama unataka kuendeleza mahusiano serious basi inabidi kuendelea kumchunguza na kimdadisi kwa nini akaachika, na kwa umri mdogo alionao vipi ameweza kuwa na mtt wa form 1. Vp ameweza kuwa stable kiuchumi katika umri mdogo na masuala yote ambayo una doubt nae.
Angalizo: unawez kukuta yupo OK juu ya yote hayo namna ulivomuelezea lkn akawa hana interest ya ndoa au kuanzisha familia. Wapo watu ndoa sio fani yao. Kuna wanawake utawaona wapo sawa kwa kila kitu, wazuri, wachangamfu, wasafi, wanajua kupika, wana roho nzuri n.k lkn likija suala la ndoa wanakuwa hawana interest na utakuta akiolewa baada ya muda mchache tu anaachika