Mahusiano ya ndugu yanaharibika wakiingia katika ndoa

Dadadeki..mahusiano yangu na Niwaa yaliharibika baada ya kuolewa!
 
umezungumza vyema kwa reference za maandiko lakini kiuhalisia mtu anapo oa au kuolewa haiwi sababu ya kumfanya aipe kisogo familia aliyotokea
 
umezungumza vyema kwa reference za maandiko lakini kiuhalisia mtu anapo oa au kuolewa haiwi sababu ya kumfanya aipe kisogo familia aliyotokea

Unalazimishaje umoja na watu wenye chuki juu yako?

Kuna vitu mtambuka sana kwenye Jamii ambavyo utatuzi hutegemea na roho ya mtu na busara yake.

Adui hatokei mbali!
 
Unalazimishaje umoja na watu wenye chuki juu yako?

Kuna vitu mtambuka sana kwenye Jamii ambavyo utatuzi hutegemea na roho ya mtu na busara yake.

Adui hatokei mbali!
Kama kuna uhasama kati ya ndugu uliokuwepo muda mrefu kabla ya hio ndoa hio inaeleweka, lakini hoja ya msingi ndoa isiwe sababu ya kuharibu mahusiano kati ya mtu na ndugu zake
 
Nawahusia vijana.....

Ukizingatia hizi ndoa za siku hizi.....

Kamwe usiache au kuvunja ukaribu ( na marafiki zako(urafiki wenye kufaana)...kamwe usiwatenge ndugu zako kwa ajili ya mkeo/mumeo.......

Wenza wengi nyakati hizi hawasukumwi na upendo kuingia kwenye ndoa bali manufaa ambayo anayaona kwako.......

Akishaingia kwenye ndoa na wewe jambo la kwanza kabisa ni kuvunja daraja baina ya wewe na watu ambao anaona kuwa wanaweza kukutoa usingizini........

Atazidisha wema na mahaba huku akiwaongelea vibaya kwa lengo la kujenga chuki baina yako na wao......

Akishavuka hatua hii anaingia hatua ya kujifanya mshauri mzuri wa fedha zako katika mipango inayoonekana kama vile ina mantiki huku mkiwa watupu chumbani..... mipango inayoonekana kama inaleta mwanga kwenye safari yenu ya maisha......

Na hapo ndio inaanzia safari yako ya utumwa kwenye gereza lako la ndoa.......

Unakuja kushtuka mke na wanao wanakuwa bize na ile miradi na thamani yako inaanza kupotea mfano wa barafu kwenye maji.......

NB;
Hii ni mipango ya muda mrefu.... unaweza kuiona damage baada hata ya miaka kumi ijayo ....

BE WISE BROTHERS/ SISTERS....

WORD IS ENOUGH FOR THE WISE....
 
Mh. Umeandika mambo mazito sana natamani watu wapite hapa wasome
 
❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…