Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Kabisa ni ujinga kusahau familia uliyotokeaKutojitambua
Mimi ninachoona zaidi ni kutoka familia tegemezi unakuta mtu akioa yale matumizi yanapungua maana anaanza kujenga familia yake na unakuta pesa wanaipangia mipango na mwenzake. sasa hapo ndipo kasheshe linapoanza.Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka . Wanaume wengine wanaendeshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
Hiko pia kinachangia pale inapotokea mtu waliyekuwa wanamtegemea kiuchumi ameoa/ kuolewa vita itaanza ndg wataanza kumsakama aliyeoa au kuolewa wakiona ndio anafelisha mipangoyaoMimi ninachoona zaidi ni kutoka familia tegemezi unakuta mtu akioa yale matumizi yanapungua maana anaanza kujenga familia yake na unakuta pesa wanaipangia mipango na mwenzake. sasa hapo ndipo kasheshe linapoanza.
Wanawake ni wafitinishaji no.1Kama una ndugu au rafiki ysko, akishaoa basi jua ukaribu umetamatika au kufa kabisa
Wanawake ni mabingwa wa kuharibu urafiki au undugu
Hahaha nimekuelewa lakini sio matatizo yote yanatokana na uchumiLazima tujue Kwanza maana ya ndoa kabla hatujaanza kulaumu watu.
Hii tabia ya kuendekeza binadamu imetufalakanisha na kutupulua sana sisi waafrika. Ndoa ni taasisi yenye mamlaka kamili,na ili taasisi yeyote iwe na ufanisi lazima kuwe na taratibu na sheria ambazo ndio zitaipambanua hiyo taasisi.
Tunapenda maisha tegemezi ndio maana lawama kwa wanandoa zinakua nyingi,maisha ya miaka 1960 na maisha ya miaka ya 2000 hayafanani,muhimu tusisahauliane ila mengine tuvumiliane.
Bora iwe hivyo Mimi nitaendelea kuishi single mpaka liniMara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka.
Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
Pole sana ndg kwa maswahibu zote hizo ni changamoto za kidunia alizokuwanazo Asha sio Alizokuwanazo Anna, matatizo yanatofautiana kila mtu na simulizi yakeSababu ni nyingi sana mleta mada sio kwamba watu wanapenda kukata mahusiano na ndugu zake la hasha kuna mambo kedekede sababishi ya kukata mahusiano ila hapa duniani kuna watu wanapitia changamoto sana acha tu mkuu, natamani siku moja nilete stori yangu jukwaani hapa ya mapito niliyopitia tuombe uzima.
Utampata anatejielewa ambaye hatavuruga mahusiano yako na ndugu zakoBora iwe hivyo Mimi nitaendelea kuishi single mpaka lini
Waache watu na ndoa yao,waache waitunze familia,Bilbllia inasema mtu atamwacha babae na mama yake na kuungana na mke wake nao watakua mwili mmoja na si miwili tena.Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka.
Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
Wataacha familia baba na mama ambao nao waliziacha zao hapo awalina kwenda kutengeneza zao. Ni bibilia hiyo sio mimiKabisa ni ujinga kusahau familia uliyotokea
Umeongea ukweli familia nyingi zimeharibiwa with this so calling ndugu,wajane wameporwa mali,watoto wameporwa haki zao za kumiliki mali za familia with this calling bamkubwa,bamdogo na mashangazi kwa kisingizio cha ndugu,aisee mi hapana ndugu akijifanya anaijua familia yangu kuliko mimi namkimbizia mbali aiseee,sitaki mazoea hata kidogoo kaka.Wataacha familia baba na mama ambao nao waliziacha zao hapo awalina kwenda kutengeneza zao. Ni bibilia hiyo sio mimi
Ni kweli kabisa mkuu kikubwa kukomaa tu maisha yaendeleePole sana ndg kwa maswahibu zote hizo ni changamoto za kidunia alizokuwanazo Asha sio Alizokuwanazo Anna, matatizo yanatofautiana kila mtu na simulizi yake