Mahusiano ya kishenzi kabisa

Mahusiano ya kishenzi kabisa

Dr Count Capone

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,878
Reaction score
3,263
Najua hali ni mbaya sana hamna haja ya salamu

Wakuu nimesoma nyuzi nyingi na nimezungumza na watu wengi nimegundua kuwa kuna asilimia kubwa ya watu wapo kwenye mahusiano lakini mahusiano hayo ni Toxic

Acha wale wenzetu wa kuchukua sheria mkononi, wale wa kuangalia video za porn na wale wanaonunua huduma ya ngono kuna hawa watu wanaume kwa wanawake kwa sababu mbalimbali wamejikuta kwenye hayo wanayoyaita mahusiano lakini hawana raha, hawana furaha, wamechunda wakachurura

Wanatuma msg hawajibiwi, wakijibiwa wanacheleweshwa kwa visingizio lukuki
Simu zao hazipokelewi, na muda mwingine zinapokelewa wapenzi wao wakiwa katikati ya game na mtu mwingine (asee😂)
Wanablockiwa😂 (yani una mpenzi na anakubloku)

Na mengine mtaongezea

Lengo la uzi huu ni kuwakumbusha kuwa mahusiano hayo ni Toxic, ya kishenzi, hayakufai kwa ustawi wako wala wa mtu mwingine

Muache huyo mtu asee muacheee,

Achaneni muishi kwa amani

There’s more to life than these Toxic-Exploitative so-called relationship!

Kataa unyonyaji, Kataa Toxic Relationship

2CD4B2AB-9F84-44BD-8536-FF73FFDFF6D0.png
 
Hii expectation ya kujibiwa message na kupokelewa simu on the spot ndio kiama cha mahusiano mengi.

Mpe mtu space, muwazie mema. Jipe amani ya moyo. Atakurudia muda ambao ni convenient
Mimi ata asipo jibu siangaiki nae najua wapi nitampata akishikwa na shida na mimi naaza kazi sipokei cm au na block kabisa kwa muda
 
Sasa kwa mfano mimi aliniambia anipendi nikamwambia kuhusu wewe kunipenda mimi haina shida mimi nikikupenda tu inatosha basi kwahio nimejitakia mwenyewe na nimetidhika na hali utaniambia nini nikuelewe
So mkuu umempa chance ajifunze kukupenda huko mbele kwa mbele asipojifunza siku ukimkuta na anayempenda yeye ukanunue chuma ummwage ubongo siyo?
 
Hii expectation ya kujibiwa message na kupokelewa simu on the spot ndio kiama cha mahusiano mengi.

Mpe mtu space, muwazie mema. Jipe amani ya moyo. Atakurudia muda ambao ni convenient
Absolutely na mahusiano yanapaswa kuwa hivi

Unakuta mtu anachat na mpenziwe hajibu text ila anaingia online😂

Akiulizwa mbona hurespond eti anasema hawezi multi task, akiingia Tikitoku hawezi jibu text

Mimi nawaambia achana na hiyo mutu hawataka visingizio kibao

Basi lower your expectations ila wapii

Kutwa kulalamika
 
Sasa kwa mfano mimi aliniambia anipendi nikamwambia kuhusu wewe kunipenda mimi haina shida mimi nikikupenda tu inatosha basi kwahio nimejitakia mwenyewe na nimetidhika na hali utaniambia nini nikuelewe
Mkuu kama umekubali hali na hulalamiki hilo halina shida

Shida ni pale mtu hawi unavyotaka na kutwa kulalama kujiliza liza
 
Kila kitu kigumu u can live without them or fucking bitches
That’s exactly what i am trying to convey here

People gave up their liberty in the name of the so-called relationship

So stupid, its time for people to reclaim their liberty asee

Ila kuna watu wanachekesha sana😂😂

Eti utasikia “i can not imagine my life without you/him/her”
WTF! 🤬
 
Kwenye kila project, kuna wanaofanya vizuri na wanaopoteza. Fuatilia biashara,siasa,mpira na vyoote utagundua. Kikubwa omba Mungu. kisha oa ,usidate. Dating inaashiria huna uvumilivu na yeye hana uvumilivu. Baadaye hata mkioana ukisafiri unakosa kujiamini,na yeye hakuamini huko safarini
 
Hizo ndoa ndio usiseme mkuu

Hali ni mbaya sana sana sana

Watu wanaishi ni kama wapo single, watu hawana raha, furaha haipo, amani ya moyo haipo huko paache kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom