Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Mmh miaka 28 ana mtoto yupo form one,.
Chazo Cha huo uchumi wake ni nin urithi au mgawo kutoka Kwa mmewake coz Kwa umri huo kuwa na gari, supermarket, office ya huduma za kifedha mmh kibongobongo kweli mPambanaji.
Mkuu, maswali unayojiuliza hata mimi nimeshajiuliza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi sielewi mkuu. Kuna possibility pia kanidanganya umri. Au jamaa alimpa ujauzito akiwa mdogo sana ndio akaja kumuoa baadaye. Lolote linawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa anpolala Kwa manzi mkono wake mmoja uwe makalioni Kwa ulinzi zaidi
Caution [emoji3544] usilale kwake, yaani DO NOT SPEND A NIGHT IN HER APARTMENT/HOUSE.

Kingine, kaa nae chini huenda ni mtu mwema tu hana tatizo, anaonekana innocent kwa maelezo yako. Haya mambo mbona yanazungumzika ty
Mkuu, walau wewe umenitia moyo kidogo.

Ngoja nitengeneze mazingira ya kumkalisha kitako niseme nae. Huenda akafunguka mengi zaidi ya haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
good observation, huyu ameandika kujifurahisha, huu mtandao umevamiwa na watoto tena mapumbavu
 
Miaka 28 na ana mtoto yupo form 1, kwaiyo alipata mtoto akiwa na miaka kati ya 12-14 si ndio?

Mda mwingine hakupigi mizinga kwa sababu anaona anaweza kujihudumia mwenyewe. Punguza wasiwasi
Hapo kwenye kutonipiga mizinga nakubaliana na wewe.

Kwenye umri inawezekana kanidanganya umri wake halisi. Lakini pia pengine alipata zile mimba za utotoni jamaa likaja kumuoa alipofikisha the age of majority.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have a point mkuu.

Shida ni kujihakikishia kwamba ni kweli ana nia njema na mimi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikaja kuuliza humu mkuu. Pengine kuna mtu kapitia experience kama yangu so yuko kwenye nafasi nzuri ya kunifafanulia mimi binafsi na kwa faida ya wengine pia.

Uchunguzi bado unaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo ni zari naomba faster ukamilishe taratibu za kumuoa ana nyota ta utajiri na ni mama mwenye mtazamo wa kimaendeleo ukizubaa wenzako watakamata fursa.Hiyo ya kutokutafuta ni kwa vile yuko busy na shughuli ya miradi yake maana hana msaidizi.
Wewe mwenyewe umetueleza ameshakuamini analuachia duka uuze na mzigo wa hela hakutaka kuufungia kwenye safe unataka imani gani tena kwake?
 
Au ana moto kuwa makini wenye moto wanahonga.
Endelea kumchunguza usizame kaa kimachale wakati unamsoma utajua tu kila kitu.
 
Usiende kulala kwake tena, better yeye awe anakuja kulala kwako, lkn pia katika maongezi yenu mgusie issue ya kuachana na mumewe je waliachana official? iseje ikawa waliachana kwa maneno kumbe mwanaume anajua siku moja watarudiana, wewe ni mwanaume huwezi kushindwa kumdadisi chanzo cha kipato chake, maybe walivyoachana na mumewe alipewa mgao wa mali, au familia yao ina uwezo waliamua kumuwezesha, mwisho usiingie kwa miguu yote miwili kwenye hayo mahusiano ingia na mguu mmoja kwanza, kupitia bodaboda aliyekuunganisha endelea kupata infomation zake, mwisho utajua mbivu na mbichi
 
Huyo Mwanamke inaonekana aliteswa sana kimapenzi na huyo mtalaka wake,hachukulii tena serious mapenzi,ndio maana hakuchukulii serious coz anaogopa kurudia maumivu aliyoyapitia,

Usimpende coz ya mali alizonazo bali mpende kutoka ndani ya nafsi yako,wewe ndio uwe tabibu wake wa kumrudisha na kuanza kuyathamini mapenzi tena,mtu wa kumbadilisha ni wewe,kumpenda,kua muaminifu kwake,kua karibu nae unapopata fursa,

Usipende kumuuliza issue za mtalaka wake,kwani hiyo itakua ni kama kukitonesha kidonda,just nenda nae pole pole,au unaweza kupata maelezo zaidi kupitia kwa huyo Bodaboda aliyekuelekeza huko,huenda yeye ana mengi anayoyajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…