Mahusiano ya siku mbili, nimepoteza 67k, roho inaniuma!

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo

Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu!

Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila alinikatalia, ikafikia kipindi nikaona niachane nae, ndipo aliponitumia sms kuniuliza kama nampenda au! Nikamjibu kuwa nampenda, na hiyo ndo sababu ya kumuomba mbususu! Kidogo kidogo akaingia line!

Nikampanga siku, yaani siku ya 3 tokea siku tumezungumza, akakubali, jioni yake kanitumia sms kuwa ana shida na 40k, nikamtumia kwa M pesa!

Siku ya tukio mchana akanipigia akanambia ana shida na 50k nikamwambia kwa sasa nina 30k kwenye simu, akaiomba, nikamtumia 27k, jioni yake aka mute, nilimtafuta mpaka nikachoka, muda huo nishamtafunia karanga, nazi ya kusagwa, mo energy, glucose, chupa la maji baridi! Nishaukanda mkuyenge na maji ya moto, nimejiogea zangu niko gheto! ila hakutokea, asubuhi yake kaniomba msamaha akanambia kuwa yuko njiani anakuja, lakini wapi, hakutokea! Na simu haipatikani tokea jana hadi leo [emoji24][emoji24] Kasababisha nimerudi rasmi kwenye chama cha CHAPUTA kwa kasi ya 6G+

Halafu kwenye kibubu nina 20k ndo ninayoitegemea inifikishe tarehe 1
[emoji24][emoji24]
 
Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo

Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu!

Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila alinikatalia, ikafikia kipindi nikaona niachane nae, ndipo aliponitumia sms kuniuliza kama nampenda au! Nikamjibu kuwa nampenda, na hiyo ndo sababu ya kumuomba mbususu! Kidogo kidogo akaingia line! Nikampanga siku, yaani siku ya 3 tokea siku tumezungumza, akakubali, jioni yake kanitumia sms kuwa ana shida na 40k, nikamtumia kwa M pesa! Siku ya tukio mchana akanipigia akanambia ana shida na 50k nikamwambia kwa sasa nina 30k kwenye simu, akaiomba, nikamtumia 27k, jioni yake aka mute, nilimtafuta mpaka nikachoka, muda huo nishamtafunia karanga, nazi ya kusagwa, mo energy, glucose, chupa la maji baridi! Nishaukanda mkuyenge na maji ya moto, nimejiogea zangu niko gheto! ila hakutokea, asubuhi yake kaniomba msamaha akanambia kuwa yuko njiani anakuja, lakini wapi, hakutokea! Na simu haipatikani tokea jana hadi leo [emoji24][emoji24] Kasababisha nimerudi rasmi kwenye chama cha CHAPUTA kwa kasi ya 6G+

Ndio ukome kudandia magume gume ya mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha jifunze kuimbisha utelezi wa bure kitaa bado upo sana tu
 
Mademu wana mambo ya kijinga sana, mi wangu Jana night nzima napiga simu haipatikani, asubuhi hapatikani....baadae ananicheki kwa namba ngeni anasema simu yake imedumbukia kwenye maji, nimemshtukia anataka kunipiga na kitu kizito ili akanunue simu nyingine
 
Duh,,, wanawake ni majambaz kama jambaz wengne kasoro hawatumii silaha za moto
 
Jana mm nilipigwa17 na shoo sikupewa kidgo nizimie maaneo ya bonjokwa huko v8. Narud zangu saa sita njia nziam nalalamika nakujutiaa had nimegoma kula Jana nimeonga saba pesa mingi 15+2000+12000+2000 jumla 35000 imekwenda asbh kwa hasira nikaanza na maharage mandazi yaaani

Nimejilaumu mpk bas Bora ningenunua kadeti mbili hata nipendeze
 
Back
Top Bottom