Mahusiano ya kimapenzi kati ya kaka na dada wa tumbo moja

Mahusiano ya kimapenzi kati ya kaka na dada wa tumbo moja

Mmmmmmh mengine yaishie kutazamwa tyuuh, But hakuna jipya chini ya jua.
 
SEX TALK!
Niliandika kuhusu mahusiano ya kingono miongoni mwa wanafamilia. Halafu Jana nikakutana na kisa cha mjane ambaye watoto wake wawili wamepewa mimba na kaka yao.

Wengi hawaamini wanadhani ni hadithi za kufikirika. Ukweli ni kwamba haya mambo yapo ndani ya jamii ila Mara nyingi hufanywa siri sana. Ukiacha huyu ambaye wamepata mimba kuna ambao hawapati mimba na huendelea na hiyo michezo.
Niliwahi ongea na binti ambaye hataki kuolewa sababu ana mahusiano ya kingono na kaka yake. Na alikua akibeba mimba anatoa, kaka MTU alipooa ikawa vita na WiFi mpaka ndoa ikavunjika, kaka akachukua mdogo wake kuishi naye. Wazazi hawajui kinachoendelea wanajua ni upendo wa kindugu tuu.

Nyakati hizi zimebadirika sana, unapoongea na watoto wengi wanakwambia wamefundishwa ngono na ndugu zao wa karibu.

Hata wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (usagaji na ushoga) wengi wao huanzia nyumbani. Akitoka hapo ndiyo ataenda kwa watu wengine.

Nyakati hizi kuna matumizi ya simu na kompyuta, watoto wanaangalia picha za ngono. Hawa ambao wapo kwenye umri wa balehe ni hatari zaidi, wakishaona hizi picha wanatamani kujaribu walichokiona, sasa wahanga wa karibu ni wale walio karibu naye..

Mambo yamebadirika sana, usiogope kuongea na watoto wako. Ongea nao kwa uwazi kulingana na umri wao.

Pia tupunguze uzungu, mambo ya kupakatana na kukumbatiana Dada na kaka ni hatari. Unakuta binti amevaa kikaptura, tumbo wazi, vichuchu vimechomoka anazunguka humo ndani na kuna kaka zake.. Huyu kaka ambaye anakula na kushiba, anashinda nyumbani anamtizama Dada anazunguka tuu ndani, mbaya zaidi awe ametizama hizi video za ngono unatarajia nini?

Tuwafundishe watoto wetu kuwa na adabu. Wajiheshimu na kujitunza miili yao wao wenyewe. Waambie madhara ya ngono kati ya ndugu. Wajifunze kuheshimiana waoa kwa wao .

Wakati huu wapo nyumbani wasikae tuu, watafutie shughuli za kufanya katika mazingira waliyopo. Walime bustani, Michezo mbali mbali, inayoweza kuwafanya wachoke, wapangie shughuli mbalimbali za mikono, zitakazowatoa jasho. Kuna msemo usemao "an idle mind is the workshop of the devil" . Hawa vijana waliobalehe miili yao INA nguvu na wana mihemko, ndiyo maana hata shuleni huwa wana ratiba za kufanya mambo mbalimbali nje ya masomo ili wasikae bure.

Kuna ambao wanapewa masomo kwa njia ya mtandao, ni bora ukawatolea kwenye karatasi(download) kuliko ukawapa simu maana ni wadadisi, hawataishia kusoma masomo yao tuu, watatafuta zaidi.

Watoto wa kizazi hiki wanajua mengi kuliko unavyojua we we . Unaweza fikiri hajui kutumia simu, kumbe anaijua kuliko wewe unayeimiliki.

Tenga muda wa kuongea na watoto wako, watafutie filamu,vitabu na majarida yanayofundisha kuhusu vijana na ujana,mahusiano na ngono.

Zaidi ya yote WAOMBEE SANA, shetani yupo kazini,anaandaa jeshi lake na hawa watoto ndiyo wanatakiwa sana. Kwasabau wao ni rahisi kuamini na kusambaza mambo haya. Hivyo pamoja na kuongea nao wakabidhi kwa Mungu, maana kuna mambo ambayo kwa uwezo wetu ni magumu na hatuyawezi. Kuna mambo watoto wanafanya ukisikia masikio yanawasha.

#MZAZI ONGEA NA MWANAO

Mwl. Doris Mboma
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] sanaaaaah
 
Habari ya jioni wakuu na tuendelee kuchukua tahadhari Corona ipo.

Niende kwenye mada. Nimekuwa nikisoma maandiko mbalimbali ya watu wanaoomba ushauri kuhusu suala la kaka na dada kuwa wapenzi na kupeana mimba.

KISA NO.1.

Kama si wiki hii basi ni wiki jana kuna sms ilikuwa inazunguka mitandaoni mama mzazi wa watoto akiomba ushauri kuhuhu kijana wake wa kuzaa kuwapa mimba dada zake 2 double likizo hii ya corona.

Nieleze kwa ufupi.

Mama mmoja alijitambulisha kama mfanyakazi wa umma ambaye anasimulia kuwa ana watoto 3, wakiume miaka 17, wa kike 15 na wa kike tena 13.

Mama yule anakiri kuwa karibu sana na binti zake na amekuwa msaada kwao kipindi cha period kuwapa care zaidi.

Anaendelea kusema kipindi hiki cha likizo ya corona umepita muda bila binti yake mkubwa kuomba msaada wa mama kuwa yuko period kama ilivyokuwa ada siku zote.

Mama alipata hofu kimya kimya akaomba mkojo wa binti na kuupima mimba ikasoma positive, Anasema alihamaki ila akajipa ujasiri, akakaa na binti yake kwa upole aeleze mhusika, Binti akathibitisha kuwa ni kazi ya kaka yao, mama anapokwenda kazini wao hubaki na ligi nyumbani ya sex na kaka yake.

Mama huyo alipata hofu pia kuhusu,mtoto wa miaka 13 ambaye alivunja ungo akiwa na miaka 11, baada ya kumpima na yeye alibainika ana mimba pia na wote kawashugulikia kaka yao mkubwa, baada ya kumhoji kaka mtu alikubali na kutoroka home.

Mama huyo alikuwa anaomba ushauri afanyeje na suala la kutoa mimba hakulipa kipaumbele kwa kusema ni mcha Mungu.


KISA NO.2

Kuna kaka pia alikuwa anaomba ushauri kuhusu dada yake kumng'ang'ania amuoe.

anadai kuwa alizaliwa na dada yake wakiwa 2 na maisha kwao yalikuwa mazuri na yalikuwa ya geti kali kiasi kwamba hawakupata muda wa kuzurula sana.

Mwaka sikumbuki vzr akiwa form 5 na dada yake akiwa form 4 akampa mimba walivyoanza mapenzi hakusimulia sana.

Timbwili timbwili liliendelea ila dada yule baada ya kipigo cha baba yake alikiri kuwa mimba ni ya kaka yake, mama yao kwa mshituko alipoteza maisha.

Baadaye kijana alikimbilia dar kutafuta maisha, binti alijifungua baadaye baba yao pia alifariki.

Baada ya siku kwenda yule kaka anadai maisha yaliendelea poa DSM na akawa na uwezo wa kuendesha maisha na hatimaye dada yake akamfuata DSM alipofika dada yake akataka show tena kuwa haina jinsi maana ameshamzowea na alipofika aliharibu mahusiano yote ya kaka yake na wanawake wengine kwa kudai yeye ni mke wake. Na kaka yule alikiri kumhudumia dada yake haikuwa na jinsi.


MASWALI NISIYOYAPATIA MAJIBU.

1.Dada yako mnaanzaje mazoea mpaka unafikia hatua ya kumgegeda??.

2. Au ni roho za kishetani zinawakumba

3. Je ikishatokea wakazaa na mtoto kuaoana ni halali??

4. Kwa nchi yetu ni kosa kisheria au imeakaaje.

5. dada yako naye unapiga style zote hata zile kama za mieleka maana style nyingine kama vita ya 3 ya dunia.


Naomba kuwasilisha, Poleni kwa uzi mrefu , mwenye kisa pia anaweza kutupa uzoefu.
Duuh
 
Back
Top Bottom