Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 890
- 1,236
- Thread starter
- #121
ha ha ha kweli kabisaKuna watu nadhani wamezaliwa tu na laana, hata kufikiri tu kumvua nguo nduguyo ni uchafu uliopindukia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha kweli kabisaKuna watu nadhani wamezaliwa tu na laana, hata kufikiri tu kumvua nguo nduguyo ni uchafu uliopindukia.
unatamani huo muda ujirudie tena, mabeki 3 wameshikia watu upepo.Hawa wadada wawe wanavaa vixuri we unaona kaka stroke baba kakaa sebleni MTU anapita na kiduksi huku bonge kalio jamani MKUYENGE hauna ndugu,
Kuna baba yangu mdogo alikuja home na Binti (mkewe) tofauti ya umri na Mimi ni 1 yr alileta Shida kuna kipindi waliondoka wakubwa home tukabaki 3 Mimi, house girl na ma mdogo nilikuwa polygamist leo nakula beki tatu kesho ma mdogo hadi akaondoka na kibendi naomba kuishia hapa.
inasikitisha sanaMimi pia nimeona familiia 4 za hivo....japo ni baba na wana..
Ila 2 sio wazawa wa pwani..
1..mke aliitisha kikao cha familia baada ya kuwa na ushahidi wa simu, mabint walikuwa wawili mmoja akamwambia mwenzake mbele ya kikao ,na Baba yao akiwepo.. huyo baba ni mjeuri ila hapo alibanwa."Wewe kwa nini ulikubali? Mbona hata mimi baba alinitongoza nikakataa?"...
Ingine ni mtoto mchanga kabisa ...faza house anatoka kazini kabla ya muda anakwenda nyumbani kumsaidia dada wa kazi kukaa na mtoto....kumbe ujinga mtupu...anamwekea mdomoni ....
Nimechoka kuandika ila.....nimekumbuka matukio ni 5....kuna tukio limojawapo mzazi unaweza kuchanganyikiwa au kufa kabisa..Hili ni la ulawiti watoto wa nyumba moja fom 3 na darasa 4...huyo mkubwa ni mtoto wa dada wa mke.....nilitamani nilie kwa kelele..mwenye mtoto alikuwa anaugualia ndani wa ndani.
TUKIOMBA TUOMBEE WATOTO.
aibu sana ndugu yaani balaa tuduuu mungu atusaidie dada yako tumbo moja kweli dah sasa hapa inakuwaje wakulungwa maana ni aibu san hii kitu kwanza unaanzaje kuzaa na dada yako yani daaa aiseeee khaaaa noma kweli
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Mistake kufanya maisha yawe magumu kiufupi wazazi ndio wenye makosa kwa kujifanya WAPO busy, watoti wakiumena wakike hawatakiwi kuwafungia ndani, full stop
Tunateseka kweli na maswala ya ngono!
Tumejivika miiko mingi, hofu, makatazo, wasiwasi, ukakasi na kila aina ya hisia za kukerwa!
Maswala ya ngono yaachwe tu kama yalivyo! Watu wafanye wanaloona ni sawa!
Zaidi ya hapo ni kujaribu kuzuia bahari kwa kijiko!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu huyu nadhani aliwahi Fanya pamoja na ushaitwani wake Mshana JrAisifiae mvua ujue imemnyea..[emoji28]
Pepo utaisikia tu mlozi wewe..!
🙄Kweli kabisa mkuu huyu nadhani aliwahi Fanya pamoja na ushaitwani wake Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha,haya,mambo yapo sana katika jamiiMkuu Mimi sioni cha kushangaza kwa habari hii ,to me naweza sema ni kawaida nikilinganisha na Yale niliyoyashuhudia nikiwa mkoani Lindi miaka ya nyuma,hiki kisa huwa nakirudia kila Mara.
Ilitokea wakati baba na mama walikubaliana kwenda shambani ila mama alikuwa ameshatonywa na watu juu ya mienendo ya binti yake na baba yake.
Baada ya kufika shambani baba na mama walilima baada ya muda baba mtu akatoa uzulu kuwa anataka arudi home kuna Sehemu anapaswa kuwa.
Ikumbukwe kuwa binti alikuwa ni mwanafunzi kidato cha nne ,nami nilikuwa mwalimu wake wa darasa na siku mbili kabla ya tukio alikuwa aneomba ruhusa kuwa anaumwa,baada ya baba mtu kufika home kama kawaida akamwita binti nakuanza mambo yao. huku nyuma kwa kuwa mama mtu alishaambiwa kuwa makini na uhusiano wa binti na baba yake naye alianza kumfuata baba mtu(mme) wake kwa nyuma .
Za mwizi ni thelathini na Tisa na ya arobaini ni kukamilisha mahesabu au ushuhuda,Mama mtu alikumta mume wake katikati ya mapaja ya binti yake,Alizimia pale pale na ilimchukua siku tatu fahamu kumrudi,wazee walijaribu kusuruhisha na maswala yakakaa level
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha haKweli kabisa mkuu huyu nadhani aliwahi Fanya pamoja na ushaitwani wake Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
factAs far as people are concerned any thing is possible with men. People can do ANYTHING be to kill their children, parents, relatives or even To **** with their parents, children or relatives.
Be careful with people because at bottom level they know both good and evil.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio Wala si Siri Tena Bali umma wote unajua.so inaonesha katika jamii haya mambo yapo sana ila tu imebakia ni siri ya wahusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahitaji utulivu wa akili kutoa maamuzi ya sakata hili.Watoto watazaliwa na ulemavu wa kiakili bora awatotoe tuu atatubu dhambi afu pia ni aibu awatoe tuu aisee ila kama ataki awache tu.
121.
Sijasoma hayo maelezo yako ya juu,nimesoma maswali tu.We Jamaa utakua unamtani au ushamkula dadako sema unatafuta justification ya huo ubabiloni wenu.Habari ya jioni wakuu na tuendelee kuchukua tahadhari Corona ipo.
Niende kwenye mada. Nimekuwa nikisoma maandiko mbalimbali ya watu wanaoomba ushauri kuhusu suala la kaka na dada kuwa wapenzi na kupeana mimba.
KISA NO.1.
Kama si wiki hii basi ni wiki jana kuna sms ilikuwa inazunguka mitandaoni mama mzazi wa watoto akiomba ushauri kuhuhu kijana wake wa kuzaa kuwapa mimba dada zake 2 double likizo hii ya corona.
Nieleze kwa ufupi.
Mama mmoja alijitambulisha kama mfanyakazi wa umma ambaye anasimulia kuwa ana watoto 3, wakiume miaka 17, wa kike 15 na wa kike tena 13.
Mama yule anakiri kuwa karibu sana na binti zake na amekuwa msaada kwao kipindi cha period kuwapa care zaidi.
Anaendelea kusema kipindi hiki cha likizo ya corona umepita muda bila binti yake mkubwa kuomba msaada wa mama kuwa yuko period kama ilivyokuwa ada siku zote.
Mama alipata hofu kimya kimya akaomba mkojo wa binti na kuupima mimba ikasoma positive, Anasema alihamaki ila akajipa ujasiri, akakaa na binti yake kwa upole aeleze mhusika, Binti akathibitisha kuwa ni kazi ya kaka yao, mama anapokwenda kazini wao hubaki na ligi nyumbani ya sex na kaka yake.
Mama huyo alipata hofu pia kuhusu,mtoto wa miaka 13 ambaye alivunja ungo akiwa na miaka 11, baada ya kumpima na yeye alibainika ana mimba pia na wote kawashugulikia kaka yao mkubwa, baada ya kumhoji kaka mtu alikubali na kutoroka home.
Mama huyo alikuwa anaomba ushauri afanyeje na suala la kutoa mimba hakulipa kipaumbele kwa kusema ni mcha Mungu.
KISA NO.2
Kuna kaka pia alikuwa anaomba ushauri kuhusu dada yake kumng'ang'ania amuoe.
anadai kuwa alizaliwa na dada yake wakiwa 2 na maisha kwao yalikuwa mazuri na yalikuwa ya geti kali kiasi kwamba hawakupata muda wa kuzurula sana.
Mwaka sikumbuki vzr akiwa form 5 na dada yake akiwa form 4 akampa mimba walivyoanza mapenzi hakusimulia sana.
Timbwili timbwili liliendelea ila dada yule baada ya kipigo cha baba yake alikiri kuwa mimba ni ya kaka yake, mama yao kwa mshituko alipoteza maisha.
Baadaye kijana alikimbilia dar kutafuta maisha, binti alijifungua baadaye baba yao pia alifariki.
Baada ya siku kwenda yule kaka anadai maisha yaliendelea poa DSM na akawa na uwezo wa kuendesha maisha na hatimaye dada yake akamfuata DSM alipofika dada yake akataka show tena kuwa haina jinsi maana ameshamzowea na alipofika aliharibu mahusiano yote ya kaka yake na wanawake wengine kwa kudai yeye ni mke wake. Na kaka yule alikiri kumhudumia dada yake haikuwa na jinsi.
MASWALI NISIYOYAPATIA MAJIBU.
1.Dada yako mnaanzaje mazoea mpaka unafikia hatua ya kumgegeda??.
2. Au ni roho za kishetani zinawakumba
3. Je ikishatokea wakazaa na mtoto kuaoana ni halali??
4. Kwa nchi yetu ni kosa kisheria au imeakaaje.
5. dada yako naye unapiga style zote hata zile kama za mieleka maana style nyingine kama vita ya 3 ya dunia.
Naomba kuwasilisha, Poleni kwa uzi mrefu , mwenye kisa pia anaweza kutupa uzoefu.
Sasa kama hujasoma visa hukuwa na haja ya kucoment ulivyo mvivu wa kusoma naona hata kufikiri ni mvivu pia.Sijasoma hayo maelezo yako ya juu,nimesoma maswali tu.We Jamaa utakua unamtani au ushamkula dadako sema unatafuta justification ya huo ubabiloni wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app